Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

samahan jaman mm nina ilo game lkn sijui ni la outdated ila nataka niliupdate niweze kutumia bus nifanyeje wadau msaada tutani hapo nitumie versio gani ? hili ililonalo naona linasoma version1.1.1.0
 
Mkuu pakua latest version 1.34 link ipoo juu hapo kidgo

Mabus utatumia map ya EA bus ya brazil..kuna vyuma humo hatar

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
nime
Gari zote mkuu...

Kikubwa unapakua mods ya Horsepower tu unafunga kweny chuma chako

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
kuelewa kumbe hizi Horsepower sio real kwa magari yanayotembea? maana naona Tractor (vichwa) Scania zinazokuja Tanzania ni 124hp lkn niligoogle nikakuta zipo R730hp na S730hp
haya Mkuu nisaidie hizi Mods link nisearch wapi ? nisaidie
 
kcamp Mkuu nimeinstall hiyo version 34 but nikifungua halifunguki wala halinipi notification error nilicheza mara moja nilivyoclose halifunguki tena nimeunstall na kuinstall upya but halifunguki
 
Mkuu bado inakusumbua?
 
Ndio inasumbua mkuu
Go to Users/Public/Public Documents/Steam ---> Delete steam

Kisha unistall game full
Alaf install sasa upya game lako,ukimalza start game and then
Create profile ---> Uncheck "Use Steam Cloud". [Hii option ya ku untick use steam cloud ndio uchawi,hutakiw kuiacha na tick
 
Ahsante sana ngoja nikajaribu
 
Unakwama wapi mkuu...umesha
Mkuu naomba nisaidie jinsi ya kuUpgrade hili Game kutoka 1.27 kwenda hiyo 1.30, nimeingia You Tube sijafanikiwa, tayari imelipata kutoka Torrent nimekwamia hapo
1082507
 
https://ets2.lt/en/category/detalestiuningas/
Ingia hapo
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
na hapo nimekwama Mkuu tutani, niliingia huko Puna Peru gari haziwezi kabisa mpaka nafika grade 5 bado sijaweza kuingia hiyo Grade 15 ili ninunue gari kubwa lenye nguvu, nimelazwa njiani huko Toco Toco, Yana Huara, Yana Mayo, Putina Puncu sina hamu kila game ni LATE, dah game nalala madraja mabovu kona Duh msaada mkuu ninyi magari yenu mnaongezaje Hosre power
1082531
 
View attachment 1082531
Haha polee...unatumia version gani ya game?
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom