Jinsi ya kumsaidia mwanao kujifunza Cognitive Skills

Mtoa mada umrnigusa sana.

Mimi nina mdogo wangu huwa namjaribu kwa maswali ambayo nayajua majibu yake nione namna atajibu.

Kuna siku nilimuuliza hivi kuna ubaya wowote endapo wewe dogo umeokota elfu tano na ukawatangazia watu wa hapo kuwa umeokota elfu tano?
.dogo akaniambia "mmh kila Ntu atasema ya kwake,hapo sema umeokota fedha alafu ataedai yake ndo ataje kiasi kama kweli yeye ni yake".
Nikajua yas dogo anakuja kuja.

Huwa namuuliza vitu vingi na anajibu vizuri ..

Sijui kama ninachofanya ndo ulichoongelea mtoa mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sehemu ya mazoezi sema sasa unatakiwa uende naye pia katika high level thinking na hasa nenda na maswali anayokuuliza wewe,Yaani FEED him on their curiosity kwa kutumia logic.
 
Nimecheka mpka basi..
Baada ya kusoma uzi huu ilibidi nimuite mwanangu wa miaka 5½....nimemuuliza tu kuwa mfano nimemtuma dukani, ghafla akaona miatano iko chini, ila pembeni kuna akina mama wamekaa, swali je! Atawaambia kama ameokota hela?
Akajibu "Siwezi kuwaambia, nitanyamaza"
Nikamuuliza kwann hatawaambia?
Akajibu kwasababu niko naenda dukani nitanunua biskuti .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu nieelekeze hapo uliposema kwa maswali anayoniuliza mimi kivipi mkuu nipe mifano

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna namna mbili,kwanza ni kushirikiana nae katika jambo analoanya au kuuliza kwa kwenda nae taratibu na kumpa attentio yeye awe controller.Mfano kama amekuuliza jambo unampa umakini wa kutosha na kumpa majibu serious na ukiwa hujui unajaribu kujadiliana naye kama ambavyo ungejadili na mtu mzima.

Vile unaweza kumuuliza kuhusu matukio mbalimbali ya siku mfano kama umetoka kazini unamuuliza leo umekula nini,ulikionaje chakula,kilikuwa kimeiva vizuri kuliko cha jana?Ulicheza?Ulitazama TV,ulitazama kipindi gani?Umeenda shule?umefundishwa nini?mwalimu aliwafundishaje?Rafiki yako shuleni ni nani?umepewa home work,umesahihisha?Unajadili nia masuala mbalimbali huku ukiulizamasuala kwa kutazama zaidi curiosity yake huku ukimchokoza kwa masuala anua ili umuwezesha kufikiri kwa logic au kwa kutumia facts.Lengo ni kuhakikisha anakuwa na high self esteem na kujiamini.
 
Mkuu imesomeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unakuta Mzee anawatoto nane huo muda wakukaa nao ataupata wapi???
Cognitive skills na mbinu/uwezo wa kutazama jambo/kupokea taarifa, kuitafakari, kufanya maamuzi kuhifadhi kwenye kumbukumbu na kuielewa. Ni kitu ambacho mtoto anapaswa kujifunza tangu akiwa na umri dogo na kuendelea nalo hadi anapokuwa mtu mzima.

Kadiri uwezo wako wa kujifunza,kuelewa,kufikiri na kufanya maamuzi ndio na nafasi yako ya kufanikiwa katika maisha inavykuwa kubwa. Kwa mujibu wa taarifa ya Benki ya Dunia ya Maendeleo ya Dunia ya Mwaka 2019. WDR 2019, cognitive skills ni moja kati ya mahitaji makubwa katika soko la ajira katika karne ya 21 na kuendelea.

Hivyo basi ni muhimu kuwekeza katika kuhakikisha kwamba watoto wetu wanakuwa na good cognitive skills and social bhavioural skills ila waweze kushindana na dunia katika karne ya 21.

Ili kumwezesha mwanao kuwa na skills hizi ni lazima ubadili mfumo wa malezi. Kwanza unapaswa kumfahamu mwanao tangu akiwa na umri mdogo na kuhakikisha unakuwa naye karibu katika kumsaidia kuelewa mambo na kujifunza.

Hakikisha mwanao anapata elimu nzuri, hasa early childhood education ikiwa ni pamoja na kumsaidia kujifunza skills hizi mapema. Kisha kutambua uwezo wake hakikisha unampa nafsi ya kujifunza mambo anuai na ku-explore mazingira yake in a good way.

Tambua kwamba katika soko la ajira lililopo mabadiliko yanakuja kila siku hivyo basi inabidi umuandae mwanao kuwa mwepesi kujifunza na kubadilika kulingana na mazingira ikiwa ni pamoja na kumwezesha kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi,kujiamini na kujithamini ili kumwezesha kushinda changamoto za maisha na kuepuka msongo.

Mjengee desturi ya kujifunza,kujisomea na kujieleza kwa ufasaha ikiwa ni pamoja na kumpa nafasi ya kujitetea na kujadiliana nae kuhus changamoto za kimaisha na kielimu ili kumwezesha kuwa za skills nzuri za kuchambua mambo.

Karibuni tujadili kwa pamoja na kwa namna gani kama taifa tunaweza kutumia uwezo na rasilimali zilizopo katika kuwawezesha watoto wetu kukua katika vipaji vyao.
 
Nimecheka mpka basi..
Baada ya kusoma uzi huu ilibidi nimuite mwanangu wa miaka 5½....nimemuuliza tu kuwa mfano nimemtuma dukani, ghafla akaona miatano iko chini, ila pembeni kuna akina mama wamekaa, swali je! Atawaambia kama ameokota hela?
Akajibu "Siwezi kuwaambia, nitanyamaza"
Nikamuuliza kwann hatawaambia?
Akajibu kwasababu niko naenda dukani nitanunua biskuti .

Sent using Jamii Forums mobile app

🤣🤣🤣🤣
 
Kuna namna mbili,kwanza ni kushirikiana nae katika jambo analoanya au kuuliza kwa kwenda nae taratibu na kumpa attentio yeye awe controller.Mfano kama amekuuliza jambo unampa umakini wa kutosha na kumpa majibu serious na ukiwa hujui unajaribu kujadiliana naye kama ambavyo ungejadili na mtu mzima.

Vile unaweza kumuuliza kuhusu matukio mbalimbali ya siku mfano kama umetoka kazini unamuuliza leo umekula nini,ulikionaje chakula,kilikuwa kimeiva vizuri kuliko cha jana?Ulicheza?Ulitazama TV,ulitazama kipindi gani?Umeenda shule?umefundishwa nini?mwalimu aliwafundishaje?Rafiki yako shuleni ni nani?umepewa home work,umesahihisha?Unajadili nia masuala mbalimbali huku ukiulizamasuala kwa kutazama zaidi curiosity yake huku ukimchokoza kwa masuala anua ili umuwezesha kufikiri kwa logic au kwa kutumia facts.Lengo ni kuhakikisha anakuwa na high self esteem na kujiamini.
Inatakiwa tupate muda wakukaa na watoto wetu kuna vitu tunaweza viona lkn pia wanatuhitaji sna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachangiaji wa hizi mada ni wachache sababu wengi hawaelewi wachangie nini, ila kweny mambo mengine hakn shida hata ametoka usingizin atachangia tuu hata akichangia upuuzi ni sawa.
Taifa letu bado lina idadi kubwa ya watu wenye mgando wa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cognitive skills na mbinu/uwezo wa kutazama jambo/kupokea taarifa, kuitafakari, kufanya maamuzi kuhifadhi kwenye kumbukumbu na kuielewa. Ni kitu ambacho mtoto anapaswa kujifunza tangu akiwa na umri dogo na kuendelea nalo hadi anapokuwa mtu mzima.

Kadiri uwezo wako wa kujifunza,kuelewa,kufikiri na kufanya maamuzi ndio na nafasi yako ya kufanikiwa katika maisha inavykuwa kubwa. Kwa mujibu wa taarifa ya Benki ya Dunia ya Maendeleo ya Dunia ya Mwaka 2019. WDR 2019, cognitive skills ni moja kati ya mahitaji makubwa katika soko la ajira katika karne ya 21 na kuendelea.

Hivyo basi ni muhimu kuwekeza katika kuhakikisha kwamba watoto wetu wanakuwa na good cognitive skills and social bhavioural skills ila waweze kushindana na dunia katika karne ya 21.

Ili kumwezesha mwanao kuwa na skills hizi ni lazima ubadili mfumo wa malezi. Kwanza unapaswa kumfahamu mwanao tangu akiwa na umri mdogo na kuhakikisha unakuwa naye karibu katika kumsaidia kuelewa mambo na kujifunza.

Hakikisha mwanao anapata elimu nzuri, hasa early childhood education ikiwa ni pamoja na kumsaidia kujifunza skills hizi mapema. Kisha kutambua uwezo wake hakikisha unampa nafsi ya kujifunza mambo anuai na ku-explore mazingira yake in a good way.

Tambua kwamba katika soko la ajira lililopo mabadiliko yanakuja kila siku hivyo basi inabidi umuandae mwanao kuwa mwepesi kujifunza na kubadilika kulingana na mazingira ikiwa ni pamoja na kumwezesha kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi,kujiamini na kujithamini ili kumwezesha kushinda changamoto za maisha na kuepuka msongo.

Mjengee desturi ya kujifunza,kujisomea na kujieleza kwa ufasaha ikiwa ni pamoja na kumpa nafasi ya kujitetea na kujadiliana nae kuhus changamoto za kimaisha na kielimu ili kumwezesha kuwa za skills nzuri za kuchambua mambo.

Karibuni tujadili kwa pamoja na kwa namna gani kama taifa tunaweza kutumia uwezo na rasilimali zilizopo katika kuwawezesha watoto wetu kukua katika vipaji vyao.
Mleta mada umenena vyema. Ila tambua ya kwamba unaweza ukamuandaa mtoto vizuri katika maisha ya "inquiries" katika masuala mazima ya "cognitive development". Changamoto kwa mtoto mhusika itakuja kutokea endapo atakutana au atakuwa akichangamana na wenye uwezo mdogo ktkt "cognitive skills" au "inquiries".
Waliomzunguka kama hawakukuzwa ktk maisha ya kuhoji & reasoning, basi tambua mtoto uliyemlea ktk " cognitive skills " atakumbwa na maswahibu yafuatayo pindi achangamapo na hao watu:
(1) atasakamwa kwamba "anajifanya mjuaji"
(2) atasakamwa kwamba "anajiona anajua kila kitu"
(3) kama kuhoji kunazaa hasira kwa waliokuzunguka, basi, unaweza kutengwa na waliokuzunguka.
(4) kuitwa mchochezi au mchonganishi pindi utumiapo uwezo wako wa kuhoji na kuchakata ukweli ambao aghalabu utawagusa wakubwa (watawala).
(5) kuchukiwa na watu wasiopenda kuhojiwa wala kuruhusu kutumia uwezo wako wa kuuchakata na kuusema ukweli kulingana na ulivyokuzwa ktk maisha ya "cognitive development"
================================
Hivyo, naungana na wewe kwamba Elimu ya cognitive skills ni nzuri sana ktk mustabari bora wa maisha yetu. Isipokuwa matumizi/application ya Elimu hiyo inakuja kuathiriwa na mazingira tunayoishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom