Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hii sehemu naikumbuka kuna crane linapakia miti ya milingoti hapo, barabara ina mawe hasa inabidi ulegeze suspension nilichelewa kidogo.
Nilikuwa natoka CAMERON Game limekufa lote, sijui ni Virus au Computer
sina raha imeniandikia Steam has stop working na kwa Peru Puno nilishafikia Divine Champion stage 872 level
nimeanza upya kuZIP ndio kabisa imegoma nikadelete ETS-2 kote mpaka Document bado imegoma kuanza, sijui mnaanzia wapi wenzangu au niDownload upya
View attachment 1264697
Aah mkuu tumia windows 10 bhana...
Fanya clean installation , mambo yatakuwa mswano...
 
Wazee naona mmetoka brazil saiz mpo zenu puno
Brasil kama kawaida, ndani ya Kenwood truck
ets2_20191115_101624_00.png
ets2_20191115_103230_00.png
 
Mchuma unavuta vichwa vitatu unapeleke kwa boss furani hivi
Mkuu hongera naona unavuta vichwa v3 vya Renault huko Brazil na Bendera yetu ya Taifa
sijarudi bado kwenye ETS-2 nakomaa na computer,
nafurahi ukitutumia mara kwa mara maana wengine Bar au viwanja hatuendi tumomomumu
 
Wewe mkali bado hiyo Scania 730e ina horsepower 730 hujaiongezea injini na gearbox kubwa?
mm naweka mpaka engine ya 3400hp haipandi inateleza na theluji natafta hela nikaweke engine ya nwisho kabisa 10000hp
Hapo pananisumbua sana
Ukitaka kupanda hapo weka horse power ya kati, ukiweka kubwa huwa inakwama weka ata 900hp
 
Back
Top Bottom