Jinsi ya kumpata mwanamke bila kumtongoza

RASCO BOY

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
428
485
Haikuwa kazi rahisi kumshawishi Mwalimu Makoba kuweka makala hii katika blogu yake. Alipomaliza kuisoma katika kompyuta yangu, alicheka kisha akasema, "makala yako itaniharibia wanafunzi wangu!" Sikusita, nilijibu kwa hoja madhubuti, "mwalimu, niliyoyaandika humu yanalenga zaidi kumkomboa msichana, kwani akizisoma mbinu zilizoandikwa humu, hawezi kunasa katika mtego. Kunyamaza kimya, ni kuwafanya wazidi kutekwa na mbinu hizi!"

Mwalimu wa Walimu alinitazama kwa udadisi, kisha akasema, "ITAPANDISHWA!"

Sasa tiririka nayo:

Maisha ni ujanja tu mzee mwenzangu. Sasa leo ngoja nikupatie ujuzi kidogo ambao nimeupata mbali sana. Mbali sana mhenga mwenzangu, ng’ambo huko. Unaweza ukampata bila kutia neno! Kimya - kimya.

HATUA YA KWANZA
Njia hii inafanya kazi katika mawasiliano ya simu. Hususani ‘kuchat’… tena ukitumia WhatsApp ndiyo utaua kabisa mwananzengo! Sasa ukiwa na namba yake, kama ni namba mpya na bado hamjafahamiana, hakikisha mnafahamiana vya kutosha, yaani mnazoeana na kuwa marafiki.

HATUA YA PILI
Sasa mmezoeana. Anza kazi yako rasmi. Kila unapokuwa unachat naye, tumia zile ‘emoj’ za mahaba, yaani zile zenye makopakopa! Wakati wa kuanzisha ‘chat’ tumia, mkiendelea na ‘chat’ tumia na wakati wa kufunga ‘chat’ itumie.
Mfano. “Mambo vipi? Missing u kwa sana
Ajabu ni kwamba hata yeye ataanza kutumia emoj hizo. Ukiona hivyo mwanakwetu jua mambo yameiva, piga hatua ya tatu.

HATUA YA TATU
Anza kumuita majina ya mahaba. Yako mengi sana, anza na ‘my dear’, ‘honnie’, ‘my sweetie’, na mengine mengi kadiri ya uwezo wako. Tazama mfano huu uone inavyotakiwa kuwa: wakati unafanya haya, tambua kiingereza hakiepukiki katika mahaba.

“Hi baby! Unafanya nini now?
“Owkey, my honnie, tutachat kesho… nalala .”
Ni kama uchawi vile. Kwa sababu ni lazima na yeye ataanza kukujibu kwa majina hayo. Unaona kazi ilivyo nyepesi?

HATUA YA NNE
Jimilikishe taratibu. Tayari unatumia emoj za mahaba na yeye anatumia, unamuita majina ya kimapenzi na yeye anakuita hivyo, unasubiri nini? Hebu anza uchokozi huu:

“WEWE: sweetie huwezi amini leo kidogo nichepuke… ila nikaogopa nikajua ukinikamata sitapona!”
Jibu lake hata kama litakuwa tofauti, ni lazima liwe na mahusiano na hili:
“YEYE: Ole wako nikukamate, nina wivu mimi … mwambie huyo dada akome!”
Sasa mwanakwetu mambo yakifika hapa unasubiri nini tena? Haya twende hatua nyingine.

HATUA YA TANO
Mtoe ‘out’. Wakati mnaendelea kuchat, anza kuomba kumtoa ‘out’ ili mkasafishe macho kidogo. Tazama namna nzuri ya kufanya jambo hili.

“Hi my everything ? Wikend hii una ratiba gani?” ninaimani swali litajibiwa vyema. Ongezea.
“Oooh… kuna laki mbili zinaniwasha, nikaona nikizitumia peke yangu nitakuwa sijakutendea haki we rafiki yangu wa muda wote… can we go out this weekend tukaburudike pamoja ?”

Katika mtego huo hawezi kuchomoa. Unataka nikuelekeze cha kufanya ukiwa huko out?

Mkitoka, sehemu nzuri zaidi kwenda ni ‘night club’. Kama ni mnywaji wa pombe, kazi itakuwa nyepesi. Kama hatumii, mbembeleze anuse japo kidogo. Akikataa usimlazimishe, kufanya hivyo kutamfanya arejee nyumbani na kukuacha ukizubaa.

