Jinsi ya kuona namba za simu za marafiki zako wote wa facebook

We Rukus utakuwa na IDs nyingi sana za kuingia JF...duh

Hapana mkuu.... Nina ID moja tu, kwanza siwezi kuwa na ID zaidi ya moja maana hii yenyewe naweza maliza siku mbili sijaingia JF je hizo zingine nitatumia mda upi?
 
Rukus, naona kwenye picha una email ya Faceboo, nikitaka na mimi niwe nayo nafanya je?

Kama bado uja-activate email ya FB ingia kwenye inbox utaona sehemu imeandikwa"Claim your facebook mail" kama inavyoonekana kwenye picha
attachment.php
 

Attachments

  • FB2.JPG
    FB2.JPG
    44.1 KB · Views: 1,913
  • FB2.bmp
    1.3 MB · Views: 186
kaka umetisha nimekuta namba za mwaka 2008 niko form 3 kwa kwer hii ni zaid ya amaizing
 
Mkuu, siyo kila mtu aliyeweka namba yake kwa FB unaweza kuziona.... Mfano ukifungua profile ya rafiki yako aliyeweka namba zake zionekane kwa friends wake utaiona namba yake pale utakapo tembelea Profile yake,au kwa kutumia njia hiyo hapo juu....,

Pia unaweza kuweka namba zako na ukazificha kwa na kuweka sett "Only Me"namba yako isionekane kwa mtu yoyote zaidi ya wewe mwenyewe kuiona...... Hizo namba mnazo ziona ni kwamba wenye profile usika wameziachia kwa kujua au kutokujua...

Ni sawa na unapo tembelea profile ya mtu na kuona e-mail yake aliyojiandikishia nayo FB, na wengine uwezi kuziona mail address zao, ni kwamba wanakuwa wamezificha zisionekane public ili kuepuka usumbufu usiyo walazima.


Mfano mimi nimeficha E-mail address zangu zote zisiweze kuonekana na marafiki zangu (angalia setting kwenye picha chini)Kiasi kwamba hakuna mtu ambaye anaweza kuona namba zangu za simu au e-mail zangu kwa njia yoyote ile...
attachment.php
Ndio, naunga mkono hoja hata mimi nime set only me sio namba tu hata birthday unaweza ficha
 
Back
Top Bottom