Jifunze jinsi ya kuongeza nguvu za kiume

Mimi tokea nianze, nibobee / nitukuke katika kupiga ' Punyeto ' naona sasa hivi ' Uume / Mkuyenge ' wangu ni mkubwa sana halafu ni mrefu mno kiasi kwamba hadi naogopa kila nikikutana na ambao huwa ' nawabandua '. Na yawezekana labda ndiyo maana wengi wao nikishamalizana nao Kitandani tukishaagana tu hadi namba zangu za Simu huwa wanazifuta na hata nikiwatafuta kwa ' a rematch ' wananikwepa.
aisee dunia ina mengi
 
Niko na swali ndugu.

1.Je wajua mtu aliepungukiwa nguvu za kiume akitumia vitunguu swaumu punje 8 na glass ya maji kutwa mala mbili nguvu hizo hurudi?

2. Iwapo hivyo ndivyo na mimi hapa ni shahidi basi tiba hiyo ni tiba?au na yenyewe unaiweke ktk kundi la dawa za nguvu za kiume na si kutibu tatizo?maana kuna waliotumia na hawajawahi rudia kupungukiwa na nguvu za kiume

?????????

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Ndo maana amekwambia nguvu za kiume zinasababishwa na sababu nyingi, dawa uliyotumia wewe ikakusaidia inaweza isimsaidie mtu mwingine kutegemeana na chanzo cha tatizo lenyewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uwezo wangu wa kufikiri naona kwamba solution ya tatizo ni kujaribu kufuata somo linavyofundisha mfano anaposema moja ya sababu ni kutopata usingizi wa kutosha basi inabidi kuhakikisha yale masaa saba ya kulala usingizi yanayoshauriwa na wataalamu wa afya haukosi kuyatimiza,au anaposema kufanya kaz kwa kupindukia kunachosha mwili basi inabidi kufanya kazi kwa kiasi kwani hata maandiko ya Mungu yanataka binadamu awe na kiasi,usile vyakula visivyo bora (junk food),na kadhalika ukitimiza hayo huhitaji kutumia madawa ya kumgeza nguvu za kiume. nilisumbuliwa na tatizo hilo kwa miaka mingi nikalaumiwa sana na mke wangu lakini baada ya kugoogle sana nilifanikiwa kukutana na nyuzi kama hizi kwenye site za duniani nikatimiza masharti yote yaliyoelekezwa nikafanikiwa sana sasa heshima imerudi. (tahadhari: tendo la kujamiiana ni kwa wana ndoa tu,kinyume na hapo ni ubatili mbele ya mwenyezi MUNGU. ) wasalaam Rodwell mTZ.
Sasa kama umeoa hayo masaa 7 itakuaj? Wengine tunalala masaa 4 hayo matatu ni kutunza ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa yeyote mwenye tatizo la nguvu za kiume ..pia kukuza na kurefusha uume kwa kutumia mvunge ..mpigie dr kanyat 0744903557 tanga...mim nimeshuhudia nilikuwa sina nguvu za kiume na nilikuwa na nchi 2 uume saiv nina nchi 7.5...ni dr mwaminifu ...mpigien simu
Duuu inchi mbili ukiwa umesimAm au umelala? Mbona ulikuwa mdogo mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asiwadanye mtu hakuna dawa ya kuongeza uume,labda kama mnataka kuongeza matiti na makalio,hizo zipo,za uume bado,na ataefanikiwa kugundua atakua milionea kuliko wa dawa ya kansa na ukimwi,sababu maumbile na madogo ni shida ya wanaume wengi matajiri na viongozi wakuu wa kisiasa duniani ,wafanyabiashara na masikini ,ni janga,muhimu kujikubali tu
 
asiwadanye mtu hakuna dawa ya kuongeza uume,labda kama mnataka kuongeza matiti na makalio,hizo zipo,za uume bado,na ataefanikiwa kugundua atakua milionea kuliko wa dawa ya kansa na ukimwi,sababu maumbile na madogo ni shida ya wanaume wengi matajiri na viongozi wakuu wa kisiasa duniani ,wafanyabiashara na masikini ,ni janga,muhimu kujikubali tu
Endelea kusubiri kumeza ulichotafuniwa,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu wa JF naomba mnisaidie mmnasumbuliwa na tatizo gani maan chini ya kitovu nasikia maumivu makali San na pia korodani moja ya upande wa kushoto nackia maumivu makali inavuta kwenda chin
Hili ni TATIZO gani
 
Ndugu zangu wa JF naomba mnisaidie mmnasumbuliwa na tatizo gani maan chini ya kitovu nasikia maumivu makali San na pia korodani moja ya upande wa kushoto nackia maumivu makali inavuta kwenda chin
Hili ni TATIZO gani
Magonjwa ya zinaa tu hayo,fika hospitali,utachomwa sindano moja na vidonge utapewa,tena harakisha...
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom