Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

TokyoMap, ila sio kubwa kivile ina miji miwili tu Yokohama na Tokyo
ets2_20191113_121127_00.png
ets2_20191113_121157_00.png
ets2_20191113_121645_00.png
ets2_20191113_121826_00.png
 
Kuna mtu hapa yuko msoma asee afanye tu kunigawia . Maana nimejaribu mara kadhaa nafeli kuinstall asee.
 
Nimecheka sana Mkuu, nilifanikiwa kuDownload 2.9gb sasa nashindwa kurudi kwa sababu nikituma Zip ya Euro ili mje ifungua Attach za JF zinadai 2.9gb ni kubwa nikituma Folder linagoma JF wanagoma bado
Mimi nina Volvo napasua Puno - Putina nimefunga engine 3400hp na gearbox yake baada ya kupewa Euro 2m
kuweka Gearbox kubwa na nipo level 128 Divine Champion
Nakimbilia HUATASARI na PUTINA kuna Mlima una theluji kibao nataka nikajaribu kupita maana hakuna usingizi tena, Volvo Globetrotter hp kubwa
scania s 730
 
Attachments

  • ets2_20191113_033223_00.png
    ets2_20191113_033223_00.png
    1.1 MB · Views: 2
  • ets2_20191113_032547_00.png
    ets2_20191113_032547_00.png
    1.2 MB · Views: 2
JOAQUEM
kama vipi nigei link ya bus terminal & passenger mods nataka nitumie kwenye puno peru
 
Attachments

  • ets2_20191113_051028_00.png
    ets2_20191113_051028_00.png
    1.4 MB · Views: 2
  • ets2_20191112_073440_00.png
    ets2_20191112_073440_00.png
    447.9 KB · Views: 2
scania s 730
1573714575709.png

nimeipenda hiyo ya kula mkambi/mweleka, hapo ingia Game play kakaze stiffness ya suspension, Truck na Trailer lenyewe, hapo halitayumba, na ukifika kwenye mawe na corrugation legeza tena suspension,
yaani Damage ni nyingi, yupo Member The coolest jw post #887 alisema kuna Mod ya No Damage tungeipata hiyo Puno Peru tungeshinda
 
Mnaosumbuka na ets2 setup

Hii ndio inapiga kazi, confirmed by mimi nimepakua usiku na nmeistall bila shida
umenifurahisha kwa hiyo ni Genuine ile ya 2.95 gb uliyotuwekea awali post 510
labda kwa ushauri ni kuihifadhi kwenye Google drive au mbali kwani huku kwenye Internet kuna virus wakali, mm nimeshapiga mashine chini mara 2, yupo mmoja wanamuita administrator hangoki hata kwa Kaspersky anaingilia ets 2
ni ushauri tu kabla hatujaingia version ya 1.36
 
Ndio hapa ni kuwa makini TU mkuu
 
View attachment 1262786
nimeipenda hiyo ya kula mkambi/mweleka, hapo ingia Game play kakaze stifness ya suspension, Trailer na Truck lenyewe, hapo halitayumba, na ukifika kwenye mawe na corrugation legeza tena suspension,
yaani Damage ni nyingi, yupo Member The coolest jw post #887 alisema kuna Mod ya No Damage tungeipata hiyo Puno Peru tungeshinda
Download: No_Damage_by_sdonbass18_v1.35.x.rar [507 KB]
 
Aisee umemtolea wapi huyo admin? Hilo nmeweka link ndio lile uli repost juzi la 2.9..hilo haligomi..

Ila lile limendikwa repack lile kimeo naona kila mtu linamgomea...hata kweny torrent watu wanalalamika

Back
Top Bottom