Jinsi ya kumpata mwanamke bila kumtongoza

We jamaa hujawah kuwa na pesa inaonekana, mi mwenyewe mwanamke namwona mzuri sana nikiwa na pesa, yaan macho yangu yanakuwa yanaona fresh sana nikiwa km na maburungutu kwenye account mbalimbali, sihitaji kujua moyo wa mtu ukoje, mwanaume hajaumbwa kupendapenda mwanaume ni majukumu, tenda majukumu kisha unakufa baasi wanakukumbuka kwa majukumu yako, sio unafelifeli huwez hata kutimiza mambo ya muhimu, pesa ndio damu ya mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ninazo na sina shida yaani pesa ndogo ndogo za kuwatuza wadada wa Bongo mm azinipigi chenga pesa ninayo ila ukweli ni huo
Sema mimi situmii nguvu ya pesa na nawapata warembo kama woote
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kweli pesa pekee inayohitajika ni ya kukuwezesha.
1 kulipia taxify
2 lodge au hotel
3 vinywaji na msosi
4 nauli ya kumrudisha nyumbani

The rest mnaliwa nyinyi mambwiga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie hao ndio wale ambao awajui mapenzi wanatumia nguvu ya pesa watu wanagegedua wake za mabosi na wanapewa wao pesa wewe to mwenzio apewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii kitu mara ya kwanza kukutana nayo ilikuwa kwenye blog flan hivi mwaka 2014 kumbe mpaka leo bado inaapply.

by the way kupata vichekesho kama hivi nibonyoze ngapi??
 
Sasa wenyewe si washajua huu mtego tutawapata kweli, maana akina mzigua na demi washaupitia huu uzi tayari
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom