Jinsi ya kujiponya maumivu kwa nguvu ya ubongo (Subconscious Mind) By Rakims

Remember this is the very person who said he can speak with dead people. Nilimuomba aende kuongea na Nyerere, jamaa huyu huyu hakuonekana tena. He is here promoting witchcraft.

Kumbe?? Na hapa naona kawapata wafuasi kibao.

Am outta here.....

Ahsante kwa kunifumbua macho. Ngoja niendelee kutazama Golgota.
 
Kuna watu wagum kuelewa kweli kweli. Sasa hapo mambo yako clear kabisa hii tiba ni psychological na inafanya kazi 100%.
Ni sawa na tafiti kadha zilizofanyika watu walipona kansa kwa kupewa dawa feki(isiyotibu chochote) huku wakiaminishwa kwamba dawa hiyo ni noma imeponesha wengi. Swali unadhani kilichowaponesha ni dawafeki la hasha! Bali ni subconsious mind ilipokubali na kuamini kwamba tiba imepatikana.
 
Rejea Quote Yako Kwanza IsomeKwa Kufikiria Mara Mbili Halafu Rejea Na Hiyo Unayoona Joke Au Kejeli Mara Moja Utapata Jibu Kamili...

"Rakims"

Mkuu tatizo bado unafikiri mie nimekuuliza kimzahamzaha tu, lakini swali langu ni la msingi sana huwezi kufananisha na kujua kuandika.
 
Tizama Mawazo Yako, Yanakuwa Maneno..
Tizama Maneno Yako, Yanakuwa Matendo..
Tizama Matendo Yako, Yanakuwa Tabia...
Tizama Tabia Yako, Inakuwa Muhusika..
Tizama Muhusika, Unakuwa Ni Wewe...
Jitizame WEWE Sasa Hapa Chini..!!!

Means Kwamba Huja Amua Kushare Ujuzi Na Huwezi Kushare Ujuzi Wako Bure.. Zaidi Ya Yote Utabagua Istoshe Ubabagua Kila Kitu Hadi Rangi Na Makabila..

Sorry Naona Mtu Kwa Uhalisia Wake Sio Ngozi Au Mwili Aliovaa And I Can Tell When People Lie..

"Ushauri Bure Manage Ur Thoughts Before Let Them Be Words"

"Rakims"

Nimeipenda hii haha
 
Kuna watu wagum kuelewa kweli kweli. Sasa hapo mambo yako clear kabisa hii tiba ni psychological na inafanya kazi 100%.
Ni sawa na tafiti kadha zilizofanyika watu walipona kansa kwa kupewa dawa feki(isiyotibu chochote) huku wakiaminishwa kwamba dawa hiyo ni noma imeponesha wengi. Swali unadhani kilichowaponesha ni dawafeki la hasha! Bali ni subconsious mind ilipokubali na kuamini kwamba tiba imepatikana.

Umesoma vizuri maelezo yake ya mwanzo?
 
That is pure black magic. You don't need to follow his instructions because he has no verifiable sources of his claims. His claims are fiendish.

Really? After Read It All You Still Find No Sources Of Dis Powers Hahah Ur Too Shallow Son..

Becaming A Great Thinker, You Have To Be More Thinker Than Being A Thinker....

"Rakims"
 
Remember this is the very person who said he can speak with dead people. Nilimuomba aende kuongea na Nyerere, jamaa huyu huyu hakuonekana tena. He is here promoting witchcraft.