Cheza naye mziki taratibu. Wakati mkiendelea na masaa yakiwa yamekatika mweleze sikioni taratibu, “My dear, nadhani, kuna chumba hapo mbele kina kiyoyozi siyo cha nchi hii, twende tukapumzike mama watoto wangu.”
Chukua bajaji nenda kapumzike na mtoto uliyempata bila kumtongoza! Kesho njoo unishukuru kwa somo hili adimu.

Natoa angalizo kuwa, somo hili lisitumiwe kwa lengo la uzinzi. Madhara ya uzinzi yanafahamika na hakuna faida yoyote kufanya hivyo. MBINU HIYO ITUMIKE KUMPATA MTU UNAYETAKA AWE MKEO!

Ni hayo tu

PIA SOMA MADA HIZI:

1. Namna ya kuongea wakati wa kumtongoza mwanamke
2. Zijue mbinu 5 za kumtongoza msichana yeyote mrembo hadi akubali

3. Mbinu 15 za kumtongoza mwanamke akakupenda daima
4. Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuwa na Pesa lakini bado usimpate mwanamke mwenye mapenzi ya Dhat na wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi ya dhati ni tabia ya mwanamke mwenyewe, haijalishi una au hauna pesa, kwanza ukiwa huna pesa utashindwa kutimiza mambo mengi na mwanamke atachoka maana kila kitu kinampita na mwanamke anapenda mambo milioni kidogo so tafuta pesa, mapenzi ya dhati ni tabia tu ila maisha hayahitaji mbwembwe ni pesa tu, matibabu pesa, chakula pesa, watoto kuwatunza wawe na afya tele ni pesa sasa mapenzi yatakusaidia nini, tafuta pesa kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna mwanaume anayesifiwa mapenzi, huyo lazima ana pesa kwanza ndomana na mapenzi anasifiwa pia...maskini atajiunga na wale wanawake wanaosifiwa kuwa mwanamke ni tabia sio sura, ila mwenye pesa atakuwa na wale wanaosifiwa wenye sura na tabia ..true

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha hzo formula kwa dada zetu hawa hawa au wengne?
 
Haikuwa kazi rahisi kumshawishi Mwalimu Makoba kuweka makala hii katika blogu yake. Alipomaliza kuisoma katika kompyuta yangu, alicheka kisha akasema, "makala yako itaniharibia wanafunzi wangu!" Sikusita, nilijibu kwa hoja madhubuti, "mwalimu, niliyoyaandika humu yanalenga zaidi kumkomboa msichana, kwani akizisoma mbinu zilizoandikwa humu, hawezi kunasa katika mtego. Kunyamaza kimya, ni kuwafanya wazidi kutekwa na mbinu hizi!"

Mwalimu wa Walimu alinitazama kwa udadisi, kisha akasema, "ITAPANDISHWA!"

Sasa tiririka nayo:

Maisha ni ujanja tu mzee mwenzangu. Sasa leo ngoja nikupatie ujuzi kidogo ambao nimeupata mbali sana. Mbali sana mhenga mwenzangu, ng’ambo huko. Unaweza ukampata bila kutia neno! Kimya - kimya.
HATUA YA KWANZA

Njia hii inafanya kazi katika mawasiliano ya simu. Hususani ‘kuchat’… tena ukitumia WhatsApp ndiyo utaua kabisa mwananzengo! Sasa ukiwa na namba yake, kama ni namba mpya na bado hamjafahamiana, hakikisha mnafahamiana vya kutosha, yaani mnazoeana na kuwa marafiki.
HATUA YA PILI

Sasa mmezoeana. Anza kazi yako rasmi. Kila unapokuwa unachat naye, tumia zile ‘emoj’ za mahaba, yaani zile zenye makopakopa! Wakati wa kuanzisha ‘chat’ tumia, mkiendelea na ‘chat’ tumia na wakati wa kufunga ‘chat’ itumie.
Mfano. “Mambo vipi? Missing u kwa sana
Ajabu ni kwamba hata yeye ataanza kutumia emoj hizo. Ukiona hivyo mwanakwetu jua mambo yameiva, piga hatua ya tatu.
HATUA YA TATU

