Hivi ina maana hakuna option kabisa ya kuremove information ambayo umeweka ndani ya muda mfupi? katika kujaza sehemu ya elimu nimejikuta nimeongeza cheti ambacho naona nikitoe, sasa hakuna sehemu ya kudelete bali kuna kuedit tu, nimeEdit nikajaza taarifa nyingine lakini matokeo yake system imecreate entry nyingine na ile ya mwanzo imebaki so nimekuwa nimeongeza tu cheti. Kuna namna ya kufanya? Na je,kuna watu au line za support unaweza kuwasiliana nao?

Pia kwanini kama nafasi inahitaji mtu mwenye diploma ukiapply una degree unaambiwa huwezi kuapply, hawa jamaa wanatumia logic gani?
Mkuu hiyo ni changamoto sana aisee
 
Simu zao hazipatikani hyo isue imemtokea mdogo wangu nikamwambia wafuate amewafuata cha kushangaa hakuruhusiwa kuonana na mtoa huduma badala yake aliambiwa na mlinzi awapigie simu akawapigia wakamwambia haiwezekani kutoka ukiweka umeweka

Wapigie simu kule kwenye ajira portal kuna mahali kuna no wacheki watakusaidia
 
Simu zao hazipatikani hyo isue imemtokea mdogo wangu nikamwambia wafuate amewafuata cha kushangaa hakuruhusiwa kuonana na mtoa huduma badala yake aliambiwa na mlinzi awapigie simu akawapigia wakamwambia haiwezekani kutoka ukiweka umeweka
Poor Tanzania
 
Hao kitengo cha ICT hapo sekretariat ni wachawi na wale wanaotumia tunguri tu, huu upuuzi wanaoufanya kwenye hiyo system inawakosesha vijana kupata ajira
 
Kabisa mfano kazi inahitaji mtu mwenye diploma unakuta mtu anadiploma na ana degree akiapply anaambiwa overqualified kisa ana vyeti viwili cha dip na degree sasa huu si ujinga?
Hao kitengo cha ICT hapo sekretariat ni wachawi na wale wanaotumia tunguri tu, huu upuuzi wanaoufanya kwenye hiyo system inawakosesha vijana kupata ajira
 
Habari comrades?

Nimejisajili ajira portal wiki ya tatu sasa ila kila ninapo log in,inanilete account is inactive.

Msaada jinsi ya kuiactivate, sijatumiwa email ya kuactivate.
 
Ingia kwenye email uliyotumia kufungulia account kuna meseji ulitumiwa siku unapo create account....hiyo message ina link click hiyo link itaku direct kwenye site ya ajira portal kisha itakupa access ya ku login
 
Hiyo email ndio sijaipata hadi leo, kila siku nachek emails
 
Hiyo email ndio sijaipata hadi leo,kila siku nachek emails
Kutakua kuna makosa yamefanyika eidha hiyo email umeiandika kwa kukosea baadhi ya herufi au kipengele chochote ukawa umekifanya ndivyo sivyo

Mi nimefungua account mbili within 2 minutes
 
Kutakua kuna makosa yamefanyika eidha hiyo email umeiandika kwa kukosea baadhi ya herufi au kipengele chochote ukawa umekifanya ndivyo sivyo

Mi nimefungua account mbili within 2 minutes
Labda kama kuna kipengele nilichokosea, maana kwa email niliyotumia ni uhakika sijakosea maana ndio ninayoitumia kila sehemu na hata nikijaribu kufungua account nyingine kutumia email hiyohiyo inasema inaexist means ndio hiyohiyo ninayoiandika.

Labda nifungue email nyingine,then nisajili account nyingine.
 
Habari comrades?
Nimejisajili ajira portal wiki ya tatu sasa ila kila ninapo log in,inanilete account is inactive.
Msaada jinsi ya kuiactivate,sijatumiwa email ya kuactivate.
Nakushauri mkuu, wasiliana na help desk ya utumishi watakusaidia zaidi
 
Wadau natumai mu-wazima, nimeupitia huu uzi wote, maana mimi pia nilikua napata shida kila nikimtumia mtu maombi ya udereva inaandika neno failed kama ilivyokua ikimtokea mdau aliyepost huu uzi (kwenye Ajira Portal, utumishi).

kwenye upande wa hii account, huyu mdau nilimjazia taarifa zake zote muhimu za elimu ya secondary, basic driving, leseni yake ya udereva nili-upload na kozi zingine alizosomea NIT nilizi-upload hapa kwenye category ya Academic qualification. kipindi cha nyuma ilikua nikimtumia maombi yanakubali lakini tangu utumishi walivyoupdate system nikituma maombi huwa yanagoma, yanaandika failed

sasa baada ya kupitia huu uzi, naombeni msaada wenu wa mawazo (1)Je nimjazie tena taarifa zake za udereva kwenye category ya professional kama wadau wanavyosema kwamba udereva ni professional labda inaweza kukubali? (2) Je haitokua shida taarifa zake kuwa kwenye category mbili za academic na professional? maana siku hizi mtu hauna access ya kuedit taarifa kwa kuzi-delete

naombeni msaada wenu, mwisho wa kutuma maombi ni date 16/09. pia nimejaribu kuwapigia simu utumishi via help desk namba zao hazipatikani.
Mkuu nenda pale kwenye professional qualification attachi cheti chake cha udereva kile ambacho kinaitwa sikosei advanced certificate driving alafu ukimaliza usisahu kuattach cheti cha basic kwenye a academic qualification ukimaliza kufanya ivyo hilo neno la failed sidhani kama litatokea

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Asante sana bro, nilishafanikisha hili zoezi
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom