Jinsi ya kujua kama wewe ni mzembe

Naomba kuongezea na hizi;
6. Mtu kuwa na visingizio kwa yanayomhusu
Mfano mwanafunzi huwa anaona kero kuamka asubuhi kwenda shule pengine kwa kisingizio cha baridi au akifikiria umbali au pengine kuna kazi alipewa na hakumaliza.
Kwa mfanyakazi kupenda kuwakabidhi majukumu yake watu wengine.

7. Mtu kuwa na viporo vya kazi za jana,juzi au kuendekeza kuweka rundo la majukumu pasina sababu akiamini kesho nayo siku ataendelea.
. Truth
 
Salaam wana jamvi wa JF, hatimaye mwezi wa kwanza unayoyoma. Twende moja kwa moja kwenye mada utajuaje kwamba wewe ni mzembe.

Hizi ni indicators za uzembe.

1. Kuwa na ratiba zaidi ya muda wa kutekeleza

Hii inatokea pale ambapo mtu kwa kupenda anaamua kuweka ratiba nyingi ambazo hana muda maalum wa kuzitekeleza na mwishowe kuishia kuzi postpone.

2. Kupuuzia kuzingatia mambo ya msingi

Unaweza ukawa darasani mwalimu au mtu mwingine ana deliver kitu cha muhimu ila unaona ni kitu cha kawaida au uenda wewe mwenyewe unaweza ukasoma mwenyewe kwa mda wako na kuishia kuyaacha na kusahau unabaki tu ila saa Robert alifundisha sema tu tukapuuzia. Alaa wenzio wanafaulu unasema mlipuuzia hujioni wewe ni mzembe.

3. Chumba unacholala hata kukipangilia unaona ni kama hesabu za logarithm

Una chumba unacholala au kitumia mfano geto au chumba cha aina yoyote ambacho unakitumia kwa muda wako lakini kukiweka katila hali ya usafi hutaki, yaani wewe kuweka hata peni ndani ya buti ni jambo la kawaida. Kwa wanawake hata kuanika nguo za ndani juu ya dressing table.

4. Kupenda shortcut

Kuna kijimsemo nilikisikia kinasema "Working with the laziest man is profitable, because he is gonna do things fastly to have time to rest",ni kama mwanafunzi anamuulizia mwalimu kama kuna njia yoyote fupi kuliko hii (nina uzoefu wa kuwakuta watu hawa hasa kwenye masomo ya Physics, Bios e.t.c).

Kwani ubongo wako una kazi gani ya msingi mpaka ukaona njia ya mwalimu ni ndefu , na hapa tumepoteza wengi hasa wanafunzi ambao wanapenda kununua solved pamphlet za Maths, Physics, Bios e.t.c wakidhani watafaulu, ukweli ni kwamba shortcut is the only way to shorten your life.

Hivi inaingia akilini kiandikwe kitabu kama Roger, T.Duncan, Nelkon, Chand, Tranter, Backhouse, Core Maths na kadhalika lakini wewe na akili zako timamu unanunua pamphlet ya mtu tu mtaani yenye page 200 eti imecover topics zote form 5 & 6 Physics au masomo mengine.

If you want to excel dig deep in appropiate books, na si kutumia vitabu uchwara

5. Kuwa free muda wowote

Kuna watu wengi ambao ukiwaomba muende kwenye miadi yoyote wao wako free mda wowote in short ni kwamba hawana hata ratiba maalumu kiukweli ni wazembe.
Sielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said Boss.

Umeongea kama mwanafunzi sana ila uvivu ni nature na malezi ya mtu unapolelewa kizembe utakua kizembe na kuwa mzembe pia swala la mazingira ya kazi wafanyakazi wengi wa umma ni wazembe kuliko wafanyakazi wa sector binafsi.
 
Kweli kiongozi,Nilikua kwa jamaa yangu mmoja ushuwani nikasikia mtoto anaita"dada njoo unitawaze"muda kidogo nikaliona ilo toto ,
yani ni kijana mkubwa sio mtoto lkn haweza kufanya kitu chochote,
Malezi yana muharibu mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuongezea na hizi;
6. Mtu kuwa na visingizio kwa yanayomhusu
Mfano mwanafunzi huwa anaona kero kuamka asubuhi kwenda shule pengine kwa kisingizio cha baridi au akifikiria umbali au pengine kuna kazi alipewa na hakumaliza.
Kwa mfanyakazi kupenda kuwakabidhi majukumu yake watu wengine.

7. Mtu kuwa na viporo vya kazi za jana,juzi au kuendekeza kuweka rundo la majukumu pasina sababu akiamini kesho nayo siku ataendelea.
Namba 7 imenigusa sana
 
Back
Top Bottom