Hemu sema system ina fail ku apply na inaleta notifications ya Academic au Work experience?
Screenshot_20200913-185717.png
Inaleta maneno haya
 
Ndugu yangu unanipotezea muda wangu bure kabisa aisee...!

Hii picha si ndio uliyoiweka mwanzo nikakwambia Driving Licence haikai hapo. Lakini pia kwa ajili ya haraka haraka tu mwenyewe ukiangalia hapo kwenye picha sehemu ya institution umeandika Driving Licence hivi kuna institution inayoitwa Driving Licence chief...?

Wee umeskia wapi...?
 
Pole sana Mkuu, rejea post #67 nilikujibu hii ishu.
 
Nimepitia uzi huu nimeona maswali mengi sana naomba nijibu machache ninayoyaweza
1. Kuna mtu kauliza kama vyeti vimejiongeza katika mfumo nifanyaje ili nivitoe? Jibu hakuna njia ya kufuta kama mwanzo uliweka vyeti ambavyo havijakuwa certified na sasa ukaweka certified copies na ukajaribu kuondoa vile vya mwanzo ikashindikana viache. Havina shida. Mfumo bado hauna option ya Delete.

2. Wengi wanapata notification ya Failed, kabla sijajibu niwaulize Je mmejaza ile sehemu imeandikwa Professional Qualification? Mjaze pale haitagoma. Mfano wewe una bachelor ya Accountancy lazima pale kwenye Proffesional Qualification uweke cheti cha NBAA.
Nadhani nimeeleweka.
 
Ni lazima kuweka vyeti vilivyo gongwa muhuri wa mwanasheria?
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom