Jinsi ya kujaza academic qualifications kwenye database ya ajira portal kada ya driver post

Nzige Mdudu

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
206
250
Ndugu yangu unanipotezea muda wangu bure kabisa aisee...!

Hii picha si ndio uliyoiweka mwanzo nikakwambia Driving Licence haikai hapo. Lakini pia kwa ajili ya haraka haraka tu mwenyewe ukiangalia hapo kwenye picha sehemu ya institution umeandika Driving Licence hivi kuna institution inayoitwa Driving Licence chief...?

Wee umeskia wapi...?
Pole sana Mkuu, rejea post #67 nilikujibu hii ishu.
 

walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
3,694
2,000
Wadau natumai mu-wazima, nimeupitia huu uzi wote, maana mimi pia nilikua napata shida kila nikimtumia mtu maombi ya udereva inaandika neno failed kama ilivyokua ikimtokea mdau aliyepost huu uzi (kwenye Ajira Portal, utumishi).

kwenye upande wa hii account, huyu mdau nilimjazia taarifa zake zote muhimu za elimu ya secondary, basic driving, leseni yake ya udereva nili-upload na kozi zingine alizosomea NIT nilizi-upload hapa kwenye category ya Academic qualification. kipindi cha nyuma ilikua nikimtumia maombi yanakubali lakini tangu utumishi walivyoupdate system nikituma maombi huwa yanagoma, yanaandika failed

sasa baada ya kupitia huu uzi, naombeni msaada wenu wa mawazo (1)Je nimjazie tena taarifa zake za udereva kwenye category ya professional kama wadau wanavyosema kwamba udereva ni professional labda inaweza kukubali? (2) Je haitokua shida taarifa zake kuwa kwenye category mbili za academic na professional? maana siku hizi mtu hauna access ya kuedit taarifa kwa kuzi-delete

naombeni msaada wenu, mwisho wa kutuma maombi ni date 16/09. pia nimejaribu kuwapigia simu utumishi via help desk namba zao hazipatikani.
Mkuu nenda pale kwenye professional qualification attachi cheti chake cha udereva kile ambacho kinaitwa sikosei advanced certificate driving alafu ukimaliza usisahu kuattach cheti cha basic kwenye a academic qualification ukimaliza kufanya ivyo hilo neno la failed sidhani kama litatokea

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Nzige Mdudu

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
206
250
Mkuu nenda pale kwenye professional qualification attachi cheti chake cha udereva kile ambacho kinaitwa sikosei advanced certificate driving alafu ukimaliza usisahu kuattach cheti cha basic kwenye a academic qualification ukimaliza kufanya ivyo hilo neno la failed sidhani kama litatokea

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Asante sana bro, nilishafanikisha hili zoezi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom