Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,067
Umuofia kwenu,
Nimekutana na taarifa kutoka kwa taasisi ya Human Rights Tulip iliyo chini ya Serikali ya Uholanzi, wakitangaza kuwa mchakato wa kuwapata vinara wanaofahamika kama Watetezi wa Uhuru wa Maoni kwa mwaka 2017, umeshaanza.
Kwa sasa wametoa fursa ya kupendekeza majina ya watu wanaofaa kupatiwa tuzo, na mimi kwa utashi wangu kila nilipokuwa nalisoma hilo bandiko lao, kichwani namwona mkuu wetu Maxence Melo kuwa anafaa kabisa...
Wamesema mwisho ni tarehe 10 mwezi April.. Yaani siku kama 11 hivi zijazo. Dah! Naona muda umeenda sana ila bado tunaweza kumpatia Mkuu wetu heshima anayostahili tukiamua... Hata tukisambaza huko nje kwenye magroup si mbaya..
Link yao hii hapa > https://www.humanrightstulip.nl/ na nimeona niambatanishe na fomu kabisa ambayo nimeidownload..
Tuzo yenyewe hii hapa itakayoambatana na zawadi ya Paundi 100,000
(Kama Milioni 278 hivi za kitanzania)
Umoja ni nguvu!
--------------------
-------------
MUHIMU: Katika Fomu ya Mapendekezo, maswali mengi ni yale yanayomtaka mpendekezaji aeleze namna anavyomfahamu Maxence Melo. Hivyo hakuna maelezo ya moja kwa moja kwa kuwa kila mmoja ana namna nzuri na ya tofauti ya kumwelezea.
Kwa wale wasiokuwa na taarifa za msingi kuhusu Max zinazohitajika kwenye kipengele nambari 16, basi wazitumie hizi hapa chini;
16. What are the contact details of the nominee?
Last name (surname) as in Passport: Mubyazi
First name (given name) as in Passport: Maxence
Date of birth: day-month-year: 09/05/1976
Nationality: Tanzanian
Gender: Male
Email address of the nominee: maxence@jamiiforums.com
Telephone number (landline) of the nominee: nil
Telephone number (mobile) of the nominee: +255 745 200 717
Skype Address (of the nominee): macdemelo
Languages spoken and understood by the nominee: English / Swahili
Nakaribisha maswali zaidi..
Nimekutana na taarifa kutoka kwa taasisi ya Human Rights Tulip iliyo chini ya Serikali ya Uholanzi, wakitangaza kuwa mchakato wa kuwapata vinara wanaofahamika kama Watetezi wa Uhuru wa Maoni kwa mwaka 2017, umeshaanza.
Kwa sasa wametoa fursa ya kupendekeza majina ya watu wanaofaa kupatiwa tuzo, na mimi kwa utashi wangu kila nilipokuwa nalisoma hilo bandiko lao, kichwani namwona mkuu wetu Maxence Melo kuwa anafaa kabisa...
Link yao hii hapa > https://www.humanrightstulip.nl/ na nimeona niambatanishe na fomu kabisa ambayo nimeidownload..
Tuzo yenyewe hii hapa itakayoambatana na zawadi ya Paundi 100,000
(Kama Milioni 278 hivi za kitanzania)
Umoja ni nguvu!
--------------------
Wakuu,
Nashukuru kuwa wengi mmeona kuwa nastahili kufikiria kwenye tuzo hii. Nawashukuru sana ambao mmeshanipendekeza na ambao mnadhamiria kufanya hivyo.
Tuipate tuzo au tuikose, kwangu bado nafarijika kuwa kuna wanaouona mchango wangu na wa Taasisi yangu katika kuulinda na kuutetea Uhuru wa Kujieleza.
Asanteni, kwa mnaoridhia kuwa nastahili - nami naridhia!
Maxence