Jinsi ya kuinstall na kurun moja ya Software zinazotumika kwenye projects za mafuta na gesi

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,221
2,000
Natumai muwazima wa afya.
Katika uzi huu nimeambatanisha video inayoelekeza jinsi ya kuinstall na kurun moja ya Software zinazotumika kwenye projects za mafuta na gesi.

Kwa wale ambao wanatarajia kufanya project za mafuta na gas mfano (Oil and Gas Reservoir simulation, Oil or Gas Production Prediction) n.k basi hii software itawafaa sana katika kazi hiyo. Hata wafanyakazi wa kampuni za mafuta na gesi pia katika mkondo wa juu (upstream) waweza kuitumia software hii katika kazi zao.

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom