Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,022
- 9,292
nimekuwa nikitafakari ni njia gani inaweza kuitangaza Tanzania kwa mafanikio makubwa na ya haraka!, alipokuja Bush, ni dhahiri Bongo ilitangazika sana,
sasa nimepata wazo kwamba iwapo itaandaliwa mechi ya SOKA kati ya wabunge wetu na wajumbe wa SENATE huko marekani halafu tukanunua muda wa matangazo ya hiyo mechi na vivutio mbali mbali tulivyo navyo kwenye vyombo vikubwa kama CNN, BBC, ALJAZEERA, halafu hiyo mechi ikafanyika kwetu hapa DSM BILA shaka hiyo itakuwa ni advertisement baab kubwa , just imagine DK Mwakyembe kasimama Mkoba, Dr Slaa yupo Middle hapo, Obama ndo Striker wao Center forward, John Maccain yuko benchi anasubiri sub, Speaker Samwel Sitta ndo captain Mwenyewe, mama Kilango na mama Clinton wapo seat moja wanapiga stori, hivi kweli bongo hapo haijatangazika?
Changamoto kwa speaker Sitta : ombeni mechi na senate ya marekani
kwi kwi kwi kwi!!!!!!!!!