Jinsi ya kuinstall mods kwenye Euro trucks simulator 2

Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,436
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,436 2,000
Mana ukiwa kwenye mikorongo au mashimo ule mbichwa wa scania unavyonesanesa unavyoachia zile presha za brake dah sijui nisemeje mkuu vile ninavyofeel yaan mzungu mtu mwingine sasa kwenye radio ile ya natupiaga bolingo kwa mbali kitu wenge muzika
Mjomba kama dunia yote yako hatari sana
pamjela acha mchezo na hilo Scania 730 S halafu ni V8 engine mlio wake tu kinanda na maengine break siweki hata music nafyatua buuton C ya speed control mwendo na mm, maana speed limit na faini za Traffic nimefuta zote, basi mwendo ni kuwahi mizigo,
kweli Dunia yote ipo hapo maana maupepo ya break na kunesa utaota raha wanazopata madereva wa malori
 
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,436
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,436 2,000
The Harsh Russian Baikal R3 1.24 | ETS 2 mods

MAP M.I.I V0.3.1 (Indonesia Map for ETS2 1.30.x) | ETS 2 mods

RUTAS SALVAJES PERU 1.27.XX | ETS 2 mods

Map Puno Peru v 1.5 | ETS 2 mods

Sasa ingia chagua ipi inaendana na version ya game yako kwa urahisi kwenye seach unaandika puno peru basi inakuletea version zote unachagus unayotaka au unaenda moja kwa moja kwenye site husika
SIJAWAELEWA WAKUU,
nikifungulia IDM zitakubali au mpaka torrent?
nikishadownload niifungue game lenyewe kwenye Profile na kuingiza Mods mojawap km Map Puno Peru au nitumie tu kwenye Document faili la EoruTrack Simulator
maana nilijua nakaribia mwisho nipo King's of the road kumbe wengine mpo level 76 halafu mmeshahama Europa mpa Peru na Russia
 
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,436
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,436 2,000
Hakuna version ya 4
Latest ni 1.34 Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu asante kwa kutufungua mm nilijua nakaribia mwisho kumbe sijafika hata robo ya barabara wala Magari
ninalo Scania 730hp nikaikataa Volvo naada ya kuona hp ni ndogo kumbe nalo zuri?
ngoma nikilinunua Volvo ninapotaka kubadili niirudie Scania nafanyeje? maana nimebadili Gearbox AT ya 12 gear nikachukua ya 10 nashindwa rudia ile ya 12 Msaada p/se
Swali la 2 Game niliinstall katika Window 10 nikaona Mb zikiliwa sana nikarudi Window 7 sasa nzito na zinacrash umesema niingie Low, je nikIinstall kwenda W 10 hili game Level niliyofikia naweza ihamishane au naanza mwanzo km nilivyopoteza juzi
 
pamjela

pamjela

Senior Member
Joined
Jun 18, 2016
Messages
129
Points
250
Age
48
pamjela

pamjela

Senior Member
Joined Jun 18, 2016
129 250
SIJAWAELEWA WAKUU,
nikifungulia IDM zitakubali au mpaka torrent?
nikishadownload niifungue game lenyewe kwenye Profile na kuingiza Mods mojawap km Map Puno Peru au nitumie tu kwenye Document faili la EoruTrack Simulator
maana nilijua nakaribia mwisho nipo King's of the road kumbe wengine mpo level 76 halafu mmeshahama Europa mpa Peru na Russia
Hilo ni file la kawaida lipo katika mfumo zip haliitaji torrent unadownload kawaida tu via Idm au hata kutumia opera yenyewe au firefox nk
Ukishadownload unaunzip na Winzip Winrar au app yoyote inayounzip
Then unaenda document kuna forder Eurotruck simulatory ndani utakuta forder tofauti ukikuta folder imeandikwa mod kama hujaikuta unacreat new fordel mod unatupia humo zile file za map ulizodownload lakini ukiwa ushaziunzip

Ukishakamilisha hatua hiyo sasa unafungua game kawaida tu then unaunda profile mpya sasa kabla hujaendea kuingiza detairs kwenye pro mpya unayotaka azisha unaenda mod manager unaadd mod zako mpya ziwe active ili uione hiyo raman kwenye profile yako mpya sasa hapo utakuta maelezo pale km mtu wa games haikupi shida kuelewa au ukishindwa uliza tutakusaidia

Then ukirud kwenye profile mpya unachange tu map europe to indonesia n.k

Ukiona game imecrush basi version ya map na game tofauti
Au lah kama version zinafanana lkn bado unacrush delete profile mod futa ziadd upya anza tena prosses upya then badilisha mji wa kuanzia fanya hvyo mpk upate mji mzuri mana map zingne ukianzia miji ya pembezoni nwa chi zinakataa mpk uanze na miji ya katikati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
1,256
Points
2,000
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
1,256 2,000
Duh! Ngoja ni download hii! Hii si ya kukosa.
 
Mwananchi B

Mwananchi B

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Messages
213
Points
250
Mwananchi B

Mwananchi B

JF-Expert Member
Joined May 23, 2013
213 250
SIJAWAELEWA WAKUU,
nikifungulia IDM zitakubali au mpaka torrent?
nikishadownload niifungue game lenyewe kwenye Profile na kuingiza Mods mojawap km Map Puno Peru au nitumie tu kwenye Document faili la EoruTrack Simulator
maana nilijua nakaribia mwisho nipo King's of the road kumbe wengine mpo level 76 halafu mmeshahama Europa mpa Peru na Russia
Hizo mods kwa IDM zinakubali pia, Hakikisha tu mod unanayodownload inaendana na version ya Game.
 
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,436
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,436 2,000
1553185314728-jpeg.1050635

DOWNLOAD 700 MB Part 1 [Sharemods]
DOWNLOAD 700 MB Part 2 [Sharemods]
DOWNLOAD 620 MB Part 3 [Sharemods]

DOWNLOAD 700 MB Part 1 [Uploadfiles]
DOWNLOAD 700 MB Part 2 [Uploadfiles]
DOWNLOAD 620 MB Part 3 [Uploadfiles]

katika Harsh Russian hizi Mkuu zinanikatalia niki Copy na kutupia kule IDM sijiu ni wapi nakosea kuna njia nyingine?
natanguliza shukrani
 
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
3,446
Points
2,000
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
3,446 2,000
Mkuu asante kwa kutufungua mm nilijua nakaribia mwisho kumbe sijafika hata robo ya barabara wala Magari
ninalo Scania 730hp nikaikataa Volvo naada ya kuona hp ni ndogo kumbe nalo zuri?
ngoma nikilinunua Volvo ninapotaka kubadili niirudie Scania nafanyeje? maana nimebadili Gearbox AT ya 12 gear nikachukua ya 10 nashindwa rudia ile ya 12 Msaada p/se
Swali la 2 Game niliinstall katika Window 10 nikaona Mb zikiliwa sana nikarudi Window 7 sasa nzito na zinacrash umesema niingie Low, je nikIinstall kwenda W 10 hili game Level niliyofikia naweza ihamishane au naanza mwanzo km nilivyopoteza juzi
Gearbox mkuu ingia garage utaweka unayotaka ww

Ukiinstall upya game basi utaanza upya kabisaa

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
3,446
Points
2,000
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
3,446 2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,436
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,436 2,000
Mkuu ww game lako ni version ipi?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu kcamp naona wameandika 1.27 t 7s (32 bit)
nisaidie tena kwenye Garage km nilikuwa nayo ya awali gia 12 nikaitoa nikabandika gia 8 ile gia 12 ni kuinunua tena au naikuta bado yangu ya bure
halafu hizi teller huwa hazitengenezwi garage? maana naona zinakula marks hasa najua kurepair kichwa tu
 
Mwananchi B

Mwananchi B

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Messages
213
Points
250
Mwananchi B

Mwananchi B

JF-Expert Member
Joined May 23, 2013
213 250
Mkuu kcamp naona wameandika 1.27 t 7s (32 bit)
nisaidie tena kwenye Garage km nilikuwa nayo ya awali gia 12 nikaitoa nikabandika gia 8 ile gia 12 ni kuinunua tena au naikuta bado yangu ya bure
halafu hizi teller huwa hazitengenezwi garage? maana naona zinakula marks hasa najua kurepair kichwa tu
Kwa case Mimi nayoifahamu kama ulikuwa na engine kubwa ina cost £1000 halafu ukaweka engine ndogo ya £800 basi utaongezewa £200 katika balance yako. Ila kutoka ndogo kurudi ile kubwa sijawahi fuatilia vizuri. Labda kama inakuwa viceversa yaani unakatwa £200 au unakatwa kubwa zaidi kutokana na bei ya engine.
Labda Mkuu kcamp atanirekebisha au ataongezea zaidi
 
Mwananchi B

Mwananchi B

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Messages
213
Points
250
Mwananchi B

Mwananchi B

JF-Expert Member
Joined May 23, 2013
213 250
Mkuu kcamp naona wameandika 1.27 t 7s (32 bit)
nisaidie tena kwenye Garage km nilikuwa nayo ya awali gia 12 nikaitoa nikabandika gia 8 ile gia 12 ni kuinunua tena au naikuta bado yangu ya bure
halafu hizi teller huwa hazitengenezwi garage? maana naona zinakula marks hasa najua kurepair kichwa tu
Pia trailer huwa hazili pesa katika repair ya gari maana katika repair watarepair kichwa tu. Trailer kama umafanya demage yake katika transit, utakatwa XP points na Pesa kidogo utapofikisha mzigo destination point
 
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,436
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,436 2,000
Pia trailer huwa hazili pesa katika repair ya gari maana katika repair watarepair kichwa tu. Trailer kama umafanya demage yake katika transit, utakatwa XP points na Pesa kidogo utapofikisha mzigo destination point
Mkuu Mwananchi B nimekukubali, kumbe ndio maana ya Game uufikishe mzigo salama, ikitokea damage wanafyeka ukichelewesha njiani wanafyeka, ukilala sana njiani wanafyeka.
 
Mwananchi B

Mwananchi B

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Messages
213
Points
250
Mwananchi B

Mwananchi B

JF-Expert Member
Joined May 23, 2013
213 250
Mkuu Mwananchi B nimekukubali, kumbe ndio maana ya Game uufikishe mzigo salama, ikitokea damage wanafyeka ukichelewesha njiani wanafyeka, ukilala sana njiani wanafyeka.
Ha ha ha ha ndio Mkuu, nakumbuka kuna safari moja nilikomaa kinoma halafu nikachewesha mzigo. Sikulipwa pesa kabisaaaa na kufyekwa XP juu daaah
Ko Mimi huwa hata nifanye demage vipi nakomaa nifikishe mzigo on time ili angalau nilambe hata pesa kiduchu.
 
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,436
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,436 2,000
Ha ha ha ha ndio Mkuu,.
Nipe siri Mkuu hivyi nikijiunga na hiyo Internet yao (km Facebook,Blogspot, Instragam nk ya kwao) inasaidia kuactivate game au nikae Nje niwe na Download kupitia njia link za nje.
naona kuna mahali wameniambia acivation ipo wazi nifanyeje?
 
Forum statistics

Threads 1,283,899
Members 493,869
Posts 30,805,440
Top