Jinsi ya kuita Jini na kumuamrisha unachotaka

Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
3,360
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
3,360 2,000
JINSI YA KUITA JINI NA KUMUAMRISHA UNACHOTAKA

Kwanza kabisa jua ni aina gani ya jini unaetaka kumuita hapa na vitabu vingi sana vinavyozungumzia elimu ya kijini na mambo ya kiroho utakuta aina hii ya uitaji wa jini na jinsi ya kupata mazingira kwa maelekezo tofauti lakini hapa utajua ni jini gani huyo na ana sifa zipi yeye au historia yake ipo vipi!

JINI NITAKAE MZUNGUMZIA HAPA:
Anajina maarufu kama SALSAL jini huyu ananguvu za kufanya lolote unalomtuma na akakutimizia liwe zuri au baya kwa haraka na mapema sana lakini historia yake ndio inaweza kukuzuia kutokumtumia,
Hivyo waweza kutumia hili ikiwa utataka kuthubutu na huna jinsi:
red-sun-black-cat-white-eyes-art-silk-print-jpg.1193611

HISTORIA YAKE:
Katika vitabu vingi huaminika kuwa huyu alikuwa ni paka wa faraoh ambaye alikuwa akimtuma kwa mambo mbali mbali ya kumfanyia ambaye alitafutiwa na wale wachawi wa kiizrael zama za kale na anaelezewa kuwa alikuwa ni moja kati ya vibaraka au mawakala wa jinni ambaye ni mfalme mwenye kutawala siku ya Jumamosi Maimun Abi Noukh ambaye yeye ni mwenye nguvu na hatari zaidi aliyekuwa pia moja kati ya watumwa wa Mfalme Suleiman (SOLOMON) lakini baadaye aliasi na kupinga kutii amri zake ndio malaika Jibril (GABRIEL) akamchoma na kutii amri zote alizopewa bila kupinga wala kuuliza.

UMBO LAKE:
Huyu mara nyingi ukimuita huja kwa sura ya paka ambaye ni mweusi anakutokea mbele yako na kukuuliza shida yako:
sasa unatakiwa uwe ni mwenye akili iliyotulia ukimuita maana huja na kutokea kama paka mdogo mweusi na atakuja hadi atakaa karibu kabisa na wewe mnatizamana kana kwamba umemuita mtoto kaja kukusikiliza, mwambie kwenye masikio yake ikiwa atakutokea kama kipaka kidogo lakini akikutokea kama paka wa kawaida unaweza kumwambie ageuke kama binaadamu kama umbile hilo utaona ni baya sasa utaweza kumwambia unachotaka na akakufanyia kama ni cha mara moja basi haita pia masaa kitakuwa kimekamilika lakini kama ni jambo kubwa basi linaweza kutumia hata siku tatu atakwambia ni lini aweze kutimiza hilo jambo hawezi kukuamuru kuua wala kuchinja kiumbe chochote ili kukufanyia jambo hilo
maxresdefault-jpg.1193612

BUHURI:
Hii ni aina ya kile utakacho choma wakati unafanya shughuli yako hiyo ya kumuita na hakikisha buhuri hii unayochoma iwe ni mchanganyiko wa vitu vitatu ambavyo ni UBANI MAKKA,KAZBARA NA MAJANI YA MTENDE,
ukikosa majani ya mtende tumia majani ya chikichi ukikosa hayo tumia mzizi wa HINA,
pia kama ukikosa KAZBARA basi tumia UDI ambao ni UDI NADI. hizi utakuwa unachoma kwenye moto.JINSI YA KUMUITA:
hakikisha shughuli hii unaifanya usiku wa jumamosi au Saa ya sayari ya Saturn na hiki ni kitu ambacho kimefichwa pia kwenye vitabu vingi vya elimu ya majini na uchawi au kiroho.
Subiri wakati ambao watu wengi watakuwa teyari wamelala usiku na kama kwenu wanalala au unawalaza mapema basi unaweza kufanya wakati huo wamelala. kama upo peke yako basi unaweza kufanya wakati hakuna vurugu nje,
Na kama unaogopa basi utasema haya kwa utulivu sana utakuwa mwenye amani na atakuja hali ya kuwa anakuogopa.

(************************)
sikwambii haya ili ufanye bila uoga maana uoga wako ndio kushindwa kwako na ujue sio mchezo!
na pia huna la kuogopa kwa kiumbe hiki unatakiwa umuogope Mungu peke yake anaekupa uhai na ipo siku atauchukua

Sema hivi ili aweze kutokea na uweze kuzungumza nae

SALSAL AKMASH LAASH *3000 kwa siku moja au mara 1000 kwa siku 3 ikiwa utahitaji jambo lifanyike haraka au hapo hapo! wengi hutenganisha haya majina matatu lakini hili ni jina moja tu ambalo unatakiwa kutaja vizuri na kwa utulivu.

JINSI YA KUTAJA:
utataja kwa mtindo huu

SALSAL3AKMASHLASH!!!
hiyo 3 imesimama kama ng'aa

MAELEZO MENGINE:
Kuna kumtumia kwa namna mbili moja ni hii ya kumuita akatokea live na nyingine ni kumtuma tu bila kumuona mimi nakufundisha hii ya kumuona ili uwe na uhakika tunza vizuri hii sio ya kushare hovyo na pia ifanye iwe siri yako utanufaika kwa mengi kutokana na hii.
Muogope mwenyezi Mungu haina ulazima kufanya lakini pale ambapo hauna jinsi ni kama vile bunduki uliyohifadhi matumizi yako ndio madhara au faida zake. maelezo yake ni mazuri na faida zake ni nzuri ambayo humtamanisha kila mtu kutaka kufanya lakini mazungumzo yake ni magumu kutenda na yanataka roho nzito na maamuzi magumu.

BAADHI YA MATUMIZI YAKE:
*Hii inaweza kukusaidia katika kulipiza kisasi kwa maadui zako na kukutoa jela au kumtoa mtu gerezani hata kama kahukumiwa kunyongwa,

*Pia hukurejeshea wale unaowapenda haijarishi kama mtu hakupendi atakupenda tu na pia hata kama kakukimbia atarudi tu,

*Unaweza kushinda jackpot yoyote ya kamari au Ushindi wowote

*Unaweza kushinda uchaguzi wowote hata kama ni mgumu kiasi gani kuupata,
Kufahamu aliyepotea au kutolewa msukule na kuweza kurudisha na kuangamiza wote walioshiriki kumtoa msukule.

*Kuruka na kwenda popote duniani bila ushirikina wala ungo au vibatari. Kurudisha mapigo ya kichawi au kuumbua wachawi.

*Unaweza pia kumtuma kuuwa yoyote au popote, ikiwa tu huyo mtu unataka afe lakini jiangalie usije kufa mwenyewe kama unataka aue asiyekuwa na hatia.

IKIWA UNATAKE AWE RAFIKI YAKO AU MTUMISHI NA KADHALIKA:

Taja hayo majina yake mara elfu 3 kwa siku moja na kila siku usiku kwa muda wa siku tatu atakutokea sema utaita kama kwamba ni woto wa kinanda yaani SAAL SAAL AKMASH LAASH LAASH,
itategemea na utayari wako atatukea siku hiyo hapo hapo au baada ya siku 3,
Ila kwa utajo wa kuiba atatokea katika umbo lenye kutisha kiasi Mwili wake utakuwa kama wa Ng'ombe mweusi badala ya paka mweusi na kichwa chake kitakuwa ni cha paka mweusi na macho yake yatakuwa marefu na rangi zake ni nyekundu akikutokea atakuuliza nini shida yako.!

UTAJIBU:
Nipe hiyo pete yako atakuuliza ipo wapi wewe utamwambia nipe hiyo pete yako!
atakupa pete kisha atapotea baada ya hapo hapo matumizi ya pete hiyo utakuwa unavaa wakati wa shida zako na pete itakuwa ni nzuri duniani hakuna mfano wake na ukivaa watu wote watakutamani wakiiona sasa utatakiwa ukiwa na shida ya kumuona basi utakuwa unasugua na kumwambia tokea hapo mbele ukiwa na umbo fulani na unifanyie hili au lile anatokea anafanya.

MAARIFA:
Elewa ya kuwa hili jambo dini zote hakuna inayokubaliana nalo na hakuna popote utakapo kwenda kwenye dini yoyote wakakuhusisha na jambo hili hakuna dini inayokubali jambo hili wala kukataa isipokuwa kwa nafasi kubwa na maarifa yake yanatoka katika vitabu vya UGANGA hivyo usifungamanishe jambo hili na dini yoyote au imani yoyote lipo kwenye fani ya uganga nimeandika hapa kama maarifa na atakae taka kufanya afanye akijua ni yeye na Mungu wake.

Nami nipo Mbali nawe utakae fanya katika hili.
Usiogope bali muogope Mwenyezi Mungu kwa yale unayoyatenda, Kwa sababu utalipwa na Mungu kwa yale utakayotenda
demoncat800600-jpg.1193613

Kwa haya na mengineyo:
Tembelea

Kama una swali na upo nje ya forum:
tumia email: rakimsspiritual@gmail.com
au namba ya mtu aliyekaribu nami
0626085437

Rakims
 
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
9,334
Points
2,000
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
9,334 2,000
leteni mrejesho mlioita majini 😁 😁 😁 watu wanaogopa 😁😁😁
 
monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
4,978
Points
2,000
monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
4,978 2,000
Hii siyo ya kubeza!
 
JUAN MANUEL

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Messages
1,655
Points
2,000
JUAN MANUEL

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2010
1,655 2,000
JINSI YA KUITA JINI NA KUMUAMRISHA UNACHOTAKA

Kwanza kabisa jua ni aina gani ya jini unaetaka kumuita hapa na vitabu vingi sana vinavyozungumzia elimu ya kijini na mambo ya kiroho utakuta aina hii ya uitaji wa jini na jinsi ya kupata mazingira kwa maelekezo tofauti lakini hapa utajua ni jini gani huyo na ana sifa zipi yeye au historia yake ipo vipi!

JINI NITAKAE MZUNGUMZIA HAPA:
Anajina maarufu kama SALSAL jini huyu ananguvu za kufanya lolote unalomtuma na akakutimizia liwe zuri au baya kwa haraka na mapema sana lakini historia yake ndio inaweza kukuzuia kutokumtumia,
Hivyo waweza kutumia hili ikiwa utataka kuthubutu na huna jinsi:
View attachment 1193611
HISTORIA YAKE:
Katika vitabu vingi huaminika kuwa huyu alikuwa ni paka wa faraoh ambaye alikuwa akimtuma kwa mambo mbali mbali ya kumfanyia ambaye alitafutiwa na wale wachawi wa kiizrael zama za kale na anaelezewa kuwa alikuwa ni moja kati ya vibaraka au mawakala wa jinni ambaye ni mfalme mwenye kutawala siku ya Jumamosi Maimun Abi Noukh ambaye yeye ni mwenye nguvu na hatari zaidi aliyekuwa pia moja kati ya watumwa wa Mfalme Suleiman (SOLOMON) lakini baadaye aliasi na kupinga kutii amri zake ndio malaika Jibril (GABRIEL) akamchoma na kutii amri zote alizopewa bila kupinga wala kuuliza.

UMBO LAKE:
Huyu mara nyingi ukimuita huja kwa sura ya paka ambaye ni mweusi anakutokea mbele yako na kukuuliza shida yako:
sasa unatakiwa uwe ni mwenye akili iliyotulia ukimuita maana huja na kutokea kama paka mdogo mweusi na atakuja hadi atakaa karibu kabisa na wewe mnatizamana kana kwamba umemuita mtoto kaja kukusikiliza, mwambie kwenye masikio yake ikiwa atakutokea kama kipaka kidogo lakini akikutokea kama paka wa kawaida unaweza kumwambie ageuke kama binaadamu kama umbile hilo utaona ni baya sasa utaweza kumwambia unachotaka na akakufanyia kama ni cha mara moja basi haita pia masaa kitakuwa kimekamilika lakini kama ni jambo kubwa basi linaweza kutumia hata siku tatu atakwambia ni lini aweze kutimiza hilo jambo hawezi kukuamuru kuua wala kuchinja kiumbe chochote ili kukufanyia jambo hilo
View attachment 1193612

BUHURI:
Hii ni aina ya kile utakacho choma wakati unafanya shughuli yako hiyo ya kumuita na hakikisha buhuri hii unayochoma iwe ni mchanganyiko wa vitu vitatu ambavyo ni UBANI MAKKA,KAZBARA NA MAJANI YA MTENDE,
ukikosa majani ya mtende tumia majani ya chikichi ukikosa hayo tumia mzizi wa HINA,
pia kama ukikosa KAZBARA basi tumia UDI ambao ni UDI NADI. hizi utakuwa unachoma kwenye moto.JINSI YA KUMUITA:
hakikisha shughuli hii unaifanya usiku wa jumamosi au Saa ya sayari ya Saturn na hiki ni kitu ambacho kimefichwa pia kwenye vitabu vingi vya elimu ya majini na uchawi au kiroho.
Subiri wakati ambao watu wengi watakuwa teyari wamelala usiku na kama kwenu wanalala au unawalaza mapema basi unaweza kufanya wakati huo wamelala. kama upo peke yako basi unaweza kufanya wakati hakuna vurugu nje,
Na kama unaogopa basi utasema haya kwa utulivu sana utakuwa mwenye amani na atakuja hali ya kuwa anakuogopa.

(************************)
sikwambii haya ili ufanye bila uoga maana uoga wako ndio kushindwa kwako na ujue sio mchezo!
na pia huna la kuogopa kwa kiumbe hiki unatakiwa umuogope Mungu peke yake anaekupa uhai na ipo siku atauchukua

Sema hivi ili aweze kutokea na uweze kuzungumza nae

SALSAL AKMASH LAASH *3000 kwa siku moja au mara 1000 kwa siku 3 ikiwa utahitaji jambo lifanyike haraka au hapo hapo! wengi hutenganisha haya majina matatu lakini hili ni jina moja tu ambalo unatakiwa kutaja vizuri na kwa utulivu.

JINSI YA KUTAJA:
utataja kwa mtindo huu

SALSAL3AKMASHLASH!!!
hiyo 3 imesimama kama ng'aa

MAELEZO MENGINE:
Kuna kumtumia kwa namna mbili moja ni hii ya kumuita akatokea live na nyingine ni kumtuma tu bila kumuona mimi nakufundisha hii ya kumuona ili uwe na uhakika tunza vizuri hii sio ya kushare hovyo na pia ifanye iwe siri yako utanufaika kwa mengi kutokana na hii.
Muogope mwenyezi Mungu haina ulazima kufanya lakini pale ambapo hauna jinsi ni kama vile bunduki uliyohifadhi matumizi yako ndio madhara au faida zake. maelezo yake ni mazuri na faida zake ni nzuri ambayo humtamanisha kila mtu kutaka kufanya lakini mazungumzo yake ni magumu kutenda na yanataka roho nzito na maamuzi magumu.

BAADHI YA MATUMIZI YAKE:
*Hii inaweza kukusaidia katika kulipiza kisasi kwa maadui zako na kukutoa jela au kumtoa mtu gerezani hata kama kahukumiwa kunyongwa,

*Pia hukurejeshea wale unaowapenda haijarishi kama mtu hakupendi atakupenda tu na pia hata kama kakukimbia atarudi tu,

*Unaweza kushinda jackpot yoyote ya kamari au Ushindi wowote

*Unaweza kushinda uchaguzi wowote hata kama ni mgumu kiasi gani kuupata,
Kufahamu aliyepotea au kutolewa msukule na kuweza kurudisha na kuangamiza wote walioshiriki kumtoa msukule.

*Kuruka na kwenda popote duniani bila ushirikina wala ungo au vibatari. Kurudisha mapigo ya kichawi au kuumbua wachawi.

*Unaweza pia kumtuma kuuwa yoyote au popote, ikiwa tu huyo mtu unataka afe lakini jiangalie usije kufa mwenyewe kama unataka aue asiyekuwa na hatia.

IKIWA UNATAKE AWE RAFIKI YAKO AU MTUMISHI NA KADHALIKA:

Taja hayo majina yake mara elfu 3 kwa siku moja na kila siku usiku kwa muda wa siku tatu atakutokea sema utaita kama kwamba ni woto wa kinanda yaani SAAL SAAL AKMASH LAASH LAASH,
itategemea na utayari wako atatukea siku hiyo hapo hapo au baada ya siku 3,
Ila kwa utajo wa kuiba atatokea katika umbo lenye kutisha kiasi Mwili wake utakuwa kama wa Ng'ombe mweusi badala ya paka mweusi na kichwa chake kitakuwa ni cha paka mweusi na macho yake yatakuwa marefu na rangi zake ni nyekundu akikutokea atakuuliza nini shida yako.!

UTAJIBU:
Nipe hiyo pete yako atakuuliza ipo wapi wewe utamwambia nipe hiyo pete yako!
atakupa pete kisha atapotea baada ya hapo hapo matumizi ya pete hiyo utakuwa unavaa wakati wa shida zako na pete itakuwa ni nzuri duniani hakuna mfano wake na ukivaa watu wote watakutamani wakiiona sasa utatakiwa ukiwa na shida ya kumuona basi utakuwa unasugua na kumwambia tokea hapo mbele ukiwa na umbo fulani na unifanyie hili au lile anatokea anafanya.

MAARIFA:
Elewa ya kuwa hili jambo dini zote hakuna inayokubaliana nalo na hakuna popote utakapo kwenda kwenye dini yoyote wakakuhusisha na jambo hili hakuna dini inayokubali jambo hili wala kukataa isipokuwa kwa nafasi kubwa na maarifa yake yanatoka katika vitabu vya UGANGA hivyo usifungamanishe jambo hili na dini yoyote au imani yoyote lipo kwenye fani ya uganga nimeandika hapa kama maarifa na atakae taka kufanya afanye akijua ni yeye na Mungu wake.

Nami nipo Mbali nawe utakae fanya katika hili.
Usiogope bali muogope Mwenyezi Mungu kwa yale unayoyatenda, Kwa sababu utalipwa na Mungu kwa yale utakayotenda
View attachment 1193613

Kwa haya na mengineyo:
Tembelea

Kama una swali na upo nje ya forum:
tumia email: rakimsspiritual@gmail.com
au namba ya mtu aliyekaribu nami
0626085437

Rakims
Kama kuna watu wanaamini huu upuuzi,karne hii,bora waende milembe wakapimwe akili,
Hebu yaambieni hayo masheitwani yalete ndege yetu!
Yatuoneshe alipo Ben Saanane na Azory!
Yatuoneshe waliomteka Mo!
Waliomn'goa kucha Dr Ulimboka!
Acha upuuzi!
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
32,914
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
32,914 2,000
Ngoja wajaribu na kurudi na mrejesho...Cc: mahondaw
 
Public Enemy

Public Enemy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
2,279
Points
2,000
Public Enemy

Public Enemy

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
2,279 2,000
Rakims Nimewahi kukuuliza swali moja na leo nalirudia, kama unaweza haya yote hasa hilo namba tatu la kushinda bahati nasibu, kwanini usijaribu na kujinyakulia vitita vya Jackpots za Makampuni mbalimbali ya kubeti?
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
3,360
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
3,360 2,000
Kama kuna watu wanaamini huu upuuzi,karne hii,bora waende milembe wakapimwe akili,
Hebu yaambieni hayo masheitwani yalete ndege yetu!
Yatuoneshe alipo Ben Saanane na Azory!
Yatuoneshe waliomteka Mo!
Waliomn'goa kucha Dr Ulimboka!
Acha upuuzi!
Soma kwa mara ya pili thread utaelewa kitu.

Rakims
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
3,360
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
3,360 2,000
Rakims Nimewahi kukuuliza swali moja na leo nalirudia, kama unaweza haya yote hasa hilo namba tatu la kushinda bahati nasibu, kwanini usijaribu na kujinyakulia vitita vya Jackpots za Makampuni mbalimbali ya kubeti?
Mkuu umesoma vizuri kipengele cha mwisho? kama bado rejea tena utapata majibu ya hilo ambalo umeliuliza mara mbili sasa

Rakims
 
H

hmkuwe

Member
Joined
Nov 16, 2013
Messages
54
Points
125
H

hmkuwe

Member
Joined Nov 16, 2013
54 125
Kwa nini usiandike wewe ukweli ukasubiri mimi nimeandika uongo?
Unataka niandike ukweli upi?.ukweli ndio huo ambao nimekuambia umeandika uongo, kwahiyo hawa mapaka na makatuni ndio majini?
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
3,360
Points
2,000
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
3,360 2,000
Unataka niandike ukweli upi?.ukweli ndio huo ambao nimekuambia umeandika uongo, kwahiyo hawa mapaka na makatuni ndio majini?
Sikuwa na maana hiyo, maana yangu ni kuonyesha hali ya kile ninachokizungumza sijasema paka huyu ndio jini mwenyewe hapana,

Rakims
 
Waterbender

Waterbender

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Messages
287
Points
225
Waterbender

Waterbender

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2018
287 225
Hawez saidia vitu vingine zaai ya ulivyo andika?
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
12,102
Points
2,000
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
12,102 2,000
Naungama kwa ubatizo mmoja, kwa maondoleo ya dhambi....
 
Forum statistics

Threads 1,336,206
Members 512,562
Posts 32,530,544
Top