Jinsi ya kujua uwezo wa misuli yako ya uume.

kufanakupona

JF-Expert Member
Jun 18, 2015
522
417
HATUA
-Jisaidie haja ndogo ukiwa umesimama kwa miguu, usipige hatua wala kuinua mguu.
-Baada ya kumaliza haja ndogo, hesabu hatua tatu za miguu kwenda mbele.
-Angalia mkojo wako umedondokea kwenye hatua ipi na point ngapi.
-Kokotoa hatua uliyopata kwenda asilimia. Hatua moja ina asilimia 33 na moja ya tatu (33 1/3%)

MJADALA
1: Kitu gani cha kula ili kuongeza umbali wa kutua mkojo?
2: Ongezea njia nyingine kama unazijua za kutambua uimara wa misuli ya uume.
 
nadhani uume Wangu naupima pale nikimsukumizia mashine demu!!
Hiyo procedure yako ina walakini sana!!
Kwanza itategemea Na uwingi wa mkojo wakati unakojoa!!!
Kama mkojo Ni mwingi, obviously utaruka kwenda mbali!!
Njia ya kumsukumizia mwanamke mashine, naona nayo kama ina walakini, kwa sababu, hata kama ulianza kuingiza mashine ikiwa legelege, baadaye itakuwa strong ndani ya uke.
 
HATUA
-Jisaidie haja ndogo ukiwa umesimama kwa miguu, usipige hatua wala kuinua mguu.
-Baada ya kumaliza haja ndogo, hesabu hatua tatu za miguu kwenda mbele.
-Angalia mkojo wako umedondokea kwenye hatua ipi na point ngapi.
-Kokotoa hatua uliyopata kwenda asilimia. Hatua moja ina asilimia 33 na moja ya tatu (33 1/3%)

MJADALA
1: Kitu gani cha kula ili kuongeza umbali wa kutua mkojo?
2: Ongezea njia nyingine kama unazijua za kutambua uimara wa misuli ya uume.
Elimu kanjanja akuna uhusiano wowote hapo umedanganywa na wewe unadanganya hivyo ni wadanganyika
 
Mtoa madaa ulianza vizuri lakini kuhusu umbali wa mkojo inategemea mf ukipiga kaz yaukweeusiku asubhi mkojo hata hatua moja haufiki, njia pekee niuwezo wa kufanya firm erection only by thoughts ukishindwa hapo anza kegel exercise
- Kegel naifananisha na uinuaji wa vyuma vizito, misuli inakuwa iko strong ukiwa umeshamiri kufanya mazoezi, ukiacha misuli inanywea, ina apply hivyo hivyo kwenye kegel. Unaichukuliaje hii?
- Kegel bila chakula chenyewe chenyewe cha kuimarisha misuli siyo sawasawa na kazi bure?
 
Kilichonipelekea kujibu hivo n kutokana Na matokeo ya ninapo kunywa maji mengi hua naenda sana haja ndogo

Halafu nimeandika nahisi so Sina uhaika neno langu si sheria
Lakini mama, kunywa sana maji mengi siyo kwamba ndiyo umbali wa kutua mkojo, unakuwa unaenda haja tu mara kwa mara. Anyway, pia kuna njia ya kujua uimara wa misuli ya mwanamke, jisaidie haja ndogo ukiwa umechuchumaa, haja yako ikichimba shimo la nchi mbili kwenda chini, basi hapo misuli yako uke wako unabana inavyotakiwa.
 
Back
Top Bottom