Anza kumuita majina ya mahaba. Yako mengi sana, anza na ‘my dear’, ‘honnie’, ‘my sweetie’, na mengine mengi kadiri ya uwezo wako. Tazama mfano huu uone inavyotakiwa kuwa: wakati unafanya haya, tambua kiingereza hakiepukiki katika mahaba.
“Hi baby! Unafanya nini now?
“Owkey, my honnie, tutachat kesho… nalala .”
Ni kama uchawi vile. Kwa sababu ni lazima na yeye ataanza kukujibu kwa majina hayo. Unaona kazi ilivyo nyepesi?
HATUA YA NNE
Jimilikishe taratibu. Tayari unatumia emoj za mahaba na yeye anatumia, unamuita majina ya kimapenzi na yeye anakuita hivyo, unasubiri nini? Hebu anza uchokozi huu:
“WEWE: sweetie huwezi amini leo kidogo nichepuke… ila nikaogopa nikajua ukinikamata sitapona!”
Jibu lake hata kama litakuwa tofauti, ni lazima liwe na mahusiano na hili:
“YEYE: Ole wako nikukamate, nina wivu mimi … mwambie huyo dada akome!”
Sasa mwanakwetu mambo yakifika hapa unasubiri nini tena? Haya twende hatua nyingine.
HATUA YA TANO

Mtoe ‘out’. Wakati mnaendelea kuchat, anza kuomba kumtoa ‘out’ ili mkasafishe macho kidogo. Tazama namna nzuri ya kufanya jambo hili.
“Hi my everything ? Wikend hii una ratiba gani?” ninaimani swali litajibiwa vyema. Ongezea.
“Oooh… kuna laki mbili zinaniwasha, nikaona nikizitumia peke yangu nitakuwa sijakutendea haki we rafiki yangu wa muda wote… can we go out this weekend tukaburudike pamoja ?”
Katika mtego huo hawezi kuchomoa. Unataka nikuelekeze cha kufanya ukiwa huko out?

Mkitoka, sehemu nzuri zaidi kwenda ni ‘night club’. Kama ni mnywaji wa pombe, kazi itakuwa nyepesi. Kama hatumii, mbembeleze anuse japo kidogo. Akikataa usimlazimishe, kufanya hivyo kutamfanya arejee nyumbani na kukuacha ukizubaa.
Cheza naye mziki taratibu. Wakati mkiendelea na masaa yakiwa yamekatika mweleze sikioni taratibu, “My dear, nadhani, kuna chumba hapo mbele kina kiyoyozi siyo cha nchi hii, twende tukapumzike mama watoto wangu.”
Chukua bajaji nenda kapumzike na mtoto uliyempata bila kumtongoza! Kesho njoo unishukuru kwa somo hili adimu.
Natoa angalizo kuwa, somo hili lisitumiwe kwa lengo la uzinzi. Madhara ya uzinzi yanafahamika na hakuna faida yoyote kufanya hivyo. MBINU HIYO ITUMIKE KUMPATA MTU UNAYETAKA AWE MKEO!

Ni hayo Tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mwanamke/msichana gani asiye yajua nikajua una mpya akijibu viemoj yy nae kataka labda umejaribu kuwa saidia matimbulo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi ya dhati ni tabia ya mwanamke mwenyewe, haijalishi una au hauna pesa, kwanza ukiwa huna pesa utashindwa kutimiza mambo mengi na mwanamke atachoka maana kila kitu kinampita na mwanamke anapenda mambo milioni kidogo so tafuta pesa, mapenzi ya dhati ni tabia tu ila maisha hayahitaji mbwembwe ni pesa tu, matibabu pesa, chakula pesa, watoto kuwatunza wawe na afya tele ni pesa sasa mapenzi yatakusaidia nini, tafuta pesa kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ila unaposema mapenzi yatakusaidia nini unakosea mapenzi yana sehem kubwa katika maisha. Kwa mwanaume ukiwa na pesa ukakosa mapenzi utokua na furaha na utoona umuhimu wa pesa. Mwanaume ni vitu 2 tu mwanamke na pesa ukikosa ivyo vyote kwisha habari

We jamaa hujawah kuwa na pesa inaonekana, mi mwenyewe mwanamke namwona mzuri sana nikiwa na pesa, yaan macho yangu yanakuwa yanaona fresh sana nikiwa km na maburungutu kwenye account mbalimbali, sihitaji kujua moyo wa mtu ukoje, mwanaume hajaumbwa kupendapenda mwanaume ni majukumu, tenda majukumu kisha unakufa baasi wanakukumbuka kwa majukumu yako, sio unafelifeli huwez hata kutimiza mambo ya muhimu, pesa ndio damu ya mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom