Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hiyo sijawai tumia ni Ya version gan inasurport mana hiz mod nazo zikitofautiana version game inazingua yaan
Inaitwa hivyohivyo kama ulivyoandika
Hiyo ndo kiboko sasa ya rough roads

Sema sasa free mod ilkua ya 1.30

Akatoa ya 1.32 sema anaiuza

Inaitwa harsh russian baikal r20

Unaeza chek hata youtube,gameplay

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Hiyo ndo kiboko sasa ya rough roads

Sema sasa free mod ilkua ya 1.30

Akatoa ya 1.32 sema anaiuza

Inaitwa harsh russian baikal r20

Unaeza chek hata youtube,gameplay

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Nimeona mkuu hatari Sana si unajua sie wazee wa ganda la ndizi kununua nomaa nitarud tu version ya chini kwa ajiri ya hiyo map
Screenshot_2019-02-24-23-17-34.jpeg

Au inawezekana kuweka version tofauti kwenye PC moja yaan 1.27 1.30 na 1.32
 
Inabalaa hiyo hadi nmeimis sema ndio hakuna ya 1.33 imebd niwe mpole...we ukipata tym downgrade alaf iweke

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mana ukiwa kwenye mikorongo au mashimo ule mbichwa wa scania unavyonesanesa unavyoachia zile presha za brake dah sijui nisemeje mkuu vile ninavyofeel yaan mzungu mtu mwingine sasa kwenye radio ile ya natupiaga bolingo kwa mbali kitu wenge muzika
Mjomba kama dunia yote yako hatari sana
 
Acha kabisa mkuu

Naomba link ya rough road mkuu
 
Mana ukiwa kwenye mikorongo au mashimo ule mbichwa wa scania unavyonesanesa unavyoachia zile presha za brake dah sijui nisemeje mkuu vile ninavyofeel yaan mzungu mtu mwingine sasa kwenye radio ile ya natupiaga bolingo kwa mbali kitu wenge muzika
Mjomba kama dunia yote yako hatari sana
Ha ha ha ha
 
Wakuu me mgeni kwenye ili game...baada ya kukomaa nalo nimefika level ya tatu sasa linataka niactivate tena na naona linaonyesha oale kuactivate ni kama 3gb data....emb naombeni mnielekeze cha kufanya au ndo inanilazimu tu kuingia hasara ya izo data zote na vyuma venyewe ndo ivi...naombeni msaada mpaka sasa nakwama kuendelea kucheza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pakua ambalo lipo activated kabisa

Shusha hili hapa ni latest version

Download Euro Truck Simulator 2 v1.34.0.17s (65 DLC)(2-click run) Torrent | 1337x

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Mana ukiwa kwenye mikorongo au mashimo ule mbichwa wa scania unavyonesanesa unavyoachia zile presha za brake dah sijui nisemeje mkuu vile ninavyofeel yaan mzungu mtu mwingine sasa kwenye radio ile ya natupiaga bolingo kwa mbali kitu wenge muzika
Mjomba kama dunia yote yako hatari sana
hahahaha
 
Back
Top Bottom