Jifunze jinsi ya kuongeza nguvu za kiume

Aisee kumbe kibamia changu soon kitatoweka !!!
Na mimi ntakuwa navaa nguo za kuogelea zilizobana sasa, mana ilikuwa ni aibu mana nilikuwa naoga na nyanyapuza kuficha kibamia
 
Uume haupimwi ukiw umelala... hizo sifa za hapo ni kuwapa presha vidume, kuna watu dushe likipoa kam pipi ila ngoja lishtuliwe.
Tip.: Ukiona unakojoa uume wako umesinyaa kbs haushtuk ht kdg ujue una tatzo, na ukistuka kdg jarb kuunesesha kwa misul tu, ukiiona unatumia nguv sana mpk unafeel sewage inacheza afu shina linanesa kidespacito ujue napo kuna kitatizo
 
mkuu hiyo siyo nyento??

jamani tufanye mazoez tu, hayo madawa mara changanya hiki mara kile mmmmh,,

team mazoez mikono juu
 
Hatimaye nimepata suluhisho la tatizo langu.

Ngoja niingie sokoni kesho kucheki hayo masotojo
 
Jinsi ya kuongeza nguvu za kiume.

Kwanza unatakiwa ujue kwamba hakuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume Bali zipo za kubusti tu na kukupa power kwa wakati husika,

Pili unatakiwa ujue kwamba ukishaanza kumeza dawa za kubusti wenyewe ndio mnaziita za kuongeza nguvu za kiume basi ujue wewe ni kama mgonjwa wa dawa za kulevya hauwezi kuperform mpaka ujibusti na dawa.

Hakuna mwenye upungufu wa nguvu za kiume wa kudumu Bali stress za maisha,Cycology ya mtu aliyojijengea na baadhi ya vyakula ndio vinavyosababisha

Fanya yafuatayo wish utakuwa Normal tu.

1: kunywa Maji mengi kila siku

2 :Fanya mazoezi

3:kula ushibe hapa ni pa kuzingatia sana siyo kila vyakula unafakamia tu.

4:Ondoa mawazo ya kwamba hauna nguvu za kiume.

5:Ralaxe na ujikubali kwamba hauna hilo tatizo.

NB;Achana na matapeli wanaosema wana dawa za kuongeza nguvu za kiume wakati dawa kuu ya Nguvu za kiume ni wewe mwenyewe.!
Bro naomba kuzungumza na wew kama hutojali
 
Back
Top Bottom