FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 449
- 408
Kwanza..ni kuanzisha shindano la urafiki mwema baina ya wanafunzi la kuandika na kutumiana barua kati ya shule moja na nyingine ndani ya mkoa kwa kutumia bahasha na stempu zilizo na logo au chapa ya kampuni zitazouzwa kwa wanafunzi hao kwa bei rahisi.hapo ni mwanzo wa kujitangaza.
Pili wanafunzi wataoandika barua kwa wingi watapata zawadi ya T-shirt au smartphone au radio na shule kupewa zawadi ya peni.kama fungu lipo basi watapelekwa mbuga za wanyama.
Tatu..ni kazi ya kampuni kuandaa passport size zitazolipiwa na wanafunzi kwa ajili ya kupelekwa shule jirani au za mbali
NNE..umuhimu wake ni kutengeneza connection kufuatia wanafunzi kusoma shule za kata.