Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Kama Title ya thread inavyosema,Hii ni simple tutorial ya kuonesha jinsi gani utaweza kutumia mods mbal mbal katika game yako ya ETS 2.

Sometimes inafika stage kweny hili game unakua kama umechoka zile barabara zake,magar yake,limitations pia katika kununua trucks had kufikia level flani ambazo ni kubwa,lakini pia kuna maeneo meng tu ambayo ungependa kudrive lakini kweny official maps hayo maeneo hakuna.
Wengi wangependa ku drive maeneo yanayofananan na huku kwetu,yani barabara za vumbi ,kona zakutosha na milima iliyo shindikana..

[HASHTAG]#Baadhi[/HASHTAG] mods utazo enjoy #
1.utaweza cheza game yako kweny region tofaut ambazo hazipo kweny official maps.
2.pia utaweza ku pimp truck yako vile unavyopenda wewe...mfano kuongeza Horse power ya gar lako kuanzia 1000HP nakuendelea,Rims,tyre
3.Fast level and money
Hapa unaweza fika level za juu jus kwa haraka sana ndani ya trip kama tatu unaweza fika level kuanzia 16 na pia utakua na starting money kubwa sana na kila kitu kitakua unlocked
4.Trucks and Busses
Hapa utaweza weka mabus ndan ya euro truck traffics tena mabus ya kisasa kama marcopolo G7 na pia unaweza endesha.
Kwa upande wa trucks unaweza weka trucks za makampuni tofaut na yaliyo ndan ya euro truck..hapa unaweza kutana na Trucks kama KENWORTH,MAZ,KAMAZ na hata magar madogo haya.

Mods ni nyingi na hizi faida zinatoka ndan ya kila mods utayotaka wewe.

[HASHTAG]#Hasara[/HASHTAG] za mods#
Game ku crush...baadhi ya mods znakua zina matatizo na kufanya game kucrash,lakin pia kama game version na mods zikiwa tofaut basi game pia lita crush.
*JINSI YA KU INSTALL MODS*
hapa ndipo kweny kusudio la thread hii,na zifuatazo ni hatua za kuweka mods kweny hili game.

1. Download mod unayotaka hapa ETS 2 mods ukishamaliza basi extract mod yako Kweny folder la Documents/Euro Truck Simulator 2/mod folder.Kama utakua hauna folder la mod kama hapo juu basi sio kesi,wewe create new folder ndan ya folder la euro truck simulator 2 na rename ilo new folder kua "mod" kisha paste mod zako humo.

2.Run game ~> create new profile kisha kweny sehem ya mod manager fungua hapo na utakuta mods zako kisha Enable mod(s) and save changes.Done

NB.baadh ya mods za map utatakiwa kuchagua ile map yako kweny playing module..kisha ndio uendelee.hizi huitwa standalone map.

*hakikisha mod yako iko compatible na game version uliyonayo,ni vizur kua na latest version ya game ambayo ni 1.27 hii itakufanya kua na mods nyingi mana developer wanakimbizana na version ya game.
*pia ni vizur kusoma comments za wadau kuhusu mods unayotaka kudownload,kuna mods huwa fake na hazifany kazi..pia baadhi ya mods huwa zina maelezo special ya kuistall,vitu kama ku disable Dlc labda.
Hayo ni machache ya kuzingatia.

Links
Kuapata latest version ya euro truck

Euro Truck Simulator 2 v1.27.2.4s Incl 53 DLC torrent - Windows torrents - Games torrents - ExtraTorrent.ag The World's Largest BitTorrent System
Mkuu hauna 32 bit maana hii ni ya 64??
 
AISEE NIKIFIKA HAPA NINA CLICK WAPI KUDOWNLOAD. NINA BIT TORRENT
euro.png
 
Hapa nina mod ya powerful engines kwa trucks zote, kitu hp 3900.
Pia mod ya Xp x7 na Money x7, hii ndani ya safari kama 5 tu shakuwa Legend Level 53 nikiwa na Scania yangu S High Roof. Hapa naona kuna job wanaoffer mpaka €1000000.
Hii game nzuri sana ukiipa Mods
 
Bila mod nshafika level 76 na euro milioni 146. Linapendeza ukicheza kwa uhalisia wake na kutumia mods za real company logo na magari ya nyongeza
 
Hapa nina mod ya powerful engines kwa trucks zote, kitu hp 3900.
Pia mod ya Xp x7 na Money x7, hii ndani ya safari kama 5 tu shakuwa Legend Level 53 nikiwa na Scania yangu S High Roof. Hapa naona kuna job wanaoffer mpaka €1000000.
Hii game nzuri sana ukiipa Mods
bado hujacheza gemu, kucheza gemu anza ukiwa zero mpka uje ufikie uwe professional na Euro zakutosha na garage zako
 
Hapa nina mod ya powerful engines kwa trucks zote, kitu hp 3900.
Pia mod ya Xp x7 na Money x7, hii ndani ya safari kama 5 tu shakuwa Legend Level 53 nikiwa na Scania yangu S High Roof. Hapa naona kuna job wanaoffer mpaka €1000000.
Hii game nzuri sana ukiipa Mods
Kweli mkuu...mim natembelea volvo moja matata, mitaa ya urusi ,scania s nimepaki pembeni

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Bila mod nshafika level 76 na euro milioni 146. Linapendeza ukicheza kwa uhalisia wake na kutumia mods za real company logo na magari ya nyongeza
Level 76 bila mods,mkuu una mda nalo sana.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Back
Top Bottom