JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 625
- 938
ZINGATIA: Zima 'Wi-Fi' na 'Bluetooth' wakati unapokuwa hutumii.
Kufanya hivyo itakusaidia kutounganishwa na mitandao isiyo salama pamoja na kutunza chaji kwenye kifaa chako cha elektroniki
Asante JamiiTalks kwa mada hizi fupi kwa maslahi ya jamii, endeleeni kupanua wigo mpaka kwenye masuala ya afya imani, ulinzi elimu nkView attachment 1776174