Jinsi ya kumuomba mwenza wako msamaha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kumuomba mwenza wako msamaha.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by samanya, Mar 19, 2011.

 1. samanya

  samanya Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wanaJf,
  Hivi utafanyaje au utatumia njia gani ili kumuomba msamaha mwenza wako?:sorry:
  Naomba mnisaidie.!
   
 2. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Just look at her/him on his face and say IM SORRY HONEY
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Muombe katika hali ya utaratibu...mara nyingi kama yeye ana hasira we jishushe na uongee kwa ustaarabu!Muonyeshe kwamba unamaanisha unachokisema..yani kua sincere sio "We nisamehe bwana!"Kama inawezekana ahidi kutorudia tena kosa na ujitahidi kutorudia huko mbeleni!Na usisahau kuonyesha unajutia kosa lako!
   
 4. samanya

  samanya Member

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa ushauri lakini nimejaribu kumuomba msamaha lakini ananiambia kuwa nimemfanyia hilo kosa makusudi ili nimuombe msamaha coz najua tu kuwa atanisamehe.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama sio kweli mhakikishie sio kweli!Kama ni kweli kubali na uombe samahani kwa hilo pia!
   
 6. 2my

  2my JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole ila usikate tamaa we endelea tu kuomba msamaha atakuelewa na atakusamehe!!!!!!
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Tafuta mahali anapopapenda, pateni vinywaji, msosi, piga story zingine mbili tatu halafu muombe msamaha kwa unyenyekevu kabisa ukionesha kujutia ulichokifanya.
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,791
  Likes Received: 83,168
  Trophy Points: 280
 9. Fanta Face

  Fanta Face Senior Member

  #9
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoe out luch or dinner hivi halafu mweleze kwa utaratibu usianze mambo kutafuta vijisababu sijui mungu kasema samehe saba mara sabini aaaahhhh wewe sema wewe kama wewe na uonyeshe nia ya kweli kabisa toka rohoni mwako usiongezee misitari yoyote zaidi ya ya kwako mwenyewe
   
 10. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,085
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280

  Onyesha dhamira ya kweli kuwa unachosema kinatoka moyoni mfano unaweza shirikisha hata marafiki au ndugu zake kwa kutengeneza mazingira ya kukutanika pamoja halafu ukamwomba msamaha mbele ya wote (mashahidi) kwamba umedhamiria.

  kama hutaki kujumuisha wengine (mf kama ni kosa la faragha) onyesha dhamira ya kweli kwa kuahidi kufanya kitu usichopenda (ambacho yeye pia anajua hupendi kufanya) kama dhamana endapo utarudia kosa ili hali kuonyesha umedhamiria kujirudi.
   
 11. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kuna watu wagumu kuomba msamaha jamani, hata kama wanaona wamekosea
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  E bana ee kama anadengua na anazidi kuuchuna na wewe uchune tu mpaka kieleweke,asikubabaishe bana kwani yeye babako?
   
Loading...