Jinsi ya Kujiondo kwenye Face book | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya Kujiondo kwenye Face book

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by CHASHA FARMING, Sep 29, 2012.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Wakuu mwenye kujua jinsi ya Kujiondoa Face book anisaidie pls, nataka kufunga acount yangu make nimechoka na face book
   
 2. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Si uende huko ukasome help section yao.

  Humu kuna mtu alishauliza pia.
   
 3. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Anaomba msaada kama unajua muelekeze
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Bora kujipa permanent ban huko FB maana ni vurugu tu hakuna jipya!!! Wengi wanaitumia FB vibaya mno kiasi kwamba inapoteza maana yake. Na founders naona hawana control sana ya mambo mengi.
   
 5. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  mi naona facebook hakuna mambo ya maana!
   
 6. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  afu jamani tuwe makin hata mimi nataka kufunga akaunti yangu ya facebook...embu tupen njia wakuu....
   
 7. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ukitaka kufunga account yako fanya hivi
  BOFYA HAPA kisha Click DELETE MY ACCOUNT mchezo kushney
   
 8. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,167
  Likes Received: 8,191
  Trophy Points: 280
  mmh!watu wakiona Fb status zao zinakosa wachangiaji matokeo yake ndio hayo.mimi sitafunga A/C yangu.Fb na Twitter zina raha yake japo zinautofauti mkubwa na JF a.k.a Home of Great Thinkers and Visionaries.
   
 9. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nimekukubali mkuu hata mimi nilikuwa naumiza kichwa kinyama jinsi ya kujiondoa FB ila kwa msaada wako nimefanikiwa.
  SHUKRANI SANA MKUU.
   
 10. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  karibu tena mkuu
   
 11. M

  MAMU35 Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tunakushukuru kwa msaada wako wa jinsi ya ku delete account
   
 12. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,252
  Likes Received: 4,274
  Trophy Points: 280
  Pia mkuu usisahau kwamba Facebook wataipa uhai account yako kwa muda wa siku 14 wenyewe wanaita "grace period". Kwahio ni lazima urudi tena hapo kabla ya siku 14 kwisha na uifute kabisa.

  Wanafanya hivyo kwa kujaribu kukuvutia na kukuumbusha juu ya mtandao huo na ukijisahau lengo lako la kuifuta akaunti basi uweze kurudi tena.

  Pia kuna mambo mengine muhimu ya kuzingatia:

  1. Nenda kwenye browser yako iwe Internet Explorer, Mozilla Firefox na ufute cookies zote yaliyopo kwenye cache memory. Unafanya hivyo ili browser yako isiende kwenye website hiyo tena na bila wewe kujua wakakumbuka IP Yako na kurudia session upya.

  2. Delete akaunti yako kwenye mobile phone IPad au kwenye tablet kama huwa nazo unatumia kwa sababu pia vyombo hivi vinaweza kuendelea kwenda Facebook bila wewe kujua kwa kutumia browser zake iwe Android au simu kama Blackberry.

  Huo ndio mchango wangu.
   
Loading...