Jinsi ya kujiponya maumivu kwa nguvu ya ubongo (Subconscious Mind) By Rakims

Rakims

  • Ni kwanini umetoa angalizo kwamba ndoo iwe na rangi yeyote isiyokuwa nyeusi?
  • Rangi nyeusi ina tatizo gani? au nini kitatokea iwapo itatumika?

Simple: Wazungu wameshatupumbaza rangi nyeusi ni rangi ya kishetani. Na waafrika ni weusi..... na mtoa mada kapata hiyo elimu toka kwa wazungu..... connect them dots mwalimu wangu
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwanini hayo mambo yawe hadi ufundishwe kwanini isingekuwa kila mtu anajua kufanya bila kufundishwa? Hao waliyoyagundua waligundua vp?
 
Simple: Wazungu wameshatupumbaza rangi nyeusi ni rangi ya kishetani. Na waafrika ni weusi..... na mtoa mada kapata hiyo elimu toka kwa wazungu..... connect them dots mwalimu wangu

Tizama Mawazo Yako, Yanakuwa Maneno..
Tizama Maneno Yako, Yanakuwa Matendo..
Tizama Matendo Yako, Yanakuwa Tabia...
Tizama Tabia Yako, Inakuwa Muhusika..
Tizama Muhusika, Unakuwa Ni Wewe...
Jitizame WEWE Sasa Hapa Chini..!!!

Means Kwamba Huja Amua Kushare Ujuzi Na Huwezi Kushare Ujuzi Wako Bure.. Zaidi Ya Yote Utabagua Istoshe Ubabagua Kila Kitu Hadi Rangi Na Makabila..

Sorry Naona Mtu Kwa Uhalisia Wake Sio Ngozi Au Mwili Aliovaa And I Can Tell When People Lie..

"Ushauri Bure Manage Ur Thoughts Before Let Them Be Words"

"Rakims"
 
Kwanini rangi nyeusi ionekane ya balaa/mikosi/kishetani/nuksi nk??

Kwanini nyeusi??
 
Swali Zuri...

Jibu Ni Kwamba Hicho Unachotaka Kukitoa Kimemarkiwa Kama Black Aura.. Yani Negative...

Pia Huwezi Tumia Rangi Nyeusi Kwa Maana Badala Ya Kufyonza Rangi Hiyo Au Nuru Hiyo Nyeusi Nje.. Itarejesha Ndani Pia Ni Sawa Na Kuzima Moto Kwa Petrol Badala Ya Maji...

Ama Mwisho Ni Sawa Na Kusema Utumie Maji Hayo Ya Chumvi Yawe Ya Moto Si Sahihi...

Karibu!

"Rakims"

Ngoja nimwite mtaalam Ishmael anipanue mawazo kwa upande wa pili. Hii elimu naona imekaa ki-Freemanson.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini rangi nyeusi ionekane ya balaa/mikosi/kishetani/nuksi nk??

Kwanini nyeusi??

Hizo Fikra Na Maamuzi Ya Ubongo Wako Unachoamini Ndio Utakachopata..
Nyeusi Sio Rangi Nzuri Pale Inapohitajika Kuonyesha Ubaya Wake Na Rangi Nyeusi Ni Tofauti Na Ngozi Nyeusi... Pia Rangi Nyeupe Huonyesha Ubaya Wake Pale Inapohitajika Kuwa Mbaya Vile Vile Nyekundu Kila Rangi Inamaana Zaidi Ya Tatu Na Kila Asiri Ya Rangi Ina Maana Yake Pia Usirazimishe Kuvaa Nguo Nyeusi Juani Kutegemea Kutohisi Mvuto Wa Joto Ni Tofauti Na Unapovaa Nguo Nyeupe...

Acha Kufikiria Umbali Wa Pua Ongeza Zifike Hata mita Mia Kabla Ya Kuzungumza Jambo..

Ahsanta. Naamini hujanitusi hapo kwa red.

Acha nibakie na imani yangu. Inanisaidia sana kiasi cha sina sababu ya kufikiria zaidi ya umbali wa pua kwenye imani nyingine, hasa pale mwalimu wa imani nyingine anapoamua kuleta kejeli badala ya kunielimisha.
 
Ni Kweli Ukijishughulisha Ubongo Wako Utapotea Heri Ubakie Na Imani Yako Ya Dhati Huu Hapa Ni Ushetani Watu Kama Wewe Wenye Imani Safi Usiufuate Huu Ufreemason..
Maana Naona Imesalia Hiyo Pumzi Unayoivuta Kuiita Ya Freemason...

"Rakims"
 
Mkuu ndiyo umeshanijibu au unafikiri nimekuuliza hivyo kwa kufanya mzaha tu?

Rejea Quote Yako Kwanza IsomeKwa Kufikiria Mara Mbili Halafu Rejea Na Hiyo Unayoona Joke Au Kejeli Mara Moja Utapata Jibu Kamili...

"Rakims"
 
Ni Kweli Ukijishughulisha Ubongo Wako Utapotea Heri Ubakie Na Imani Yako Ya Dhati Huu Hapa Ni Ushetani Watu Kama Wewe Wenye Imani Safi Usiufuate Huu Ufreemason..
Maana Naona Imesalia Hiyo Pumzi Unayoivuta Kuiita Ya Freemason...

"Rakims"
Kila la kheri....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom