Jinsi ya kuinstall mods kwenye Euro trucks simulator 2

JOAQUEM

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Messages
1,844
Points
2,000

JOAQUEM

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2012
1,844 2,000
Baado weka ile Mod ya maPoweful engine ingia garage nunua Hp 3400 yenye Open Pipe tafuta na gearbox mbona Streamline inaruka? ni ajali gari zote zinafukuza ni rahatupu ETS,
Duh ilibidi nirudi engine ndogo tu maana Puno Peru ni mieleka tu na kwenye theluji halifai linateleza
nakutakia uendeshaji mwema
Bwana Ukwaju kule Puno kama huna engine yenye hp kubwa ile milima kupandisha ni ndoto
Uendeshaji wakule unahitaji subra, ukitaka kwenda kama upo kwenye jamvi la mwendokasi lazima ajali uzipate tu.
 

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
10,359
Points
2,000

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
10,359 2,000
Sasa Niko ndani ya Brazil na scania s 730 yaan ni laha tupu
ingia Gereji nunua injini hiyo s730hp kuna milima Brazil hupandi
nunua na gear box kabisa
halafu hiyo ya Slovakia mbona umeweka Screen shot hatuwezi kudownload
hebu hapo http://www.ets2world.com/slovakia-map-by-kapo944-v6-2-7-map/
mm najaribu hii ya Realistic Russian Highway ina 160MB nitaleta mrejesho km ni version ya 1.35 inakubaliana http://uploadas.com/oi6mj7kd6yjy/REALISTIC_RUSSIAN_HIGWAYS_V6.0_MAP_MOD.rar.html
 

mabala family

Senior Member
Joined
Nov 10, 2017
Messages
159
Points
225

mabala family

Senior Member
Joined Nov 10, 2017
159 225
Baado weka ile Mod ya maPoweful engine ingia garage nunua Hp 3400 yenye Open Pipe tafuta na gearbox mbona Streamline inaruka? ni ajali gari zote zinafukuza ni rahatupu ETS,
Duh ilibidi nirudi engine ndogo tu maana Puno Peru ni mieleka tu na kwenye theluji halifai linateleza
nakutakia uendeshaji mwema
Pamoja mkuu, ngoja kwaza ni enjoy ets 2 mpaka levl za 26 hv ndio niende peru na brazil
 

kissange

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Messages
356
Points
500

kissange

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2015
356 500
Nauliza tu..
Processor 2.30Ghz
Ram 4gb
Hd graphics 3000
32 bit operating system
Window 7 premium.
Core i3-2350m

Naweza kucheza magemu mbona naona sielewi elewi halafu hobby yangu magemu hasa magari..
 

Forum statistics

Threads 1,367,040
Members 521,607
Posts 33,385,443
Top