MC44
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 2,170
- 3,269
KwanguLazima uangalie kwenye box. Kma huna box angalia specification za simu yako kwenye website kma gsmarena.
Kwenye kipengelea cha battery huwa wanaandika maximum wattage inayopokea kutoka kwenye charger.
Mfano simu yangu aina ya Pixel 4. Kwenye screenshot hapo chini unaona wanaandika 18W Fast Charging. Ina maana hii ndio maximum simu yangu inaweza pokea
View attachment 1742269
Fast charge NO.
Battery 4000mh
sa sijui itakuwa kwenye lile kundi la kwanza la 1.5W🤔🤔