Jifunze jinsi ya kuongeza nguvu za kiume

JINSI YA KUKUZA UUME & KUONGEZA NGUVU

penis-size-640x426.jpg

Tatizo la kuwa na uume mdogo limekuwa ni la wengi hasa baada ya kuongelewa sana na wanawake kuwa wanaume wanakuwa na uume mdogo ambao haukidhi haja ya mwanamke na mwanamke yule huanza kumzalau mwanaume na kuona hafai,

ambapo hii hufanya wanaume wengi pale wanawake wanapoanza kuwazalau huhisi ni kuto kuwaridhisha kitandani, kama humridhishi think about once ulipoanza kuwa nae je hukua wewe uliyekuwa ukimfanyia na kukusifu kwa sifa zote sasa hivi anakuzalau, unadhani ni tatizo uume wako haukidhi haja zake? don't lie to yourself wanawake zalau ni sehemu ya maisha yao and everyday they needs more so lets see kama una uume mdogo

Vigezo vya kuonyesha una uume mdogo:

  • Uume wako ni mdogo kuliko dole gumba la mguu wako ukisinyaa?

  • Uume wako ukivaa suruali ni mdogo kiasi cha kwamba hauvimbishi suruali?

  • Uume wako ni mfupi na korodani zako ni ndefu kuliko uume?

  • Uume wako korodani zake husinyaa muda wote hata ukiwa na joto?

  • Uume wako ni chini ya 5 inch?
Kama moja kati ya hayo maswali jibu ni ndio basi jua kabisa una uume mdogo (kibamia)

TIBA:

Tiba ya tatizo hili ni mbili moja ni zoezi na mbili ni dawa

ZOEZI LA KUKUZA UUME

Ili uweze kukuza uume wako fanya zoezi hili kama ifuatavyo:

secan-222.jpg

Chukua dawa zifuatazo na usage kila moja peke yake:
  1. Filfil(pilipili manga)

  1. kiberiti upele(dawa ya njano ya fangasi)

  1. Haltiti (asafoetida)
Baada ya hapo utazichanganya na asali kwa ujazo wa dawa zenyewe

Kila ifikapo asubuhi wakati unapotoka kulala kabla hujafanya chochote na wakati unaenda kuingia kulala, Shika uume wako jumla na korodani zako kwa kutumia dawa hizo ushike pamoja na korodani zake kama uonavyo kwenye picha hapo A juu, Uvute na uushikilie kwa muda wa sekunde 90,

kisha upeleke kulia na uuzuie hapo kwa sekunde 90 tena B, kisha uvute kushoto na uushikilie kwa sekunde 90 tena hiyo ni siku ya kwanza

yapili na tatu utaongeza sekunde 30 ya ya nne na tano utaongeza dk 1 zinakuwa dk 2 na sekunde 30 ya sita na saba utakamilisha dakika 3 fanya hivyo kwa wiki tatu kila ukimaliza saba unaanza tena sekunde 90

Matokeo:

Baada ya hapo ukijiangalia utajiogopa na ukiona imekuwa kubwa zaidi reverse zoezi hizo kwa kuirudisha kinyume nyume hadi hapo utakapo ona imefaa,

Pia baada ya hapo kuna baadhi ya watu huhisi tupu zao zimekuwa hazina ugumu sana kama kwanza

hivyo utatakiwa kurejesha ukakamavu au kuuimarisha zaidi na kuongeza mbegu kwa kuchanganya dawa zifuatazo:

  • Udi karaha

  • Habbat sauda

  • Khulinjani

  • Fil fil

  • Mbegu za figili

  • Basibasi au JAUZA

  • Tangawizi

  • Karafuu

  • ASALI lita moja na nusu

  • Alkasus
Saga dawa hizi kila moja kivyake na utoe vijiko viwili viwili na uziweke zote kwenye asali lita moja na nusu

Matumizi:

Utatumia kunywa kutwa mara 3 vijiko viwili viwili..

Angalizo:

Ukiimarisha ndoa yako basi mwenyezi mungu atupe wote sawabu, Lakini kama utatumia kuzuru watoto wa watu mimi simo hii ni elimu tu we share

Rakims
 
Mbona kwenye mazoezi hujatoa maelezo mkuu?

Si unajua mazoezi bure na safe zaidi.
 
Mimi tokea nianze, nibobee / nitukuke katika kupiga ' Punyeto ' naona sasa hivi ' Uume / Mkuyenge ' wangu ni mkubwa sana halafu ni mrefu mno kiasi kwamba hadi naogopa kila nikikutana na ambao huwa ' nawabandua '. Na yawezekana labda ndiyo maana wengi wao nikishamalizana nao Kitandani tukishaagana tu hadi namba zangu za Simu huwa wanazifuta na hata nikiwatafuta kwa ' a rematch ' wananikwepa.
 
Kwaiyo Punyeto ni fresh? ni poa? ni yako ?
 
  • Udi karaha
  • Habbat sauda
  • Khulinjani
  • Fil fil
  • Mbegu za figili
  • Basibasi au JAUZ

  • Alkasus
Haya ndio manini mbona yana majina yanayofanana na majini?

akili yako tu mkuu imebase sana huko ndio maana unaona hivyo hayo ni majina ya dawa za kiarabu na viungo vya chakula
 
Mimi tokea nianze, nibobee / nitukuke katika kupiga ' Punyeto ' naona sasa hivi ' Uume / Mkuyenge ' wangu ni mkubwa sana halafu ni mrefu mno kiasi kwamba hadi naogopa kila nikikutana na ambao huwa ' nawabandua '. Na yawezekana labda ndiyo maana wengi wao nikishamalizana nao Kitandani tukishaagana tu hadi namba zangu za Simu huwa wanazifuta na hata nikiwatafuta kwa ' a rematch ' wananikwepa.

i think ni kinyume na unavyofikiria mkuu
 
Back
Top Bottom