Jinsi ya kuitambua simu ya mchina

Fruit

Senior Member
Jan 1, 2013
193
54
1. Betri ina jaa charge baada ya dakika tatu
2. ina TV, TOCHI na mswaki
3. NDEGE ikipita karibu simu ina andika 1 MISSED CALL
4. Ukiwa karibu na JIKO inaandika CHARGER CONNECTED
5.Ukipita karibu na MCHINA SIMU inaandika NEW DEVICE FOUND
 
Back
Top Bottom