Jinsi ya kukuza uume kwa njia za asili

bardizbah

bardizbah

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Messages
1,437
Points
2,000
bardizbah

bardizbah

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2017
1,437 2,000
Ngoj niulize

Oliver oil hapo sijakupata mkuu nishanunua vyoteee teh
Mambo vipi wadau

Leo nataka niwafunze wanaume wa JF Jinsi ya kukuza Uume in Two weeks!!!! Unahitaji glass ya maji, Tangawizi, kitunguu, Olive oil, Asali na Ruler.

Saga Tangawizi na kitunguu pamoja, weka kwenye kikombe cha chai, tia maji kidogo then weka vijiko vitatu vya Asali! Kunywa huo Mchanganyo! In 10 Minutes Nenda bathroom, Chukua ruler, pima Urefu andika kwenye karatasi!

Then anza kumasaji kwa kuvuta kwenda Mbele, massage kwa kuvuta juu, massage kwa kuvuta kushoto then vuta kulia!! Tumia Mafuta ya Olive oil kumassage!!! Kuwa kama unachora Msalaba!! Vuta juu, Vuta chini, vuta kusho na vuta kulia!!!! Fanya hivyo five times!!! Yaani vuta juu five times, Chini five times Kushoto five times, Kulia x 5 etc

Ukimaliza Vaa boxer loose, isiyobana! Repeat that Asubuhi na jioni! Make sure kila baada ya kunywa kinywaji chako, unajipima ili kujua Mboo yako inakuwa Nchi ngapi kwa siku.

Kama wewe una uume medium, plz usifanye zoezi hili kwa week 2!!!! Fanya siku Tatu tu zinatosha!!!! Narudia usinywe hicho kinywaji kama huna kibami !!!Utakimbiwa !!!

Feedback niletee PM
 
N

ngakotecture

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2014
Messages
1,125
Points
2,000
N

ngakotecture

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2014
1,125 2,000
mkuu tiba yako umejifunza wapi na na uhakika kwa asilimia ngap
 
CHIEF WINGIA

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Messages
725
Points
1,000
CHIEF WINGIA

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2013
725 1,000
Dawa ya urefu ni kutembea na mtu mfupi
 
N

ngakotecture

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2014
Messages
1,125
Points
2,000
N

ngakotecture

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2014
1,125 2,000
Asali ipi mbichi au ipi au ya nyuki wakubwa au wadogo
 
ruby garnet

ruby garnet

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2017
Messages
2,041
Points
2,000
ruby garnet

ruby garnet

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2017
2,041 2,000
Mambo vipi wadau

Leo nataka niwafunze wanaume wa JF Jinsi ya kukuza Uume in Two weeks!!!! Unahitaji glass ya maji, Tangawizi, kitunguu, Olive oil, Asali na Ruler.

Saga Tangawizi na kitunguu pamoja, weka kwenye kikombe cha chai, tia maji kidogo then weka vijiko vitatu vya Asali! Kunywa huo Mchanganyo! In 10 Minutes Nenda bathroom, Chukua ruler, pima Urefu andika kwenye karatasi!

Then anza kumasaji kwa kuvuta kwenda Mbele, massage kwa kuvuta juu, massage kwa kuvuta kushoto then vuta kulia!! Tumia Mafuta ya Olive oil kumassage!!! Kuwa kama unachora Msalaba!! Vuta juu, Vuta chini, vuta kusho na vuta kulia!!!! Fanya hivyo five times!!! Yaani vuta juu five times, Chini five times Kushoto five times, Kulia x 5 etc

Ukimaliza Vaa boxer loose, isiyobana! Repeat that Asubuhi na jioni! Make sure kila baada ya kunywa kinywaji chako, unajipima ili kujua Mboo yako inakuwa Nchi ngapi kwa siku.

Kama wewe una uume medium, plz usifanye zoezi hili kwa week 2!!!! Fanya siku Tatu tu zinatosha!!!! Narudia usinywe hicho kinywaji kama huna kibami !!!Utakimbiwa !!!

Feedback niletee PM
Nikitaka hii huduma unifanyie itawezekana?. Maana ninakibamia.
 
Mr pianoman

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Messages
335
Points
500
Mr pianoman

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined May 22, 2019
335 500
Me nataka yakunenepesha uume mkuu uwe mnene vipi unayo?
Mambo vipi wadau

Leo nataka niwafunze wanaume wa JF Jinsi ya kukuza Uume in Two weeks!!!! Unahitaji glass ya maji, Tangawizi, kitunguu, Olive oil, Asali na Ruler.

Saga Tangawizi na kitunguu pamoja, weka kwenye kikombe cha chai, tia maji kidogo then weka vijiko vitatu vya Asali! Kunywa huo Mchanganyo! In 10 Minutes Nenda bathroom, Chukua ruler, pima Urefu andika kwenye karatasi!

Then anza kumasaji kwa kuvuta kwenda Mbele, massage kwa kuvuta juu, massage kwa kuvuta kushoto then vuta kulia!! Tumia Mafuta ya Olive oil kumassage!!! Kuwa kama unachora Msalaba!! Vuta juu, Vuta chini, vuta kusho na vuta kulia!!!! Fanya hivyo five times!!! Yaani vuta juu five times, Chini five times Kushoto five times, Kulia x 5 etc

Ukimaliza Vaa boxer loose, isiyobana! Repeat that Asubuhi na jioni! Make sure kila baada ya kunywa kinywaji chako, unajipima ili kujua Mboo yako inakuwa Nchi ngapi kwa siku.

Kama wewe una uume medium, plz usifanye zoezi hili kwa week 2!!!! Fanya siku Tatu tu zinatosha!!!! Narudia usinywe hicho kinywaji kama huna kibami !!!Utakimbiwa !!!

Feedback niletee PM
 
BabaDesi

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Messages
3,232
Points
2,000
BabaDesi

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2007
3,232 2,000
Baby Nimah, Uzi huu umekufa? Mbona hatujapata majibu ya maswali yetu?
...hivi vitunguu ni lazima vitunguu maji tu ama unaweza kutumia hata vitunguu saumu tu?
 
Forum statistics

Threads 1,315,270
Members 505,171
Posts 31,851,972
Top