Jifunze jinsi ya kuongeza nguvu za kiume

Endelea kusubiri kumeza ulichotafuniwa,

Sent using Jamii Forums mobile app
Uume ni kama vidole au mkono,huwezi ongeza urefu wa mkono au mguu,unachoweza kufanya ni kuongeza unene,ndio mana unaona watu wanaenda gym sio kuongeza urefu wa viungo hivyo bali unene,uume pia unaweza kuufanyisha gym yake ile uwe mnene na imara tu sio kuwa mrefu.Gym ya uume ni bafuni,maji ya moto kiasi na taulo dogo ambalo unaliloweka kwenye maji hayo ili liwe zito na la moto,kisha unaubebesha uume uliosimama hilo taulo ,then unatumia misuli ya uume kwa kuuinua juu na kushusha uume ukiwa umebeba uzito wa taulo
 
Lit
 
hapo mashine inakaangizwa kabisa, viungo vingi kuliko pilau
...ila solution nyingi za mkuu Rakims zinataka moyo.
Kama ni Dawa basi utatajiwa viungo ambavyo vingine hujapata kuvisikia toka uzaliwe...daima haviwi vile vilivyozoeleka kwa matumizi ya kawaida ya binadamu kama kitunguu, binzari, pilipili, mdalasini, tangawizi, nyanya chungu na kadhalika...nakiri kwamba sijawahi kuona ama kuwa na matumizi na kiungo chenye jina LA kibiriti !!! ..
...na ikiwa no kwenye kunuizia jambo basis utatakiwa utaje jina LA Nguvu husika Mara...Alfu Tatu!...ndio mhusika atakusikia na kukifuata ulipo!! Mara Alfu Tatu!!!...si utakesha usiku mzima ukikiita kitu Mara Alfu Tatu jamani!!...hata kama kitu chenyewe kina jina fupi la 'Ali' !!...Mara Alfu Tatu???
Nilidhani nguvu inapaswa kuitwa japo Mara Tatu tu au basi hata Mara kumi, basi. Inakusikia na inakuja...Mara Alfu Tatu?? Kweli mtaka cha Uvunguni lazima ainame, hakuna cha kubinua matanda wala nini...!!
 
Mim nikijana was miaka33 Sasa nimeoa nko ktk ndoa miaka6 ktk kipindi chote Cha ndoa nimejua nashida ya nguvu za kiume nyaan nguvu ni ndogo Sana imefikia hatua Sasa hausimami pindi tuwapo ktk maandalizi yakushiriki tendo utasimama sekundd10 Kisha unalala nahata ukifanikiwa utalala ukiwa ukeni Hali iliyofikia Sasa siwez simamisha pindi nihitajipo tendo la ndoa au mke ahitajipo tendo la ndoa
Cha ajabu niwapo usingizin usiku uume husimama..wakuu nimepeni msaada
 
Changamoto Kubwa Sana
Pole Sana Kwa Kuumwa
Ila Una Uhakika Kuwa Chanzo Cha Tatizo Ni Nguvu Ama Una Jingine
 
Fanya kitu kimoja kanunue shubiri kila unapokunywa chai au uji weka kidogo ili usafishe mirija iyo inaweza kuwa imeziba kidogo alaf unapoenda kupiga mechi hema kwa mdomo bhana usiheme kwa pua ndio maana dushe lina laliemo umo alaf kama vipi kabla ya mechi kama lisaa limoko hivi kunywa maji mengi kama lita mbili hivi utanishukuru baadae
 
Kiongozi
Wakati Huu Ni Shida
 
Kama ngoma inasimama ukiwa usingizin lakin inakuwa kama Mkufu ukiwa na Wife tatizo lako ni hisia kwa mkeo zimepotea. Dawa sio kunywa dawa ni kufanya tathmin
 
Back
Top Bottom