Aisee kumbe kibamia changu soon kitatoweka !!!
Na mimi ntakuwa navaa nguo za kuogelea zilizobana sasa, mana ilikuwa ni aibu mana nilikuwa naoga na nyanyapuza kuficha kibamia
ukicheck website yake utacheka sana
hamna chochote wezi tuKeep laughing as long As it keeps you happy
hahahahahahapo mashine inakaangizwa kabisa, viungo vingi kuliko pilau
sawahamna chochote wezi tu
hahahahaha
hii reply kama ina majonzi hiviHivyo vigezo vya kuitwa kibamia ukiangalia vyote kama utakuwa salama mshukuru Muumba
nilishakupiga?Lazima wapigwe watu hapa, The Return of the "Meditation Master" Rakims.
Hapana Mkuu......Click hii post hapo chini kuna shuhuda.nilishakupiga?
kwa hiyo hilo ndio lililokutia dukuduku kuniona tapeli sio? fine then, yeyote anaweza kusema lolote na huwezi kumfanya chochote the end of all this is just a forum so huwezi kufanya lolote
Bro naomba kuzungumza na wew kama hutojaliJinsi ya kuongeza nguvu za kiume.
Kwanza unatakiwa ujue kwamba hakuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume Bali zipo za kubusti tu na kukupa power kwa wakati husika,
Pili unatakiwa ujue kwamba ukishaanza kumeza dawa za kubusti wenyewe ndio mnaziita za kuongeza nguvu za kiume basi ujue wewe ni kama mgonjwa wa dawa za kulevya hauwezi kuperform mpaka ujibusti na dawa.
Hakuna mwenye upungufu wa nguvu za kiume wa kudumu Bali stress za maisha,Cycology ya mtu aliyojijengea na baadhi ya vyakula ndio vinavyosababisha
Fanya yafuatayo wish utakuwa Normal tu.
1: kunywa Maji mengi kila siku
2 :Fanya mazoezi
3:kula ushibe hapa ni pa kuzingatia sana siyo kila vyakula unafakamia tu.
4:Ondoa mawazo ya kwamba hauna nguvu za kiume.
5:Ralaxe na ujikubali kwamba hauna hilo tatizo.
NB;Achana na matapeli wanaosema wana dawa za kuongeza nguvu za kiume wakati dawa kuu ya Nguvu za kiume ni wewe mwenyewe.!