Jinsi ya kumgundua mkeo kama anataka kwenda katka miadi!

Tena ukitaka kumkomesha zaidi akija kukuaga kitandani mwambie dear hata mimi nilitaka kwenda hiyo sehemu basi tutaenda wote. Ukimaliza nilitaka kwenda kumtembelea ndg yeyote mtaje walaah ataahirisha na kuanza kusema kuwa kama tunaenda na wewe basi mimi siendi au akagaili kabisa ukiona hivyo jua alitaka akamegwe!

Hivi kutoka ni lazima akamegwe?
Kama ana miradi ambayo hahitaji mzee ajue! Anaenda kujua mapato yanaendeleaje bana!
Si wote huaga ili wakatafunwe!.
 
Hivi kutoka ni lazima akamegwe?<br />
Kama ana miradi ambayo hahitaji mzee ajue! Anaenda kujua mapato yanaendeleaje bana!<br />
Si wote huaga ili wakatafunwe!.
Siyo kila akitoka nipale unapomwona vishughuli avimishii jua iko jambo
 
Ndg Nilishashuhudia issue kama hiyo live jamaa akaamua kwenda nae kwanini Mke asihairishe safari. na alivunja kabisa na safari.
Hivi kutoka ni lazima akamegwe?
Kama ana miradi ambayo hahitaji mzee ajue! Anaenda kujua mapato yanaendeleaje bana!
Si wote huaga ili wakatafunwe!.
 
ni kweli kaka, lakini utafanikiwa mara moja moja wengine hata kabla hawajarudi kazini wanamaliza hukohuko
 
au nyie w.ume ndio mnavyofanya,ila unaona bora kibao uwageuzie w.ke,m.ke akiamua kutoka,hata akikupa huo mchezo,atakupa tu,kama kwa kujilazimisha,halafu ataenda anapotaka kwenda.Tena atajua kwa kua ameshakupa,hutomsumbua tena,kwani mkishakupewa hiyo nyama,mnatulia tuli,na maneno juu,"bye my wife nenda salama sweetie."usijali honey,tena nikirudi nakupa style new new nimesoma kitabu cha kama sutra kina manjonjo ya kila aina,salama ameniazima.ngoma droo.kwa upande mwengine,siku ya safari kumuomba mchezo mkeo,sio suluhisho la yeye kutokutoka,au anapokuaga mapema usimfikirie mkeo anaenda kwa m.me mwengine,m.ke akiamua kutoka,atatoka tu.wababa wengine wana gubu,ruhusa nyengine uziombe mapema kabisa wanawajua ukiomba hapo kwa hapo,pengine hautomruhusu
 
Mkeo ukiona anaomba ruhusa yakutoka 2week be for ujue kunakitu sichakawaida!!jifanye kama ujali maana kilasiku atakuwa anakukumbushia hasa siku zikiwa zimekaribia akikumbishia mwambie sawa darling nimeisha kuelewa hiyo siku yeye anayotaka kutoka shinda nyumbani siku hiyo atafanya shughuli zake mapema saa tano ameisha maliza kajipodoa pafyum yake kajipulizia wewe nenda chumbani jilaze lazima akuage sasa jifanye unatoka katika usingizi kabla ajaondoka muite preta njoo akija mwambie nataka game!!atakukatalia kwanguvu zote nawewe usilegeze msimamo akija do one goal!!mwambie haya sasa unaweza kwenda utaona kanyong'onyea mara aseme sijui nisiende??akienda hatakaa mda mwingi atarudi sasa jiulize maandali ya week 2 yalikuwa ya nini??jua kulikuwa na jambo hiyo ndiyo dawa!!Happy new year.

Kamoja 2 hakatoshi ukimwacha ataenda kuliendeleza.inatakiwa akandamizwe kama boloyang
 
Mke wako anapokuwa na miadi na wewe panga yako. no other solutions. kwa sababu ukimbana leo siku nyingine atatafuta upenyo tu. Yeye muadi mmoja wewe weka miwili kabisa.
 
Unajua yote mliyosema nisawa ila kunaubuz fulani ukiuona nakilamara anakusisitizia hapo kulavyombo utieshombo kwani kwenda kwa mume mwingine nashombo ataogopa atasema nitaonekana malaya!!bora maziwa uyatie ndimu!!
 
I think for working women this doesn't apply @ all,
Na mwanamke kupendeza so shughuli zikimzidi anajisoap tu ilimradi apendeze ni hulka yetu kupendeza

and I thought mume anaagwa! Haombwi ruhusa , kama ambavyo na yeye akitoka anaaga, .....pia using sex as the last weapon also doesn't work, ni kuwa na maelewano na mawasiliano
Eng Nsiande
 
I think for working women this doesn't apply @ all,&
Na mwanamke kupendeza so shughuli zikimzidi anajisoap tu ilimradi apendeze ni hulka yetu kupendeza<br />
and I thought mume anaagwa! Haombwi ruhusa , kama ambavyo na yeye akitoka anaaga, .....pia using sex as the last weapon also doesn't work, ni kuwa na maelewano na mawasiliano<br />
Eng Nsiande
I can agree with you but i thought that is last weapon to the woman!coz no body who can try this in hermaind!
 
Binadamu akiamua kukufanyia kitu mbaya hata umchunge vipi atafanya tuu. Naona cha muhimu ni ninyi kuongea na kumuomba Mungu awasaidie . Huwezi kumchunga binadamu 100%.
 
Wakati anakuaga wala usiombe game. Muage vizuri na mpe na makisi ya nguvu. Akiondoka tuu, na wewe ulambe safi kamtembelee rafiki yake wa kike (sio ndugu) kwa wema kabisa. Usirudi home mpaka yeye arudi kwanza. Then, ukirudi home kwa jinsi ulivyoulamba lazima atakuuliza ulikwenda wapi. Mwambie uliboreka ukaenda kumtembelea dada Asha rafiki yake. Na usimpe game siku hiyo, jidai umechoka. Atachanganyikiwa kichwani, kesho lazima atampigia Asha simu, only kujibiwa kuwa kweli ulienda kumtembelea. Kichwani atakuwa anajiuliza kama mlicheza game, kumbe wala. Next time atakuwa makini na safari zake. Then, it is your turn. Make her waiting by telling her that you have met an old female friend from school on facebook na amekukaribisha kwake next week. Then, wait for her response. Utapata vyote ulivyokuwa unavikosa!
 
Jamani nadhani baadhi yetu humu ndani hatuwajui wanawake vizuri na mnataka kuleta ligi na wao unaweza kuumia mpaka ukawa kichaa.

Mwanamke huwa hachungwi tena akiona unamchunga sana anaweza kujaribu aone kama kweli wewe ni bingwa wa kuchunga atatoa mzigo kwa mtu wa ajabu sana kwa kukukomoa kama vile hata mlinzi wako wa geti au houseboy,jirani,na hata rafikiyo na kwa wale wa kwenye nyumba za kupanga anaweza kuliwa hata bafuni we ukidhani anaoga.

Ni hivi mwanamke hachungwi mpe uhuru uliopitiliza atajisahau na kama ni kicheche kweli utamkata kirahisi sana (kuku wako manati ya nini?) atakuona we hujui lolote then ataingia kwenye mtego wako mbali na hapo usipoteze muda kuanza kufuatilia mwanamke wako kama paka ni vigumu kuona mavi ya paka wako smart sana.

Mpe adhabu kubwa kuliko zote mpende na ujinga wake huku ukimwonyesha kuwa unajua kila kitu anachofanya.
 
Pheww!!!! Goshhhhh hapo hatari kweli kweli ila kama ulivyosema Derimto kweli mwanamke achungiki kabisa akiamua kufanya jambo lolote la ajabu anaweza kufanya cha muhimu wewe mpe uhuru wa kutosha autumie vya kutosha kiasi kwamba anaweza kujisahau na hapo ndio unamkamata kirahisi
 
Hapo Mkuu kwa wale wanaopenda ngoma iliyochakachuliwa kabla basi utakuwa umewaandalia vizuri kweli,na kama wewe mwenyewe ukionja ngoma iliyochakachuliwa kabla yako basi nadhani utaanza kuchukua wake za watu na utawapa sharti kabisa kuwa kabla ya kuja kwangu mumeo akuchakachue japo kidogo,maana utamu wake hauelezeki,na kama huniamini mimi tafuta wazee wa mitungo watakuhakikishia hili ninalokuambia.
Kuna mtungo mmoja nilialikwa yule dada alikuwa kalewa chakari na hakujua kama kuna mtu 3 tunakula mzigo alikuwa anajituma si kitoto ilikuwa enzi za mwalimu kipindi ngoma hamna
 
Kuna mtungo mmoja nilialikwa yule dada alikuwa kalewa chakari na hakujua kama kuna mtu 3 tunakula mzigo alikuwa anajituma si kitoto ilikuwa enzi za mwalimu kipindi ngoma hamna

saluti kwako mkuu kwa kuogopa ngoma japo enzi zako kulikuwa na magonjwa ya zinaa ina maana ulikuwa huogopi?
 
Pheww!!!! Goshhhhh hapo hatari kweli kweli ila kama ulivyosema Derimto kweli mwanamke achungiki kabisa akiamua kufanya jambo lolote la ajabu anaweza kufanya cha muhimu wewe mpe uhuru wa kutosha autumie vya kutosha kiasi kwamba anaweza kujisahau na hapo ndio unamkamata kirahisi

TF. Hawa viumbe wana kitu cha tofauti ambavyo sisi hatuna na wanaweza kulambwa hata na watu watatu na usigundue vinginevyo uwe mjanja na mtaalamu kwa kumzoea mpenzi wako ndipo unaweza kuhisi tofauri kwa sehemu ndigi sana maana hii mambo haina kusoma meter.
 
Kuna mtungo mmoja nilialikwa yule dada alikuwa kalewa chakari na hakujua kama kuna mtu 3 tunakula mzigo alikuwa anajituma si kitoto ilikuwa enzi za mwalimu kipindi ngoma hamna

Kaka una hatari wewe! Hivi ni ukimwi tu ndiyo unatufanya tuogope ngono zisizo rasmi au ni hofu ya mtu mwenyewe na utashi wake? Na ulipokuwa unakula mtungo hukusikia kinyaa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom