Jinsi ya kujiunga na offer ya internet ya usiku vodacom

*****TOPiC CLOSED*****
Bado kabisa...Inaanza saa ngapi inaisha saa ngapi na gharama (jumla). Any limitations?

if(answered)
answered->GetThread()->Close();
else
answered->GetThread()->Veto();
 
Bado kabisa...Inaanza saa ngapi inaisha saa ngapi na gharama (jumla). Any limitations?

if(answered)
answered->GetThread()->Close();
else
answered->GetThread()->Veto();
uNAWEZA KUUNGA MDA WOWOTE ILA KUTUMIA UNAANZA SAA 4 USIKU HADI SAA 1 ASUBUHI NDIYO INAKATA SO NI MATUMIZI YA SIKU MOJA TU KAKA!!
 
Saa nne usiku mpaka saa moja asubuhi.
kama una hela zaidi ya 200 halafu asubuhi ikafika na mda wa connection ukaisha, automatic itaanza kula salio lako.
So, ni vizuri ukanunua scratch card za mia tatu tatu ziwe standby kwa hata wiki nzima.

So, can the topic be closed now?
 
Unlimited au wanakupa MB ngapi?
 
Back
Top Bottom