Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

hatimae nimeludi barabaran.. sasa naombeni ushauri nianze kupakua nini kati ya hivi {1} road to the brack sea au {2} 1.36
 
Tofauti yake ni ipi katiya hizo link mbili?
Kuna ile uliyotoa ya mediafire vipi nayo?

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Ya mediafire ndio nzur mana ni direct link so unapakua zako kwa idm inakua fasta tu alafu ni gb 3 tu

Ile nyingine ni ya torrent..gb 7 alaf speed kobe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi sisi waafrica tunakwama wapi.? hata kutengeneza mod moja tu hata ya stendi tu ya abilia tunashindwa. mpaka tusubili wakina kapo, elidorado, na n.k kweli!!!!
 
Back
Top Bottom