Mbeky
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 672
- 516
Habari za wakati huu wadau.
Wadau nina mwanangu wa pekee anaumri wa mwaka mmoja na miezi mi nne sasa ni wa kiume na ni mwenye afya nzuri na mchangamfu.
Tatizo mwanangu huyu hawezi ongea vizuri namaanisha hawezi ongea maneno yanayoeleweka zaidi ya tataaa taaa..na mengine hata cwezi kuyaandika...ingawa anasikia na kuelewa kila kitu unachomwambia.
Kama baba ake ningetamani nisikie anatamka neno baba au kuongea vizuri nina hamu kweli..kama we ni mzazi utakua unajua ni kiasi gani unapata furaha mtoto akianza kuongea.
Wadau naombeni ka kuna anayejua mbinu za kumfundisha mtoto kuongea anisaidie..
Natanguliza shukrani