Jinsi ya kujibu swali la "Salary expectations" kwenye usaili (interview)

Big Phil

Member
Nov 20, 2019
50
338
Habari,

Mara nyingi kwenye interview kuna common questions ambayo yanajirudia rudia, likiwemo ili swali "tells us about your salary expectations".

Kuna njia nyingi ya kujibu ili swali lakini njia sahihi ni kufahamu kwamba kila nafasi huwa ina budget yake (salary scale) ambayo ipo approved kabisa ila haikukatazi wewe kujadili mshahara ambao unategemea kupata kwani waajiri wengi wanatumia hichi kipengele kubana matumizi ya kampuni ama shirika.

Ukizingatia gharama za maisha zinapanda kila siku, kwahiyo hapa inahitajika negotiation skills nzuri ili baadae husiumie unapoenda kazini na kugundua kwamba wafanyakazi wenzako wenye nafasi kama yako wanalipwa mshahara zaidi yako.
Kabla ya kujibu ili swali kuna mambo ya kuzingatia.

1. Fanya utafiti wa shirika ama taasisi unayoenda kufanyiwa interview na angalia aina ya mishahara yao (current salary). Mashirika kama UN, international Organisation uwa ina budget kubwa na hivyo ina mishahara mikubwa lakini haya mashirika ya kinyumbani mengi huwa na budget ndogo

2. Uzoefu wako wa kazi na elimu yako, watu wenye uzoefu kwenye aina ya kazi fulani wana nafasi kubwa ya kupata mshaara mkubwa zaidi ya wale ambao hawana uzoefu.

3. Aina ya kazi na majukumu yake, kuna kazi zitakuhitaji muda mwingi sana na masaa mengi kutumikia kibarua na hii inapaswa kuwa na mshahara mzuri wa kukidhi mahitaji yako.

4. Hiyo nafasi inakuja na ziada gani kama Bima ya afya, housing allowance, transport allowances, communications allowance nk sasa hapo utaangalia kwa namna gani unaweza kubargain mshaara.

Kikubwa cha kuzingatia ni kwamba husitaje figure moja labda nataka mshaara wa laki 7 ni vyema kuweka range yaani, nataka mshahara wa laki 7 au Laki 8 and keep it professional.

Be blessed!
 
Mimi nilijibu mshahara mtakaonilipa ni kutokana na salary scale yenu, mshahara utakao nikidhi na maisha ya mazingira ya hapa, mshahara utakaonitosheleza ili kuepuka na vishawishi vya rushwa, kuomba tips kwa wateja nk.

walinilazisha kuutaja huo mshahara sasa ndo pakawa hapatoshi maana wote walinishambulia ooh okey tell us how much :D
 
Ukataja Seven Million Us Dollar
 
Habari,

Mara nyingi kwenye interview kuna common questions ambayo yanajirudia rudia, likiwemo ili swali "tells us about your salary expectations".

Kuna njia nyingi ya kujibu ili swali lakini njia sahihi ni kufahamu kwamba kila nafasi huwa ina budget yake (salary scale) ambayo ipo approved kabisa ila haikukatazi wewe kujadili mshahara ambao unategemea kupata kwani waajiri wengi wanatumia hichi kipengele kubana matumizi ya kampuni ama shirika.

Ukizingatia gharama za maisha zinapanda kila siku, kwahiyo hapa inahitajika negotiation skills nzuri ili baadae husiumie unapoenda kazini na kugundua kwamba wafanyakazi wenzako wenye nafasi kama yako wanalipwa mshahara zaidi yako.
Kabla ya kujibu ili swali kuna mambo ya kuzingatia.

1. Fanya utafiti wa shirika ama taasisi unayoenda kufanyiwa interview na angalia aina ya mishahara yao (current salary). Mashirika kama UN, international Organisation uwa ina budget kubwa na hivyo ina mishahara mikubwa lakini haya mashirika ya kinyumbani mengi huwa na budget ndogo

2. Uzoefu wako wa kazi na elimu yako, watu wenye uzoefu kwenye aina ya kazi fulani wana nafasi kubwa ya kupata mshaara mkubwa zaidi ya wale ambao hawana uzoefu.

3. Aina ya kazi na majukumu yake, kuna kazi zitakuhitaji muda mwingi sana na masaa mengi kutumikia kibarua na hii inapaswa kuwa na mshahara mzuri wa kukidhi mahitaji yako.

4. Hiyo nafasi inakuja na ziada gani kama Bima ya afya, housing allowance, transport allowances, communications allowance nk sasa hapo utaangalia kwa namna gani unaweza kubargain mshaara.

Kikubwa cha kuzingatia ni kwamba husitaje figure moja labda nataka mshaara wa laki 7 ni vyema kuweka range yaani, nataka mshahara wa laki 7 au Laki 8 and keep it professional.

Be blessed!
Kampuni za kingese ndio bado wanauliza swali hili....wanaujielewa wanakwambia tuu baba tunaomba ur previous contract basi. Maana wanaelewa hapo lazima waende juu ya kile unachopata sasa
 
Yes kampuni nyingine uwa wanaambatanisha kabisa mshahara wao kwenye vacant advertisement ila hatua ya kukuomba salary slip ama reference letter ni hatua za mwishoni kabisa, taasisi nyingi zinauliza hili swali kwa ajili ya kupima uwezo wako wa kujielezea na nyingine wanafanya hivi kwa ajili ya kubana matumizi yaani budget inawezekana ikawa laki 5 wewe unakubali mshahara wa laki 2 na nusu.
 
upo sahihi mkuu
 
So ni kuminyana tuu🤣🤣🤣🤣 ndioo maana nasema hizo ni kampuni za kingese kampuni zinazojielewa wanajua kabisa there is no two dollar cigar....u pay peanuts u get monkeys
 
Back
Top Bottom