Jinsi ya kujua kama charger ni fake au original

racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,041
1,530
Kama mnavyojua sikuhizi kupata charger original ya uhakika ni shida sana. Charger nyingi madukani humu zinaandikwa fast charger ila ukienda kuitumia ni matatzo tupu.

Leo nitaelezea njia rahisi ya kujua kama charger ni fake or original.

Kwanza charger fake ni ile isiyofikia kiwango chake kilichoandikwa, hivyo inakua ni udanganyifu kwa watumiaji.

Kwanza tujue fast charger ni zipi. Fast charger kwa standard za sasa za ulimwengu wa simu ni kuanzia 15W kwenda juu.

Aina za charger:​

1. 5W kwenda chini​

Hizi charger ndio slow chargers . Charger zinakua na Current ya 1A na Voltage ya 5V kutengeneza 5W (5V x 1A)

Charger hizi zipo sana kwenye simu za bei rahisi, iPhone charger za kuanzia iPhone XS kushuka chini na iPhone 11 pekee (sio Pro wala Pro Max) na charger feki nyingi zinakua na hii rating.

Kama simu yako haikuja na charger ya aina hii basi epuka kununua charger za aina hii.

2. 10W to 12W​

Hizi ni fast charger za zamani. Miaka ya nyuma hapo 10W na 12W charger zilikuwa zinahesabika kama fast chargers.
  • 10W zinakua na current ya 2A na voltage ya 5V
  • 12W zinakua na current ya 2.4A na voltage ya 5V
10W ndio common sana kwenye simu nyingi za bei ya kawaida na simu zilizotoka miaka ya nyuma hapa. Hizi zinacharge simu yako kwa speed inayoridhisha kama betri ya simu yako sio kubwa sana. Hata charger za Oraimo za 10k to 15k huwa zinakua ni za 10W

3. 15W to 20W​

Hapa ndio fast charger zenyewe zinapoanza. Kwenye kundi hili kuna:
  • 15W zinakua na current ya 3A na voltage ya 5V au current ya 2.5A na voltage ya 6V. Hizi charger zinakuja sana na simu za Samsung zenye USB C.
  • 18W zinakua na current ya 3A na voltage ya 5V (15W mode) au 9V-2A (18W mode)
  • 20W zinakua na current ya 2A na Voltage ya 10V au current ya 4A na voltage ya 5V
Hizi nazo ni common kwenye simu za bei ya juu kidogo

4. 25W kuendelea​

Hizi ni fast charger za sikuhizi za simu mpya mpya za bei ya kati na juu. Zinaenda mpaka 120W za akina Xiaomi na Oppo.

Point ya muhimu kujua ni kwamba hata ukichukua charager ya speed kubwa kuliko zote simu yako itacharge kwa speed inayoweza tu. Kwa mfano ukitumia charger ya 20W na simu yako uwezo wake ni 10W utakua umepoteza hela tu kwasababu simu yako haitazidi zaidi ya hapo.

Kujua uwezo wa charger yako angalia chini kuna maandishi yalikoandikwa Output kisha ina kiwango cha voltage na current inayofatia.

Chukua number kubwa za voltage (V) zidisha na current (A) kupata Power Wattage (W) ya charger yako
Mfano ya kwangu hapa kwenye picha ni 9V voltage na 2A current hivyo ni: 9V x 2A = 18W

PXL_20210403_100036926.jpg

Jinsi ya kujua uwezo wa charger unayonunua:​

Kwa watumiaji wa Android download app inayoitwa Ampere kupitia link hii: Ampere - Apps on Google Play

Baada ya hapo, angalia charger unayotaka kuchukua kwenye output na ushike kiasi cha current (A) kilichoandikwa pale na ufate maelekezo hapo chini.

Jinsi ya kutumia hyo app ni hvi:​

1. Fungua app bila kuchomeka charger. Subri ipime then some number ya min

Mfano kwangu ni: -320mA

Screenshot_20210403-125934.png

2. Chomeka charger subiri ipime them soma tena minimum value.
Mfano kwangu ni 2710mA

Screenshot_20210403-130004.png

3. Chukua number ya mwanzo bila negative: 320mA na number ya pili ikiwa inacharge: 2710mA.

Jumlisha hzo mbili unapata 3030mA. Gawa hiyo number kwa 1000 utapata 3.03A ambayo inaendana na charger yangu ambayo imekua rated kwa 5V 3A kma kwenye picha hapo chini. Hizo point unaachana nazo sababu si ina fluctuate. Hapo utapata Current (Ampere) sahihi ya charger yako.

PXL_20210403_100036926.jpg

Hapo kama current (A) uliyopata haiendani na kiasi kilichoandikwa kwenye charger ujue hiyo charger imedanganya na uachane nayo. Lakini pia jua kwamba USB cable inaweza changia kupunguza uwezo wa charger. Unaweza tumia njia hii hii kuhakikisha usb cable inapitisha umeme sahihi wa charger.

Kwah usipopata current sahihi jua charge au USB cable hazifikishi kiwango kilichoandikwa. Hapo sasa unaweza zuia kupigwa changa la macho na wauzaji waongo. Penda kutest charge pale pale dukani kabla hujaondoka.

Maelezo ya upimaji wa hyo app ni hivi:​

Hiyo number ya mwanzo bila charger ndio current (in ampere) inayotumika na simu, ukichomeka charger bado ile current inayotumiwa na simu ipo pale pale. Kwahyo kma charger ni ya 3A (3000mA) kuna kiasi cha huu umeme utakuwa unatumika kurun simu huku bado inacharget.

So kama kwenye mfano wangu hapo 2710mA ndio zinaenda kwenye battery hzo 320mA zinatumiwa na simu hutoka kwenye hyo charger. Ukiwa una charge simu or laptop simu ina switch kwenye kutumia umeme wa charger na sio battery tena kwa asilimia kubwa.

Ndio maana huwa unaona charging speed inapungua ukiww unatumia simu huku unaicharge sababu umeme unaotumiwa na simu unaongezeka na ule unaenda kwenye battery unapungua

Kama kuna sehemu nimekosea mnaweza nirekebisha na kma una swali uliza utajibiwa.
Paska njema.
 
Mkuu nini kitatokea kama simu haina fast charge lkj nikatumia fast charger ie 25W?
 
Simu inacharge kwa limit yake tu. Kma simu yako inakubal 10W mwisho basi itacharge kwa 10W tu hata ukichomeka charger ya 60W. Ndio maana simu za sikuhz hasa zenye USB type C unaweza charge hata na charger ya laptop kma macbook ya type C bila shida yoyote ile.
 
View attachment 1742176

Jinsi ya kujua uwezo wa charger unayonunua:​

Kwa watumiaji wa Android download app inayoitwa Ampere kupitia link hii: Ampere - Apps on Google Play

Baada ya hapo, angalia charger unayotaka kuchukua kwenye output na ushike kiasi cha current (A) kilichoandikwa pale na ufate maelekezo hapo chini.

Jinsi ya kutumia hyo app ni hvi:​

1. Fungua app bila kuchomeka charger. Subri ipime then some number ya min

Mfano kwangu ni: -320mA

View attachment 1742177

2. Chomeka charger subiri ipime them soma tena minimum value.
Mfano kwangu ni 2710mA

View attachment 1742178

3. Chukua number ya mwanzo bila negative: 320mA na number ya pili ikiwa inacharge: 2710mA.

Jumlisha hzo mbili unapata 3030mA. Gawa hiyo number kwa 1000 utapata 3.03A ambayo inaendana na charger yangu ambayo imekua rated kwa 5V 3A kma kwenye picha hapo chini. Hizo point unaachana nazo sababu si ina fluctuate. Hapo utapata Current (Ampere) sahihi ya charger yako.

View attachment 1742179

Uzi mzuri
 
Nashukuru. Nadhan apa umeeleza namna ya kujua chaja.
Sasa nitajuaje simu inahitaji chaja yenye uwezo gani ili nisijiumize na kutafuta machaja makubwa?
Achana na maelezo yanayoandikwa kwenye box.
 
Asante kwa Somo
 
Lazima uangalie kwenye box. Kma huna box angalia specification za simu yako kwenye website kma gsmarena.
Kwenye kipengelea cha battery huwa wanaandika maximum wattage inayopokea kutoka kwenye charger.

Mfano simu yangu aina ya Pixel 4. Kwenye screenshot hapo chini unaona wanaandika 18W Fast Charging. Ina maana hii ndio maximum simu yangu inaweza pokea
Screenshot_20210403-171435.jpg
 
View attachment 1742269
Ok shukran
 
Back
Top Bottom