zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,018
- 3,512
interesting
Hahah mkuu we muache tu aendelee kupoteza muda na tangawizi zake.Hahaaa amesahau kwamba kile kishimo hakiridhikagi
Pale simba anapomfundisha swala majani mazuri yanapopatikana
Ngoj niulize
Oliver oil hapo sijakupata mkuu nishanunua vyoteee teh
Nataka kujua kwanini hamjanitag wakati na mimi nina ulemavu huu pia?
Utafanya hizo bidhaa ziadimike na kupanda bei
...hivi vitunguu ni lazima vitunguu maji tu ama unaweza kutumia hata vitunguu saumu tu?Asali ipi mbichi au ipi au ya nyuki wakubwa au wadogo