VALENCE MUGANDA
Member
- Dec 1, 2012
- 53
- 2
naombeni msaada wenu jamani ili namimi nijiunge
naombeni msaada wenu jamani ili namimi nijiunge
naombeni msaada wenu jamani ili namimi nijiunge
Piga *149*01# halafu uchague 3 wajanja night offer! Ila uhakikishe una salio la Tshs 200.
Bado kabisa...Inaanza saa ngapi inaisha saa ngapi na gharama (jumla). Any limitations?*****TOPiC CLOSED*****
uNAWEZA KUUNGA MDA WOWOTE ILA KUTUMIA UNAANZA SAA 4 USIKU HADI SAA 1 ASUBUHI NDIYO INAKATA SO NI MATUMIZI YA SIKU MOJA TU KAKA!!Bado kabisa...Inaanza saa ngapi inaisha saa ngapi na gharama (jumla). Any limitations?
if(answered)
answered->GetThread()->Close();
else
answered->GetThread()->Veto();
Saa nne usiku mpaka saa moja asubuhi.
kama una hela zaidi ya 200 halafu asubuhi ikafika na mda wa connection ukaisha, automatic itaanza kula salio lako.
So, ni vizuri ukanunua scratch card za mia tatu tatu ziwe standby kwa hata wiki nzima.
So, can the topic be closed now?
Unlimited au wanakupa MB ngapi?
mkuu vp ulijiunganaombeni msaada wenu jamani ili namimi nijiunge
hahahaha ni noma, jamaa hakusoma tarehe , kadhani kapata girisi!Duh! Mmefufua thread ya 2012!
unakuwa unatumia unlimited au inakuwajePiga *149*01# halafu uchague 3 wajanja night offer! Ila uhakikishe una salio la Tshs 200.
Dah nimecheka kweli jamaa kajua kaokota grisi ili alainishe vyumahahahaha ni noma, jamaa hakusoma tarehe , kadhani kapata girisi!
hahahaha ni noma, jamaa hakusoma tarehe , kadhani kapata girisi!