Jinsi ya kumfunza mtoto mdogo kuongea vizuri

Mbeky

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
672
516
Habari za wakati huu wadau.
Wadau nina mwanangu wa pekee anaumri wa mwaka mmoja na miezi mi nne sasa ni wa kiume na ni mwenye afya nzuri na mchangamfu.
Tatizo mwanangu huyu hawezi ongea vizuri namaanisha hawezi ongea maneno yanayoeleweka zaidi ya tataaa taaa..na mengine hata cwezi kuyaandika...ingawa anasikia na kuelewa kila kitu unachomwambia.
Kama baba ake ningetamani nisikie anatamka neno baba au kuongea vizuri nina hamu kweli..kama we ni mzazi utakua unajua ni kiasi gani unapata furaha mtoto akianza kuongea.
Wadau naombeni ka kuna anayejua mbinu za kumfundisha mtoto kuongea anisaidie..
Natanguliza shukrani
Mbeky
 
Kwa mtoto wa kiume bado sana, angekuwa wa kike labda ndo ungeanza kujiuliza, watoto wa kiume wanachelewa kuanza kuongea compare na watoto wa kike so hupaswi kuwa na wasiwasi
Habari za wakati huu wadau.
Wadau nina mwanangu wa pekee anaumri wa mwaka mmoja na miezi mi nne sasa
ni wa kiume na ni mwenye afya nzuri na mchangamfu.
Tatizo mwanangu huyu hawezi ongea vizuri namaanisha hawezi ongea maneno
yanayoeleweka zaidi ya tataaa taaa..na mengine hata cwezi
kuyaandika...ingawa anasikia na kuelewa kila kitu unachomwambia.
Kama baba ake ningetamani nisikie anatamka neno baba au kuongea vizuri
nina hamu kweli..kama we ni mzazi utakua unajua ni kiasi gani unapata
furaha mtoto akianza kuongea.
Wadau naombeni ka kuna anayejua mbinu za kumfundisha mtoto kuongea
anisaidie..
Natanguliza shukrani
Mbeky
 
Acha uzombi wewe ulianza kuongea ukiwa na umri gani? Kama unaona anachelewa uwe unampeleka kwenye rusha roho akeshe huko atawahi kuongea. Kwa kifupi siamini kama hili ni swali
 
Vipi utata tayari umeshamkatisha maana pia unawasumbuwa watoto kushindwa kutamka vizuri
 
Mwanao atakuwa wa kwanza mkuu. Kama wa kwangu. Ndio maana una hamu kweli aongee fasta akuitw baba etc.
Ningekushauri u relax. Hajachelewa kwenye milestone yake ya kuongea na kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu kwa mtoto wa kiume anachelewaga.
 
Habari za wakati huu wadau.
Wadau nina mwanangu wa pekee anaumri wa mwaka mmoja na miezi mi nne sasa ni wa kiume na ni mwenye afya nzuri na mchangamfu.
Tatizo mwanangu huyu hawezi ongea vizuri namaanisha hawezi ongea maneno yanayoeleweka zaidi ya tataaa taaa..na mengine hata cwezi kuyaandika...ingawa anasikia na kuelewa kila kitu unachomwambia.
Kama baba ake ningetamani nisikie anatamka neno baba au kuongea vizuri nina hamu kweli..kama we ni mzazi utakua unajua ni kiasi gani unapata furaha mtoto akianza kuongea.
Wadau naombeni ka kuna anayejua mbinu za kumfundisha mtoto kuongea anisaidie..
Natanguliza shukrani
Mbeky
Bado mdogo. Huna haja ya kuwa na wasiwasi wowote.

Mjitahidi kumuongelesha mara kwa mara na kutamka maneno polepole. Ukiongea nae, kama muktadha unaruhusu hakikisha mtoto anakutizama usoni ili aweze kuona jinsi unavyotamka maneno. Mara nyingi utaona nae anajaribu kuchezesha tumidomo twake akikufuatisha unavyoongea.

Msimcheke anavyokosea kutamka maneno. Epukeni kumuongelesha "kitoto".
 
Msaada kwenye tuta. Tuna mtoto wa kike karibia afunge mwaka wa pili sasa. Cha kushangaza mara nyingi anasahau kutamka baba na hivyo kuunganisha mama kwa baba na mama yake.
Hii nayo ni ya kuipotezea au kuna shida? Na kama ni shida tufanye nini basi!!??
 
Zombie ni wewe. Ndo umeandika nini? Kalaze viroba ulivyopiga kesho kazini.

Kwani wewe umesoma nini hapa? Halafu usidhani kila mtu anakunywa viroba kama wewe! Mi mwenyewe mwanangu ana umri kama huo na hajui kuongea zaidi ya hiyo tetete baba toka npe lakini sina presha sasa wewe zombi mdogo naona unataka kubishana na Mungu muumba mmezeshe betri basi mwanao ili aende sawa na radio.
 
Zombie mdogo mkeo. Kwani ungemueleza vizuri bila lugha uliyotumia ungepungukiwa nini?
 
Zombie ni wewe. Ndo umeandika nini? Kalaze viroba ulivyopiga kesho kazini.
khaa mbona mipasho teeena? aya mkuuu mtoa mada mara nyingi imekua changamoto katika kuongea na kutembea kwa watoto wakiume,,ndo wanasemaga ulimi wao mzito,so subiri tu kidogo atachanganyia kuongea ila ni vzuri kama atapata pia company ya watoto wenzake wadogo hiyo inamfanya achangamke sanaaa
 
Hakuna kitu kinachofurahisha kama kupata mtoto wa kwanza hasa kama mlikuwa na mpango huo. Yaani unatamani akiwa na miezi sita aanze chekechea ili ulipe ada.

Mwanao atakuwa wa kwanza mkuu. Kama wa kwangu. Ndio maana una hamu kweli aongee fasta akuitw baba etc.
Ningekushauri u relax. Hajachelewa kwenye milestone yake ya kuongea na kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu kwa mtoto wa kiume anachelewaga.

Dah..ni kweli wadau..huyu ni mtoto wangu wa kwanza..yahani kila siku nipo sema baba sema mama...
Mtoto wa kwanza noma sana..
Nashukuruni sana
 
Mtaftie acheze na watoto wengine at least waliomzidi umri kidogo or mahali wanapoweza kujichanganya...mtoto wa kiume huwa anachelewa ula na mazingira yanaweza yakamfanya azidi kuchelewa mfano kama anacheza peke yake kwenye geti 24/7 unategemea when will he pick up the words ndo maana watoto wa uswazi wanawahi kuongea kuliko watoto wa geti PROVED
 
Zombie mdogo mkeo. Kwani ungemueleza vizuri bila lugha uliyotumia ungepungukiwa nini?

Mdau achana naye uwezo wake wa kufikiri ndio umeishia hapo..na kama kweli anamtoto kama anavyodai atakua anajua ni jinsi gani baba/mzazi unavyokua anxious kwenye maendeleo na ukuwaji mwanao
 
Mtaftie acheze na watoto wengine at least waliomzidi umri kidogo or mahali wanapoweza kujichanganya...mtoto wa kiume huwa anachelewa ula na mazingira yanaweza yakamfanya azidi kuchelewa mfano kama anacheza peke yake kwenye geti 24/7 unategemea when will he pick up the words ndo maana watoto wa uswazi wanawahi kuongea kuliko watoto wa geti PROVED

Ndio mkuu...amekua anakaa ndani muda mwingi na dada wa kazi au ka sio hivyo basi kalala mchana..
Hili nalo ntalifanyia kazi mdau..nashukuru
 
Back
Top Bottom