Hahaha Nilidhani Naongea Na Mtu Mwenye Timamu... Kuna Mtu Alishaona Nimeandika Hapa You Speak With Dead Peoples? Au Hukuelewa Nilisema Anybody Can Dream/ Kila Mtu Anaweza Kuota Anaongea Na Mtu Au Watu Waliokufa Zamani Through Dreams Na Akaiongoza Ile Ndoto Atakavyo Yeye Au Ndugu Hapa Lucid Dreams Huzifahamu?
em tikisa kichwa chako kidogo Hakina Mchanga Maana Huelewi Wala Hufahamu Kuelewa Ukieleweshwa...
halafu uliza meenye akili timamu akwambie kama hajawahi kuota hata ndugu yake Alietangulia mbele za haki..
think before speak

"Rakims"
 
Kuna watu wagum kuelewa kweli kweli. Sasa hapo mambo yako clear kabisa hii tiba ni psychological na inafanya kazi 100%.
Ni sawa na tafiti kadha zilizofanyika watu walipona kansa kwa kupewa dawa feki(isiyotibu chochote) huku wakiaminishwa kwamba dawa hiyo ni noma imeponesha wengi. Swali unadhani kilichowaponesha ni dawafeki la hasha! Bali ni subconsious mind ilipokubali na kuamini kwamba tiba imepatikana.

asante mkuu.. ila kuna watu hawaelewi subconscious ni nini wanajua ni maana nyingine ya neno freemason..

"Rakims"
 
Mkuu tatizo bado unafikiri mie nimekuuliza kimzahamzaha tu, lakini swali langu ni la msingi sana huwezi kufananisha na kujua kuandika.

sawa mkuu nitajibu lakini still bado naona ni mzaha... ipo hivi kila kitu katika maisha ya binaadamu anapoanza kujiuliza maswali hupata majibu either kutoka ndani ya ubongo wake au kutoka kwa mazingira yanayomzunguka hakuna mtu anaeweza kuamka asubuhi na kujua kitu kipya bila kufikiria wala kufundishwa usipofundishwa utajifundisha Vivyo Hivyo Mambo Mengine Mtu Huwezi Kujua Bila Kuwa Na Mazoea Nayo Mfano Mtu Alietengeneza Ndege Au Gari Hakuamka Tu Akatengeneza Bali Mazingira Yalimfunza Kwamba Ndege Kiumbe Anasafiri Hewani Ili Na Yeye Asafiri Hewani Ilibidi Awe Ndege Sasa Je Ni Vipi Anaweza Kuwa Ndege?

katika Kuchubguza Alitambua Ndege Anamabawa... Ni Maelezo Kidogo Lakini Nataumai Picha Inajengeka Akilini Hapo sio? ndio kazi ya subconscious mind inaanza hapo... ni hivyo tu yani...

"Rakims"
 
Hayo yote unayafanyia kwenye chumba kimoja cha kupanga? Maana bafuni lazimia uheshimu muda na wengine waingie

hahahaha!! sijui nikujibu nini...

popote unapojihisi confortable
 
Hahaha Nilidhani Naongea Na Mtu Mwenye Timamu... Kuna Mtu Alishaona Nimeandika Hapa You Speak With Dead Peoples? Au Hukuelewa Nilisema Anybody Can Dream/ Kila Mtu Anaweza Kuota Anaongea Na Mtu Au Watu Waliokufa Zamani Through Dreams Na Akaiongoza Ile Ndoto Atakavyo Yeye Au Ndugu Hapa Lucid Dreams Huzifahamu?
em tikisa kichwa chako kidogo Hakina Mchanga Maana Huelewi Wala Hufahamu Kuelewa Ukieleweshwa...
halafu uliza meenye akili timamu akwambie kama hajawahi kuota hata ndugu yake Alietangulia mbele za haki..
think before speak

"Rakims"
What is that in red? Waliokufa zamani na dead people kuna tofauti gani?
 
Really? After Read It All You Still Find No Sources Of Dis Powers Hahah Ur Too Shallow Son..

Becaming A Great Thinker, You Have To Be More Thinker Than Being A Thinker....

"Rakims"
You never gave us a verifiable evidence that you can heal yourself, in contrast, you are preaching witchcraft. Vain words, won't help you but pin point your lies.

Is it not you who speaks with dead people? Tell me that is not Witchcraft?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom