JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,019
- 1,665
Huu ushauri huu mzuri, kuna kipindi nilikuwa nachanganya mod mbalimbali basi game likiload ghafla napata hiyo error.Uko sahihi,una extract kisha unatia kule kweny mod..then create profile mpya kisha zutaload file mbili za hiyo brazil mod kweny mod manager.. chagua zote mbili pia nashauri usichague mod nyingine yoyote zaidi ya hiyo map tu..ili uone kama kuna mod huenda ndio ilikua inazui hyo Brazil kufanya kazi
Kwahiyo yawezekana kuna mod zingine haziendani na hiyo Mod ya Brazil