Jinsi ya kuongoza ndoto za usiku utakavyo (Lucid Dreams)

Ngoja nikujibu kwa Niaba yao_wangekuambia

"Hayo ni majibu ya maombi ya rohoni ambayo Bwana ameamuamua kuyajibu kwa wakati wake unaofaa

Kwa maana Bwana ameyasikia maumivu yako na ameamua kumtuma mjumbe wake kuja kukuweka huru kutoka katika mikono ya yule mtesi yule Joka zamani afungie na kuwatesa wana wa Mungu wa kweli kimwili na kiroho

Hivyo Bwana amekupa nafasi tena kwa kukutoa kwenye kamba za mauti na kukuacha huru iliumjue na kumtumkia

Fungua ya Kwanza_ikimaanisha Uhuru wako u malangoni pako ni jukumu lako sasa kuchagua utumishi wa Bwana ili uwe huru kwelikweli

Fungua ya pili inanaanisha......." Ngoja niishie hapa tafsiri ya hii huipati mpaka uingie kundini



Sent using Jamii Forums mobile app
Kundini maana yake nn mkuu, yaani niombe sana ama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habr zenu wakuu, Mm bwana nimeota nilikuwa kwenye umati wa wa2 tukiwa tunaangalia wa2 wakifanya maonyesho yakuruka kwenye shimo lefu sasa kwa bahati mbaya nikamsuka mmoja wa wale wa2 wanaoluka lile shimo na bado nusu jamaa aanguke sasa mwenzao aliyekuwa pembeni yangu akaniambia nitulie nisitingishike sana. Nikaamua kuhamia upande mwingine ili nisiwabuguzi ss nilivyokuwa ule upande nikaona bundi kutoka angani anakuja wa2 wakasema bundi bundi na yule akaja moja moja akatua mbele yangu na macho yake makubwa yale yakanishtua nikaamka. Yaani apa nilipo nina wasiwasi na maana ya hii ndoto so Kama kuna m2 atakayeweza kunitafsiria nitashukuru
 
Mkuu hata Mimi nlikuwa naota ndoto kama yako mfululizo. Usiku mmoja nlikuwa naiota Kama mara 3. Baada ya Kama miezi miwili kilichofuata nilipatwa na majanga makubwa sana yenye mtihani mkubwa sana. Naposema mtihani mkubwa sana namaanisha mkubwa kweli kweli. Mpaka leo mtihani huo umekuwa gumzo katika life langu. Ila namshukuru Mungu niliufaulu na life linasonga barabra!!
Mkuu huwa naota sana napaa angani hii ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna ndoto nimeota juzi kwenye ndoto naonekana nipo kwenye gereza alafu kuna m2 akaja akanipa funguo 3 moja ya kufungulia mlango wa geleza na hizi nyingine mbili nimesahau zilikuwa za nini, kama una idea kidogo ya ndoto hii inamaanisha nini nitashukuru ukinisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ndoto hiyo ni ishara kuwa una mambo yanayo kubughuzi katika maisha na yanakupa wakati mgumu kuyatatua lakini njia moja tu ndio unayofahamu kuwa unaweza kuitumia wakati una nyingine mbili hujawahi kuzitumia na unazo..

Kusahau kipande cha ndoto ni ishara kuwa hiyo ndio maana ya ndoto uliyoota ukaisahau ili uweze kuichanganua kichwani, ndoto hiyo inamaana kubwa kama ukistick kwenye key phase moja kati ya hizo mbili zilizo salia, Asante

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huwa naota sana napaa angani hii ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuota unapaa mara nyingi wanaota watu wenye msongo wa mawazo sana na mchoko wa akili lakini kwa nafasi kubwa ni ndoto ya shetani kukuchezea shere au kwa asilimia kidogo sana naweza kusema kama huwa unaota mara kwa mara basi ni ishara unanguvu za miujiza za kupaa hewani soma zaidi psychic powers

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habr zenu wakuu, Mm bwana nimeota nilikuwa kwenye umati wa wa2 tukiwa tunaangalia wa2 wakifanya maonyesho yakuruka kwenye shimo lefu sasa kwa bahati mbaya nikamsuka mmoja wa wale wa2 wanaoluka lile shimo na bado nusu jamaa aanguke sasa mwenzao aliyekuwa pembeni yangu akaniambia nitulie nisitingishike sana. Nikaamua kuhamia upande mwingine ili nisiwabuguzi ss nilivyokuwa ule upande nikaona bundi kutoka angani anakuja wa2 wakasema bundi bundi na yule akaja moja moja akatua mbele yangu na macho yake makubwa yale yakanishtua nikaamka. Yaani apa nilipo nina wasiwasi na maana ya hii ndoto so Kama kuna m2 atakayeweza kunitafsiria nitashukuru
Ikiwa ulimuogopa kupitiliza yule bundi ni ishara kuwa umekumbwa na jini, na maana ya yule mtu kumsukuma shimoni ni ishara utawashinda maadui zako lakini utaendelezewa vita kitofauti

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushetani mtupu!



MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Jambo la kufikirika hili mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachokifanya sio kitu kizuri, na unajua kabisa unachohamasisha sio kitu cha kiMungu bali ni kushawishi watu kutafuta ushirika na majini, mizimu na pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

Kama umeuza nafsi yako kupata nguvu za giza usitake kupoteza nafsi za wengine wasio na hatia!

Au hizi ndo mbinu mnazotumwa na falme za giza ili kuongezea waganga wa kienyeji wateja? Ushindwe kwa Jina la Yesu! Hutafanikiwa.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Rakims mkuu, nimeota nipo kwenye gali aina ya tesla na mwalimu wangu wa geotechnical sasa tulipokuwa njiani mwalimu akaniambia anashuka kuokota mawe ila niliache gali likiendeshe lenyewe na mm nikaliacha ss nimefika kwenye mataa gali limegoma kusimama nikahamua kulata barabara ya kushoto nikawa napata tabu kulicontroll gali lenyewe.
Sasa nimejitahidi mpaka barara ilipoishia nikawa najaribu kugeuza nildi lilipotokea pindi najaribu kugeuza nligonga magari kama matatu ivi yaliyopaki, nikaendesha mpaka nilipomwona mwalimu njiani nikashuaka alf mwalm alikasirika sana akaanza kunirushia na mawe kabisa nikajaribu kumwambia ni makosa yangu mwenyewe na kwamba ningelipa lkn wapi
Nikaamua kupiga simu polisi bahati nzr nyumba ya pembeni pale polisi alikuwa anaishi ndo akaja nikamuelezea jinsi ilivyokuwa na nikamwambia ni makosa yangu
Maana yake ni nn, maana nimeingia google kuangalia ili niitafsiri nimeshindwa. Samahani kwa usumbufu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom