Fahamu jinsi ya kujua jinsi (sex) ya mtoto tumboni bila ultrasound

18) Umachachari wa mjamzito (Clumsiness).

Kwa kila jinsi mwili/tumbo la mjamzito linavyokua, umachachari hua haukosekani, ila unapopitiliza mipaka kuliko kawaida, basi kuna uwezekano mkubwa wa kujifungua mtoto mwenye jinsia ya KIUME. - UMACHACHARI UMEZIDI MIPAKA

17) Kukua kwa Maziwa/Matiti (Breast Size).

Katika kila hatua ya mimba, mwanamke hua anagundua ni jinsi gani maziwa/matiti yake hubadilika kwa kukua. Kama ziwa/titi lake la kulia likitokea kuwa kubwa kuliko la kushoto, basi kuna uwezekano mkubwa wa kujifungua mtoto wa KIUME. Na kama titi/ziwa la kulia likiwa kubwa kuliko la kushoto, basi kuna uwezekano mkubwa wa kujifungua mtoto wa KIKE. - ZIWA LANGU LA KULIA NI KUBWA KULIKO KUSHOTO.

16) Rangi ya Chuchu (Nipple Color).

Rangi ya chuchu kipindi cha ujauzito zinaweza kuashiri jinsia ya mtoto, rangi inapokua ya kiza (darker) kuliko kawaida ni dalili ya kujifungua mtoto wa KIUME, na kama rangi haijabadilika katika hatua za mimba ni dalili ya mtoto wa KIKE. -CHUCHU ZIKO DARKER

15) Aina ya Ulalaji (Sleeping Position).

Kupendelea kulalia ubavu wa kulia ni dalili za kujifungua mtoto wa KIUME, na kupendelea kulalia ubavu wa kushoto ni dalili ya kujifungua mtoto wa KIKE. - NALALA PANDE ZOTE MBILI

14) Kuumwa Kichwa (Headache).

Kama mjamzito atakua na matatizo ya kuumwa kichwa mara kwa mara, mtoto wa KIUME yupo njiani kuja. Na kama hatokua na matatizo ya kichwa, basi uwezekano wa mtoto wa KIKE kuzaliwa. - SIUMWI KICHWA

13) Uzito wa Baba (Dad's Weight).

Kama mzazi wa kiume akiongezeka kilo, ni dalili za mama mjamzito kujifungua mtoto wa KIKE, na kama mzazi wa kiume asipo ongezeka kilo/au kupungua kilo ni dalili za mtoto wa KIUME. -SIJAMCHUNGUZA

12) Tumbo la Uzazi Kua Juu au Chini (Carrying High or Low).

Kama tumbo la mjamzito litakua juu, ni dalili za kuzaliwa mtoto wa KIKE, na kama tumbo la uzazi litakua chini basi inaashiria mtoto wa KIUME. -TUMBO LA UZAZI LIKO CHINI

11) Tamaa ya Chakula (Food Craving).

Tamaa ya kupendelea vyakula vya chumvi/ukali basi ni dalili ya kupata mtoto wa KIUME, na kupendelea kula vyakula vya sukari ni dalili ya mtoto wa KIKE. -NAPENDELEA VYAKULA VYA CHUMVI NA VIKALI

10) Miguu Kuvimba (Foot Swelling).

Kama miguu ya mjamzito haivimbi, basi inaashiria mtoto wa KIKE, kwani mtoto wa KIUME ana uwezo wa kumwongezea mjamzito uvimbaji wa miguu, mara mbili ya size ya huyo mjamzito miguu yake. - SIJAVIMBA MIGUU

9) Joto la Nyayo za Miguu (Foot Temperature).

Kama nyayo za miguu zitakua za baridi, kuna dalili ya kujifungua mtoto wa KIUME, na kama nyayo hazijabadilika joto lake halisia ni dalili za mtoto wa KIKE. - HAZIJABADILIKA JOTO

8) Kugawanyika Kwa Uzito Mwilini (Weight Distribution).

Kama mjamzito ataongezeka kilo/uzito mwili mzima, ni dalili za kujifungua mtoto wa KIKE. Na kama ataongezeka uzito kwenye tumbo tu ni dalili za mtoto wa KIUME kuwa njiani. - NIMEONGEZEKA MWILI MZIMA MPAKA VIDOLE

7) Nywele za Mwilini (Body Hair).

Nywele za mwilini kukua kwa haraka na kua imara, ni dalili za mtoto wa KIUME kuzaliwa, wakati dalili za mtoto wa KIKE hua nywele hazioti mwilini. ,- NYWELE HAZIOTI MWILINI.

6) Unawiri wa Nywele Kichwani (Hair Texture).

Nywele nzito na zenye mafuta/kunawiri ni kiashiro cha kujifungua mtoto wa KIUME, na nywele kavu/kukatika/kukosa mvuto/rough ni dalili ya kujifugua mtoto wa KIKE. - HAPA NIMESHINDWA KUJUA NINA DRED YA UREFU WA MIAKA 10.

5) Kipimo Cha BAKING-SODA (The Baking Soda Test).

Chukua vijiko viwili vya baking soda na kisha changanya na mkojo wa mjamzito, kama baking soda itatoa mapovu ya gas na mliokama wa kuchemka (fizzes), ni mtoto wa KIUME anakuja. Kinyume na hapo basi atakua wa KIKE.

4) Mstari Tumboni (Linea Nigra).

Huu ni msitari ambao hutokea katika tumbo la mjamzito, mstari huu ukitokea na kuishia chini ya kitovu, basi inaashiria ujio wa mtoto wa KIKE, na kama ukipitiliza mpaka juu ya kitovu, ni kiashirio cha kuja kwa mtoto wa KIUME. - MSTARI UMEPITILIZA.

3) Furaha/Muwako/Kunawiri Usoni (The Glow).

Ni mtoto wa KIUME pekee ndio ambae humpa muwako/sura ya furaha/kunawiri kwa uso wa mama mjamzito. Mtoto wa kike humchosha sura mama yake muda wote. - SURA IMECHOKA

2) Chunusi (Acne).

Kubemba mimba ya mtoto wa KIKE huwaletea wajawazito chunusi usoni, ni dalili moja wapo. Vinginevyo, atakua mtoto wa KIUME. - CHUNUSI ZILINITOKA MIMBA CHANGA NOW ZIMEKATA NAKARIBIA KUJIFUNGUA.

1) Mabadiliko Ya Ngozi (Skin Changes).

Kama ngozi ya mjamzito ikibadilika na kua yenye mafuta (oily skin) ni dalili za kuashiria mtoto ajae ni wa KIKE, na kama ngozi ikibakia kua kavu (dry skin) ni dalili za ujio wa mtoto wa KIUME.
- NGOZI KAVU

INSHALLAH Baada ya kujifungua nitaleta majibu mkuu Asante. @alexanderthegreat
 
Hapo tumbo la uzazi kuwa huu au chini inakuwaje?
Kuna wanawake wengine hua mimba inakua juu (pale maeneo ya chemba karibu na kifua), na kuna wengine mimba inakua chini kuanzia juu ya kitovu kidogo kushuka chini zadi.
6d85a2c5-df9d-4de1-ae8f-241e9c11fa8c.jpg
zCEvgno3hBVj6qsjKkSf6OK3DbqfXhsA_med.jpg
 
Mrejesho ..upoje
 
Mkuu naomba kujua kama umebeba mapacha inakuwaje??
Je kuna njia za kunisaidia nibebe mimba ya mapacha??
 
Mashallah, hongera sana dada na mie nasubiri nikijifungua salama inshallah nilete mrejesho naona dalili kama tatu zinalingana jaman hongera sana Allah atukuzie binti yetu inshallah
🙏🙏🙏🙏 asante Sana, inshaalaah na wewe utajifungua Salama.
 
Dr. Shettles, mwandishi wa kitabu kiitwacho "How to Choose the Sex of Your Baby" (Jinsi gani kuchagua jinsia ya mtoto wako) , anaamini manii/mbegu za kiume/shahawa za kuleta mtoto wa jinsia ya KIUME na ya jinsia ya KIKE zinaurithi/uwezo tofauti...
Kumbe ndo maana nimepata ME babies watatu mfululizo, na KE mmoja. Okay mkuu. Nimekupata sasa
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom