Jinsi ya kumuogesha mtoto baada ya kuzaliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kumuogesha mtoto baada ya kuzaliwa

Discussion in 'JF Doctor' started by sixlove, Aug 26, 2012.

 1. sixlove

  sixlove Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Wapendwa wana JF ,girlfriend wangu ni mjamzito hasa ukijua kwamba tulicheza karate nje ya dojo. napenda kujua ni jinsi gani ya kumuogesha mtoto mara baada ya kuzaliwa, na inachukua muda gani kumuogesha mtoto baada ya kuzaliwa? na ni jinsi gani ya kumuhudumia mtu aliyetoka kujifungua. Msaada pleaseeeeeeeeeeeeeeeeee.
   
 2. S

  Smarty JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  Hizo kazi za manes bana...we akipata uchungu mpeleke hospitali mkabidhi kwa nurse..dont worry the nurse will do everything for you.
   
 3. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  mama mzazi wa girlfriend wako anajua taratibu zote mara nyingi ndo huwa watu muhimu kuwepo wakati wa ujio wa mtoto duniani.
   
Loading...