Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,591
- 1,391
Blasir moja sasa nina garage 15 na truck 36 na treila 28.
Chezea mod wewe
Chezea mod wewe
Hapo nimeona umeonyesha tu namna property kwako zilivyo. Mimi nataka kujua unabadilishaje 32 bit to 64 bit. Mimi yangu inasoma 32 bit
Ni mwaka wa ngapi sasa tangu ununue pc yakoHapo nimeona umeonyesha tu namna property kwako zilivyo. Mimi nataka kujua unabadilishaje 32 bit to 64 bit. Mimi yangu inasoma 32 bit
Mwaka wa tatu mkuu.Ni mwaka wa ngapi sasa tangu ununue pc yako
Kwa msaada zaidi muone chif mkwawa.ili akusaidieMwaka wa tatu mkuu.
Itategemeana na specification za desktop yako.Wakuu mm pia ni mlevi sn wa hii game lkn tng pc yng ime corupt nkapoteza set up so naomba kujua naipataje wazee af pia naomba uliza hv hii game ina play kwny desktop
Hii ramani ni noma sana yani full kukutana na barabara zimekatika unapita juu ya ubao ili kuvuka kukutana na baraba nyingine
View attachment 1238291View attachment 1238292View attachment 1238298
@kcampTumia hii hapa ya kwanza nimeikosea.
Nlitumia hi mkuu@kcamp
Now Nachez 1.9.22 nikija Kulipat hilo dabPakua mkuu mbon link zimewekwa
Sory mkuu au unapoinstall lazim ufute lakwanza lilePakua mkuu mbon link zimewekwa
Hizo ni nin mkuuUSHAULI. Nenda upande wa Google Kisha andika 1337x.to. utakutana nazo nyingi ila we chagua moja wapo Kat ya hizo.
Kudownload kupitia site hii ni nzuli mno. Ila mpaka uwe na U torrent
Lingenikuta mm ilooooNina miezi sasa hili game sijaligusa. Yaani mbali na kuweka mod lkn nakosa kabisa uptite nalo.
Yaani sijui tu. Nahisi pia ni kutokuwa mpenzi wa game za magari. Maana hata need 4 speed silichezagi.Lingenikuta mm iloooo