Jinsi ya kumjua mwanaume mwenye pesa

Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics, under armour na nyinginezo 👀

Kama unapenda wanaume wenye pesa ukiona mwanaume anavaa sportswear unaweza kuanza love tactics zko za kumpata 😉
Wako Wanaume wenye pesa, lakini hzitoki kirahisi rahisi...!
 
Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics, under armour na nyinginezo 👀

Kama unapenda wanaume wenye pesa ukiona mwanaume anavaa sportswear unaweza kuanza love tactics zko za kumpata 😉
Wako wanaume wenye pesa kama ulivyochambua, lakini hazitoki kirahisi rahisi...!
 
Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics, under armour na nyinginezo 👀

Kama unapenda wanaume wenye pesa ukiona mwanaume anavaa sportswear unaweza kuanza love tactics zko za kumpata 😉
Tusubiri kusumbuliwa na vipishmundu vya vyuo vikuu sasa. Yaani sijuwi sie wanaume tumewakosea nini mademu....tunawapa raha ya gegedo lakini bado wanatuwinda tu. Kama si marogo basi watatutafuta na kutuchoma moto ndani ya nyumba zetu.
 
Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics, under armour na nyinginezo

Kama unapenda wanaume wenye pesa ukiona mwanaume anavaa sportswear unaweza kuanza love tactics zko za kumpata
Wewee ni mdangajii TU.Mwanaume yeyote Mwenye pesa ana kulala.

Tafuta PESA ZAKO acha KUTEGEMEA PESA za mwanaume.
 
Back
Top Bottom