Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

wajameni puno peru sasa kuna vita. nimepewa tenda hapa ya kusafilisha kifaru.
 

Attachments

  • ets2_20191121_043641_00.png
    ets2_20191121_043641_00.png
    982.2 KB · Views: 3
  • ets2_20191121_043555_00.png
    ets2_20191121_043555_00.png
    1.3 MB · Views: 2
Wakuu naombeni kuelekezwa jinsi ya kuunganisha gemu letu pendwa ili kucheza kwa kutumia usb game pad
Game Pad naona ndio hiyo Joy Stick zote zimewekwa kundi la 3 hapo chini
unapoaanza kutafuta nini cha kuendesha Control Game unalizwa unataka Mouse? Keybody? Joy stick, stearling, na vyote vikolombwezo bonyeza hiyo ya chini lkn hakikisha umeshaunganisha hiyo usb ya kifaa chako na Computer yako
1574355384033.png
1574355475803.png
 
Mkuu dah!!! Nilipofungua huu uzi na kusoma thread yako nilipata furaha ya ajabu maana mimi games nazipenda sana.

Sasa mkuu mimi nina Samsung j 6 vipi itafaa ama?
Mkuu hii ni kwa PC tu ..huna laptop?
 
Ndo zao wanasemaga hivyo ila haziwaki...jaribu kuwasha beakon uone kama zitawaka,,ikigoma nikupe mod yangu
IMEKUBALI kuingia kwenye Mods sasa ngoma kuziwasha, kuna mahali walisema tutumie S au R naona zinakataa labda kwangu ni mchana ngoja giza liingie nitatafuta
 
Ndo zao wanasemaga hivyo ila haziwaki...jaribu kuwasha beakon uone kama zitawaka,,ikigoma nikupe mod yangu
neenda Beacon Mkuu wakanielekeza nitumie herufi O au I ambazo ni za Dashboard HAKUNA kitu
nipe maujanja Mkuu kcamp twende pamoja
 
vitu kama hiv huwez kupata kwingine zaid ya hum jf
 

Attachments

  • ets2_20191122_213941_00.png
    ets2_20191122_213941_00.png
    1,004.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom